Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameziasa taasisi za kidini kuongeza juhudi katika kuelimisha jamii kuhusu afya ili kuwasaid…
Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameziasa taasisi za kidini kuongeza juhudi katika kuelimisha jamii kuhusu afya ili kuwasaidia wapate uelewa wa kutatua matatizo ya kiroho na ya kimwili.…
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais SAMIA SULUH HASSAN, imeendelea kuimarisha mazingira rafiki yanayochochea ukua…
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais SAMIA SULUH HASSAN, imeendelea kuimarisha mazingira rafiki yanayochochea ukuaji wa sekta binafsi za kifedha nchini, hatua inayosaidia kuongeza upatikanaji wa…
DC Kyobya avitaka vyama vya msingi kutumia mizani ya kidigitali
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Danstan Kyobya amewataka viongozi wa vyama vya...
Binti Moza Salum Nassoro mwenye umri wa miaka minane kutoka Kanyenye, Tabora, aliibua hisia na kuvutia mamia ya watu katika maad…
Binti Moza Salum Nassoro mwenye umri wa miaka minane kutoka Kanyenye, Tabora, aliibua hisia na kuvutia mamia ya watu katika maadhimisho ya Siku ya Familia ya Polisi yaliyofanyika kwenye viwanja…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limetoa cheti cha pongezi kwa chombo cha habari Channel Ten kwa kutambua mchango wake mkubwa kati…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limetoa cheti cha pongezi kwa chombo cha habari Channel Ten kwa kutambua mchango wake mkubwa katika mapambano dhidi ya uhalifu na kuimarisha usalama wa…
Tanzanite Queens yaandika rekodi ikifuzu Kombe la Dunia
HATIMAYE Timu ya Soka ya Taifa Wanawake Tanzania chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, imefuzu kushiriki Kombe la Dunia, baada ya kuitandika Cameroon mabao 2-0 mechi iliyopigwa leo Mei 10,…
Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi amesema hajaridhishwa na mwenendo wa mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Kuzalisha Umeme wa …
Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi amesema hajaridhishwa na mwenendo wa mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 49.5 katika maporomoko ya maji ya mto Malagarasi kutokana na kuchelewa kwa…
Makamu wa Rais, balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mze…
Makamu wa Rais, balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mzee Yusuph Makamba nyumbani kwake Tegeta Jijini Dae es Salaam. Balozi…
Heche ataka Watanzania waunganishe nguvu kupigania nchi
Watanzania wametakiwa kuunganisha nguvu zao pamoja ili kupigania nchi yao na hatimaye kunufaika...
Historia ya kibabe, Tanzanite Queens ikifuzu Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ imefanikiwa kutinga...
Waziri ndejembi aagiza ukaguzi maalumu mradi wa umeme Malagarasi Kigoma
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema hajaridhishwa na mwenendo wa utekelezaji wa...
Kilio bei ya mafuta chagusa usafiri wa baiskeli
Kupanda kwa nauli za mabasi ya abiria mijini na bodaboda, kumefungua milango ya neema kwa wadau...
Coop Bank yazidi kuchochea ujumuishi wa kifedha, yazindua tawi
Coop Bank imezindua tawi jipya mjini Mtwara ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kupanua huduma...
TRA United yaweka rekodi ya kibabe Arusha
KAMA kuna furaha ndani ya kikosi cha TRA United kwa sasa basi ni hatua ya kuangusha mbuyu kwa kuichapa Azam mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,…
Straika aliyepigana na shabiki afungiwa
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Zanzibar (ZLB), imemfungia kucheza mechi tatu mfululizo mshambuliaji wa Muembe Makumbi, Abdalla Iddi ‘Pina’ kwa kosa la utovu wa…
Vijana watumia taka za nywele kuzalisha mbolea
Vijana wabunifu wameanza kutumia mabaki ya nywele za binadamu kutoka saluni mbalimbali...
Mecky Maxime atajwa Mtibwa Sugar
TAARIFA za ndani zinaeleza makubaliano ya uongozi wa Mtibwa Sugar ya kuachana na Kocha Yusuf Chipo, yapo hatua ya mwisho na ni suala la muda kutangaza rasmi, huku klabu hiyo…
Julio kukomalia hapa Mashujaa
LICHA ya Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kuiongoza timu hiyo katika mechi nane za Ligi Kuu Bara bila ya kupoteza, amesema moja ya jukumu kubwa analofanyia kazi kwa…
Sheikh Salum: maridhiano njia sahihi kudumisha amani Tanzania
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema...
Wataalamu waeleza chanzo, athari bajeti kiduchu Ofisi ya Makamu wa Kwanza
Wakati fedha kidogo zikitengwa kwa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, wachambuzi wa kisiasa na...
Fountain Gate yazidi kuiweka pabaya KMC
KMC imeendeleza uteja mbele ya Fountain Gate katika Ligi Kuu Bara baada ya leo Mei 10, 2026 kuchapwa mabao 3-2 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Ulinzi upo imara Mwanza
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amepongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Kwa kuimarisha ulinzi na usalama. Mtanda alisema hayo Mei 9 katika maadhimisho ya Siku ya…
Watumishi 11 Halmashauri ya Mbogwe wafukuzwa kazi
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita, limefikia uamuzi wa...
