#SportPesaLeague: Tazama kimbwanga hiki kilichomkuta mchezaji wa Posta Rangers, Eliud Lokuwam ambaye alinyanyuliwa juujuu na gol…
#SportPesaLeague: Tazama kimbwanga hiki kilichomkuta mchezaji wa Posta Rangers, Eliud Lokuwam ambaye alinyanyuliwa juujuu na golikipa wa Shabana ili akatibiwe nje. FT: Shabana 1-2 Posta Rangers #FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #ShabanaVsPostaRangers…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewataka wakazi wa mkoa huo kutoa taarifa za wale wanaotoa vitisho vya kiusalama na…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewataka wakazi wa mkoa huo kutoa taarifa za wale wanaotoa vitisho vya kiusalama na kujipanga kufanya vurugu siku ya uchaguzi mkuu Oktoba…
Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Kagera kwa Kauli wameipokea kauli ya tunatiki ambapo aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazar…
Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Kagera kwa Kauli wameipokea kauli ya tunatiki ambapo aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amefanya ziara katika mkoa wa Kagera katika kampeni…
Yule Mmadagascar na Yanga kuna jambo, iko hivi
Jarida la L'Express de Madagascar, limeripoti kwamba, kocha Romuald Rakotondrabe maarufu kwa jina la Rôrô, jana Oktoba 14, 2025, ametua jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na…
Hukumu kesi ya zawadi kwa Askofu Sepeku Novemba 27
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, imepanga Novemba 27, 2025 kutoa hukumu ya kesi ya ardhi...
Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau wa maendeleo umefanya…
Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau wa maendeleo umefanya mkutano jijini Dar es Salaam kujadili mabadiliko ya mazingira…
#SportPesaLeague: AFC Leopards wamelazimishwa suluhu nyumbani leo
#SportPesaLeague: AFC Leopards wamelazimishwa suluhu nyumbani leo. FT’: AFC Leopards 0-0 Bandari FC Ilikuwa LIVE #AzamSports3HD #FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #AFCLeopardsVsBandari
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana…
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana na majanga ya mlipuko wa moto katika Soko la Stereo…