Kamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na Qatar
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema kuwa serikali, taifa na vikosi vya kijeshi vya Qatar vinapaswa kujua kwamba, Jamhuri ya Kiislamu na jeshi lake litaendelea kusimama upande wao…
#HABARI: Burkina Faso inasema imeanzisha mfumo wa visa bila malipo kwa raia wa Afrika, kwa nia ya kuwezesha usafirishaji wa watu…
#HABARI: Burkina Faso inasema imeanzisha mfumo wa visa bila malipo kwa raia wa Afrika, kwa nia ya kuwezesha usafirishaji wa watu na bidhaa ndani ya nchi. Uamuzi huo ulitolewa Alhamisi,…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Marais wa Iran na Misri wahimiza umoja dhidi ya uvamizi wa Israel
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Doha yanadhihirisha kutozingatiwa kanuni na mifumo ya kimataifa. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Makamu wa rais wa Sudan Kusini ashtakiwa kwa mauaji na uhaini
Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Riek Machar Riek Machar amekuwa chini ya kizuizi cha nyumbani tangu Machi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefunguliwa…
Waziri mkuu wa Qatar aituhumu Israel kutowajali mateka
Hata hivyo, waziri mkuu huyo ambaye pia ndiye waziri wa mambo ya kigeni wa taifa hilo la Kiarabu, alithibitisha kwamba nchi yake isingelizilekeza juhudi za kukomesha vita vinavyokaribia miaka miwili…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kampeni za wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa ajili ya uchaguzi Mkuu zinazoendelea
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kampeni za wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa ajili ya uchaguzi Mkuu zinazoendelea . Je, kuwe na fursa za wagombea hao kuulizwa maswali?
Bolsonaro ahukumiwa miaka 27 kwa jaribio la mapinduzi
Majai walisema rais huyo wa zamani alikula njama za kusalia madarakani licha ya kushindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2022. Majaji wanne kati ya watano wa mahakama hiyo walisema kwenye hukumu…
China yatuma meli ya kijeshi Mlango wa Bahari wa Taiwan
Msemaji wa jeshi la majini la China , Leng Guowei, ameiita safari hiyo kuwa ni ya kawaida na hailengi kumtishia yeyote. Hata hivyo, serikali ya Taiwan imesema kuwa itachapisha muongozo…
Balozi wa Uingereza jijini Washington afutwa kazi
Barua pepe zilizovuja zinaonesha kuwa Balozi Peter Mandelson alikuwa akiwasiliana na kumuunga mkono Epstein, akimueleza kuwa hukumu dhidi yake ilikuwa batili na kwamba lazima ipingwe. Waziri wa Mambo ya Nje…
Afrika Kusini imewahukumu raia 7 wa China miaka 20 jela kila mmoja kwa magendo ya binadamu
Mahakama moja mjini Johannesburg Afrika Kusini imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kia mmoja baada ya kuwapata na hatia ya magendo ya binadamu. Raia…
Iran: Bado madini ya urani yaliyorutubishwa yako vifusini
Akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja cha televisheni siku ya Alhamis (Septemba 11), Araghchi alisema Shirika la Nishati ya Atomiki la nchi hiyo linaendelea kutathmini hali na upatikanaji wa shehena…
Qatar yasema Israel haiwajali mateka wake walioko Gaza
Akizungumza kupitia ujumbe uliorushwa kwa njia ya televisheni, afisa wa ngazi wa juu wa Hamas, Fawzi Bahroun, alisema siku ya Alhamis (Septemba 11) kwamba mashambulizi ya Israel yaliyokusudiwa kuwauwa viongozi…
UNRWA: Zaidi ya wakimbizi laki moja wa Gaza hawajapokea msaada wowote tangu miezi 6 iliyopita
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, zaidi ya watu laki moja wanaendelea kutaabika na njaa katika maeneo ya kuwahifadhi wakimbizi ya shirika hilo…
Waziri Mkuu wa Qatar: Benjamin Netanyahu anapasa 'kufikishwa mbele ya sheria'
Waziri Mkuu wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al-Thani amelaani mashambulizi ya juzi ya Israel dhidi ya Doha na kuyataja kuwa ni “ugaidi wa kiserikali,”. Amesema kuwa Waziri Mkuu…
Utekaji nyara wa wafanyakazi wa misaada huko Sudan Kusini ni zaidi ya maradufu
Idadi ya wafanyakazi wa misaada waliotekwa nyara nchini Sudan Kusini imeongezeka zaidi ya mara mbili mwaka huu. Takwimu hii imetolewa na maafisa wawili waandamizi wa masuala ya kibinadamu wanaofanya kazi…
12.09.2025
SK2 / S02S12.09.202512 Septemba 2025 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura leo kuamua iwapo litaunga mkono azimio kuhusu suluhisho la mataifa mawili ya Israel na Palestina bila…
