#CAFCL: Al Hila wametanguliza mguu mmoja hatua ya makundi
#CAFCL: Al Hila wametanguliza mguu mmoja hatua ya makundi FT’: Kenya Police 0-1 Al Hilal Ilikua LIVE #AzamSports3HD #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #KenyaPolice #AlHilal
#HABARI: Mpaka sasa baadhi ya wanachama wa Yanga hawajafanikiwa kuvuka mpaka wa Tanzania na Malawi – Kasumulu kutokana na changa…
#HABARI: Mpaka sasa baadhi ya wanachama wa Yanga hawajafanikiwa kuvuka mpaka wa Tanzania na Malawi - Kasumulu kutokana na changamoto mbalimbali zikiwemo za uhalali wa hati ya chanjo ya manjano…
Serikali yaagiza wananchi kuwajibika kulinda misitu
Kutokana na ongezeko la matukio ya moto wa misitu na uharibifu wa rasilimali za asili nchini...
Lwasa ang’ara Pamba Jiji ikivunja mwiko CCM Kirumba
WAMEVUNJA mwiko. Hatimaye Pamba Jiji imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Mashujaa FC ya Kigoma kwa mabao 2-1.
#NBCPL: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Mashujaa
#NBCPL: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Mashujaa. Magoli ya Pamba Jiji yamefungwa na Peter Lwasa huku goli la Mashujaa likifungwa na Baraka…
Watanzania watoswa kamati ya Marefa CAF
Wakati Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likitangaza kamati yake mpya marefa, hakuna...
Mtaalamu asimulia alivyochunguza video ya Lissu kesi ya uhaini
Shahidi wa tatu wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha...
CHAN 2024 ILIVYOING’ARISHA TANZANIA:
CHAN 2024 ILIVYOING’ARISHA TANZANIA: Heshima kubwa kwa Tanzania ilikuwa kuteuliwa na CAF kuwa mwenyeji wa fainali za michuano ya CHAN 2024. Tukio hilo liliinua sura ya nchi kimataifa, likithibitisha kuwa…
#NBCPL: Peter Lwasa aipatia Pamba Jiji alama tatu kwa kufunga magoli yote mawili
#NBCPL: Peter Lwasa aipatia Pamba Jiji alama tatu kwa kufunga magoli yote mawili. FT’: Pamba Jiji 2-1 Mashujaa Saa 10:15 jioni ni Fountain Gate dhidi ya Dododma Jiji, LIVE #AzamSports…
MAPUMZIKO | #CAFCL
MAPUMZIKO | #CAFCL HT’: Kenya Police 0-1 Al Hilal LIVE #AzamSports3HD #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #KenyaPolice #AlHilal