Mastaa Azam waugua ghafla
HALI ya sintofahamu imeibuka kwa wachezaji nyota wa kikosi cha Azam FC, baada ya kudaiwa kukumbwa na tatizo la kupumua kwa shida, lililotokea tangu mechi yao ya Ligi Kuu Bara…
Sababu wabunge kutaka uwekezaji wenye tija, uwajibikaji sekta ya nishati
Dhamira ya Tanzania ya kuongeza idadi ya kaya zinazotumia nishati safi ya kupikia inategemea...
Mapato Vodacom yapaa, ikiongeza wateja kwa zaidi ya asilimia 20
Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kuongezeka kwa faida katika mwaka wa fedha ulioishia...
Bima ya afya kwa wote kuteka mjadala bungeni kesho
Wakati Mkutano wa Tatu wa Bunge la Bajeti ukitarajiwa kuendelea kesho, wiki hii inatarajiwa...
Ndejembi achukizwa mradi wa umeme kukwama Kigoma
KIGOMA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameeleza kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma unaotekelezwa na kampuni ya DONGFANG Electric International…
Wanamichezo walivyong’ara Tuzo za BMT
TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimefanyika usiku wa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki…
Jiongeze: Stan Bakora katika dunia ya peke yake
Una ‘stresi’? Za mapenzi, ugumu wa maisha ama chochote. Fanya hivi, kama huna akaunti ya Insta...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amelitaka Jeshi la Polisi Nchini kuimalisha doria za mitandaoni ili kuwabaini waharifu wanaot…
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amelitaka Jeshi la Polisi Nchini kuimalisha doria za mitandaoni ili kuwabaini waharifu wanaotumia mitandao kuibia wananchi. Mtanda ametoa maelekezo hayo kwenye maadhimisho ya…
Serikali yakemea ufugaji holela wa punda mitaani
GEITA: SERIKALI imekemea tabia ya ufugaji holela wa wanyama aina ya punda usiozingatia huduma, makazi na malazi stahiki kwa wanyama hao hali inayopelekea kuhatarisha afya, usalama na maisha ya punda…
Mynaco afichua ushindani Yanga Princess
KIUNGO wa Yanga Princess, Maimuna Hamis 'Mynaco' amesema ushindani uliopo katika kikosi hicho ndiyo siri inayowafanya wachezaji wote kuongeza kiwango na kuwania nafasi kila wanapocheza.
Kilomita 985 barabara ya Nyang’hwale zaidhinishwa
GEITA: SERIKALI imeidhinisha mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa Km 985.28 katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita zitakazohudumiwa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA). Meneja wa TARURA…
Corazone atamani tena kimataifa
KIUNGO wa Simba Queens, Vivian Corazone amesema malengo yake msimu huu ni kubeba Kombe la Ligi Kuu ya Wanawake ili arejee kucheza michuano ya Afrika.
Kafulila ashauri malezi bora kwa watoto
Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa X (Zamani Twitter), Mkurugenzi wa kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na binafsi (PPPC), David Kafuila ametoa ujumbe maalumu wa…
Shikangwa misimu minne, mabao 60
MSHAMBULIAJI wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa ameendelea kuandika historia ya kipekee baada ya kufikisha jumla ya mabao 60 ndani ya misimu minne, takwimu zinazoendelea kumuweka kwenye orodha ya wachezaji hatari…
Bila Odongo, Cherono ni pigo Ceasiaa
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukosekana kwa wachezaji wawili wa kigeni, Anita Adongo na Diana Cherono, ni pigo kubwa kwa timu hiyo kutokana na mchango waliotarajiwa…
Rekodi tatu zinazosubiriwa Championship
LIGI ya Championship imebakisha mechi sita kumalizia msimu huu wa 2025-2026, huku ushindani ukiongezeka kwa kila timu kutokana na mahitaji mbalimbali, hususani kwa zile zinazotafuta nafasi ya kupanda Ligi Kuu…
“Huruma, imara na usawa zaidi”: Taswira ya maisha bila vifo vya uzazi
“Mama anapofariki, familia haipotezi mtu mmoja tu, inapoteza msingi wake,” ameeleza Kindness Ngoh, mkunga anayefanya kazi na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi,…
DC Kwimba asisitiza usimamizi wa karibu wa miradi
MWANZA: MKUU wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Lúdigija, amesistiza umuhimu wa kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali inakamilika…
Birdi outshines his Ugandan hosts in the Pearl of Africa Rally
MBARARA: TANZANIAN wheeler Randeep ‘Sanny’ Birdi beat a contingent of Ugandan rivals to win the National Rally Championship (NRC) title in the Shell V-P Pearl of Rally staged over the…
Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria
SHINYANGA: Mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kulwa Malale amesema Msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aid alivyoelezwa na kupewa ushauri amefarijika…
Tanzania hails elected Djibouti President, wishes him success in serving his people
DJIBOUTI: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, represented Tanzanian President Samia Suluhu Hassan at the inauguration ceremony of Djibouti President Ismaïl Omar Guelleh, held…