Mwandishi wa Uingereza: Vyombo vya habari vya Magharibi vinapotosha ukweli wa mambo kuhusu njaa huko Gaza
Mwandishi mmoja wa Kiingereza amekiri kwamba vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vinaathiriwa na ushawishi wa utawala katili wa Israei katika kuripoti jinai za utawala huo dhidi ya watu…
Sudan Kusini: Makamu wa Rais Riek Machar ashtakiwa kwa ‘ugaidi na uhaini’
Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ameshtakiwa kwa “ugaidi na uhaini,” Wizara ya Sheria ya Sudan Kusini imetangaza katika taarifa yake siku ya Alhamisi, Septemba 11. Riek Machar,…
Araghchi katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Tunisia: Kukomeshwa mauaji ya halaiki huko Gaza kunahitajia ushirikiano wa Umma wa Kiislamu
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na Mufti Mkuu wa Tunisia kwamba: “Kukomeshwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza…
Uchaguzi wa urais Côte d’Ivoire: Laurent Gbagbo awapokea wapinzani wengine
Nchini Côte d’Ivoire, siku moja baada ya kukataliwa kugombea urais, rais wa zamani Laurent Gbagbo amepokea wapinzani wengine kadhaa mnamo Septemba 10, 2025. Miongoni mwao ni Pascal Affi N’Guessan wa…
Brazil: Jair Bolsonaro ahukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa jaribio la mapinduzi
Rais wa zamani wa mrengo wa kulia wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa siku ya Alhamisi, Septemba 11, kifungo cha miaka 27 jela kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi, kwa kujaribu…
DRC: Hukumu dhidi ya Joseph Kabila kutolewa Ijumaa
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa siku ya Ijumaa, Septemba 12, katika kesi ambayo Joseph Kabila hajahudhuria. Akituhumiwa kushirikiana na kundi la waasi la M23 linaloungwa…
Shambulio la Israel dhidi ya Qatar linapaswa kuwa onyo kwa eneo lote
Spika wa Bunge la Uturuki, Numan Kurtulmus, amesema kuwa mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya nchi za ukanda huu yanapaswa kuwa “onyo”. Kauli hiyo ya Kurtulmus ilitolewa siku…
Uturuki yakanusha madai kwamba Israel ililenga vikosi vyake nchini Syria
Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imekana ripoti ya kwamba Israel ililenga vifaa vya Vikosi vya Kijeshi vya Uturuki nchini Syria, ikisisitiza kuwa madai hayo “hayana ukweli wowote.” Katika taarifa iliyotolewa…
Sudan Kusini yamshtaki Makamu Rais Riek Machar kwa makosa ya mauaji na uhaini
Sudan Kusini yamshtaki Makamu Rais Riek Machar kwa makosa ya mauaji na uhaini Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ameshtakiwa kwa makosa ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi…
#MALUMBANOYAHOJA: Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025
#MALUMBANOYAHOJA: Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025. Je Wagombea na ilani za vyama vyao zinagusa changamoto za wananchi? #3:00 Kamili Usiku (saa tatu kamaili usiku) #11Septemba2025
Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imeruhusu wanaume kuchukua majina ya ukoo ya wake zao
Mahakama ya juu kabisa nchini Afrika Kusini imeamuru kuwa wanaume wanaweza kuchukua majina ya ukoo ya wake zao, uamuzi ambao umepongezwa kama hatua inayowaleta wanaume na wanawake kwenye usawa wa…
Wapalestina waendelea kuhangaika kutafuta makaazi
Israel imewaamuru wakaazi wanaoishi huko Gaza City kuondoka wakati ikizidisha vita vyake dhidi ya kundi la Hamas lakini usalama mdogo, kukosa mahala pa kwenda na hata chakula ambavyo pengine wangepata…
Keir Starmer amfuta kazi balozi wa Uingereza Marekani
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, amemfuta kazi balozi wa Uingereza nchini Marekani, Peter Mandelson kutokana na uhusiano wake na Jeffrey Epstein aliyepatikana na hatia ya kuwadhalilisha kingono mabinti wadogo…
Mpina aibuka kidedea kufuatia uamuzi wa mahakama
11.09.202511 Septemba 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Masjala Kuu ya Dodoma, imetoa uamuzi uliomrejesha Luhaga Mpina kwenye kinyang’anyiro cha urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…
Sudan Kusini kuwarudisha makwao wahamiaji kutoka Marekan
11.09.202511 Septemba 2025 Sudan Kusini inafanya majadiliano ili kuwarejesha wahamiaji iliowapokea kutoka Marekani chini ya mpango wa Rais Donald Trump wa kuwakamata na kuwarudisha wahamiaji katika nchi walizotokea. https://p.dw.com/p/50Lry Polisi…
Suan Kusini kuwarudisha makwao wahamiaji kutoka Marekan
