NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa mechi za viporo kuchezwa
NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa mechi za viporo kuchezwa. Je, nani kukila kiporo chake nani kitampalia Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports