🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 14, 2025 –
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 14, 2025 -
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 14, 2025 -
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA: OKTOBA 14, 2025,
Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewapa mbinu wakulima nchini namna bora ya kuzitambua mbegu bora ili kupata mafanikio katika kilimo. TOSCI imetumia maadhimisho ya 'Wiki ya…
Wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekutana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kuuza bidhaa za utamaduni kwa watalii mbalimbali waliojitokeza…
Unataka kufahamu nini kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira Tutakuwa naye Oktoba 15, 2025 katika chaneli ya UTV kuanzia saa 2:30 asubuhi katika mahojiano…
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, limewahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu kwa kuchagua viongozi bora na kuepuka vitendo vyote vinavyoweza kuharibu amani…likiwataka kuwa mabalozi…
Katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 26 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Athumani Janguo amesimulia jinsi Mwalimu Julius Kambarage…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwasababu imewaleta wagombea wenye sifa za…
AD Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imezindua Kikokotoo cha mikopo cha mtandaoni. Kupitia Kikokotoo hiki, utakuwa na uwezo wa kukadiria kiwango cha marejesho ya kila mwezi na kuelewa viwango vya…
Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na mchepuko zenye jumla ya kilomita 25 umefikia asilimia 74.3 hadi kufikia Septemba 30, 2025. Kukamilika…