11.09.202511 Septemba 2025 Sudan Kusini inafanya majadiliano ili kuwarejesha wahamiaji iliowapokea kutoka Marekani chini ya mpango wa Rais Donald Trump wa kuwakamata na kuwarudisha wahamiaji katika nchi walizotokea. https://p.dw.com/p/50Lry Polisi…
Umoja wa Mataifa watoa wito wa msaada zaidi kwa Afghanistan
Haya ni kwa mujibu wa Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM. Shirika hilo limetoa wito wa karibu dola milioni 17 ili kuwapa makaazi na huduma za afya za…
Waliofariki kutokana na mafuriko Indonesia wafikia 19
Haya yamesemwa na maafisa nchini humo Alhamis huku watu watano wengine wakiwa hawajulikani walipo. Katika taarifa, msemaji wa Shirika la Kitaifa la Kukabiliana na MajangaIndonesia Abdul Muhari, amesema zaidi ya…
Uingereza yamuachisha kazi balozi wake Marekani
Hii ni kutokana na kuhusishwa kwake na Mmarekani Jeffrey Epstein, aliyefungwa jela kutokana na madai ya kuendesha mtandao uliowadhalilisha kingono wasichana wadogo. Katika taarifa aliyoitoa bungeni waziri wa mambo ya…
Hamas yasema shambulizi la Doha halitobadili matakwa yake
Afisa wa Hamas, Fawzi Barhoum, katika hotuba aliyoitoa kwenye televisheni amesema shambulizi hilo liliulenga ujumbe wao wa majadiliano wakati ulipokuwa katika harakati ya kujadiliana kuhusiana na pendekezo la kusitisha mapigano…
Luhaga Mpina ‘asafishiwa njia’ ya kugombea Urais
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, ameibuka mshindi katika kesi aliyoifungua kupinga kuenguliwa kwenye mchakato wa urejeshaji wa fomu za uteuzi wa kugombea urais. Mahakama Kuu…
Ripoti: Uhuru wa vyombo vya habari duniani uko katika kiwango cha chini kabisa kwa miaka 50
Uhuru wa vyombo vya habari umezorota kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita duniani kote na umefikia kiwango cha chini kabisa kwa miaka 50, kulingana na ripoti ya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameshinda kesi yake dhid…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameshinda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi,…
Pyongyang yatangaza vifo vya wanajeshi wake Ukraine
Kadri idadi ya vifo vya wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaopigana upande wa Urusi nchini Ukraine inavyoongezeka, utawala wa Pyongyang umeamua kuweka wazi kuhusu idadi ya vifo hivyo na hata kujaribu…
Hospitali ya Recep Tayyip Erdoğan: Daraja la afya na undugu nchini Somalia
Tangu ilipoanzishwa mwaka wa 2015 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, pindi ujenzi wake ulioanza mwaka 2012 ulipokamilika, Hospitali ya mafunzo na utafiti ya Recep Tayyip Erdoğan, iliyopewa jina la…
#MEZAHURU:”Mashindano ya Open Water” ni ya kuogelea maeneo yenye vyanzo vingine vya maji kama Mito, Maziwa na Bahari, tumezoea k…
#MEZAHURU:”Mashindano ya Open Water” ni ya kuogelea maeneo yenye vyanzo vingine vya maji kama Mito, Maziwa na Bahari, tumezoea kuogelea kwenye mabwawa tu Swimming Pool, muongozo mpya wa kuwa na…
Imani za kidini zinavyosababisha vifo pwani ya Kenya
Visa vya udanganyifu wa imani za kiroho katika eneo la Kilifi pwani ya Kenya vimeonekana kujirudia ambapo wahubiri wanadaiwa kutumia imani potofu kidini kuwadhibiti wafuasi wao kwa kuwashawishi kutokula na…
Viongozi wa Ulaya waendelea kuiunga mkono Poland
Viongozi wa Ulaya wameonyesha kila hatua za kuiunga mkono kikamilifu Poland baada ya nchi hiyo kuripoti siku ya Jumatano kwamba ilidungua zaidi ya dazeni moja ya ndege zisizo na rubani…
Polisi wamsaka aliyemuua mwanaharakti wa Kihafidhina
Kifo hicho kimezua hofu ya machafuko ya kisiasa nchini Marekani. Kirk aliyekuwa na umri wa miaka 31 alipigwa risasi ya shingo wakati alipokuwa akizungumza katika hafla ya chuo hicho. Picha…
Jaji ataka Bolsonaro aachiwe katika mashtaka ya mapinduzi
Jaji huyo Luiz Fux ametofautiana na majaji wengine wawiliwaliopiga kura ya kufunguliwa mashtaka kwa Bolsonaro na kutilia shaka uamuzi wa kesi hiyo. Katika Mahakama ya Juu ya Brazil iliyo na…
Mazungumzo ya kumtafuta kiongozi wa Nepal kuendelea
Haya ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi, kufuatia maandamano yaliyosababisha vifo vya watu 30 na kusababisha waziri mkuu kuachia ngazi. Jaji Mkuu wa zamani Sushila Karki ambaye ndiye aliyekuwa…
Qatar: Israel yaondoa kabisa matumaini ya kuachiliwa mateka
Matamshi yaliyotoloewa na Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Al Thani kabla ya kutoa hotuba kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo yanadhihirisha kuongezeka kwa ghadhabu miongoni mwa mataifa…