Umoja wa watu wenye ulemavu wa macho (wasioona) nchini amewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia katika kupata maarifa na ujuzi unaoendana na maendeleo ya sasa na hali ya ulemavu was ili waendelee kuwa wachangiaji wa uchumi sambamba na kujitegemea badala ya kuishi kwa huruma za watu wengine.
Walemavu hao wameyataja mceneo ya teknolojia na uchumi kuwa kuhimu kwa kuwasaidia kujikomboa.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates #UTV108 #AdhuhuriLive