Mradi wa UNDP na wadau wawasaidia wananchi kuondokana na umasikini
Mradi wa kusaidia jamii kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi nchini Zambia mbali na kusaidia wananchi kwenye kilimo pia umewawezesha kiuchumi na kuwaondoa baadhi yao kwenye mstari wa umasikini.…
UNICEF yasaidia manusura wa mafuriko Magharibi mwa Kenya
Kupitia msaada wa fedha kutoka Ufaransa, juhudi za kuboresha hali ya lishe kwa watoto nchini Kenya, hasa kwa jamii zilizo katika mazingira hatarishi zinaendelea ambapo juhudi za hivi karibuni ni…
Guterres: Umasikini wa watu ni kushindwa kwa kimfumo
Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza umasikini duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametuma ujumbe wa kwa siku hii na kuiasa jamii kuacha kuwalaumu, na kuwanyanyapaa…
Ripoti mpya yaoanisha umaskini na madhara ya mabadiliko ya tabianchi: Watu milioni 887 wadhurika
Takribani watu milioni 887 duniani—sawa na asilimia 80 ya watu wote wanaoishi katika umaskini katika nyanya nyingi (MPI)—wanaishi katika maeneo yanayokumbwa moja kwa moja na majanga ya mabadiliko ya tabianchi…
Ripoti ya UNDP yaonesha watu milioni 887 duniani wanaishi katika umaskini wakizungukwa na hatari za mabadiliko ya tabianchi
Takribani watu milioni 887 duniani—sawa na asilimia 80 ya watu wote wanaoishi katika umaskini katika nyanya nyingi (MPI)—wanaishi katika maeneo yanayokumbwa moja kwa moja na majanga ya mabadiliko ya tabianchi…
Viongozi wa nchi za kigeni waanza kuwasili Nairobi kwa mazishi ya Raila Odinga
Matayarishao ya maziko ya mwanasiasa mashuhuri wa Kenya Raila Odinga, aliyefariki dunia juzi Jumatano akiwa na umri wa miaka 80 alipokuwa anatibiwa nchini India, yanaendelea na tayari viongozi wa nchi…
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga imekusanya shilingi bilioni 31 katika kipindi cha miezi mitatu ya robo ya kwanza…
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga imekusanya shilingi bilioni 31 katika kipindi cha miezi mitatu ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/26, kutokana na maboresho mbalimbali…
Kanali Randrianirina aapishwa kuwa rais mpya wa Madagacar, SADC yaunda timu
Kanali wa kijeshi, Michael Randrianirina, ameapishwa leo Ijumaa kuwa rais wa Madagascar katika mji mkuu, Antananarivo huku umuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ikimteua Rais wa zamani wa…
Majeshi ya Nigeria yaua makumi ya waasi katika operesheni za nchi nzima
Jeshi la Nigeria limetoa taarifa na kutangaza kuwa makumi ya waasi wameuawa na wengine 62 kukamatwa na vikosi vya serikali katika operesheni za nchi nzima kwenye kipindi cha wiki mbili…
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali inaandaa rasimu ya mitaala itakayotumika katika vyuo vya mafunzo ya amali, ili kusaidia kuwajengea w…
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali inaandaa rasimu ya mitaala itakayotumika katika vyuo vya mafunzo ya amali, ili kusaidia kuwajengea wajasiriamali ujuzi na taaluma zitakazowawezesha kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango…