#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam …
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said…
Ijue safari ya kisiasa ya Raila Odinga
Unakumbuka nini kuhusu safari ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga Unayakumbuka mapito ya safari yake ya siasa Unaukumbuka vipi urithi wake mwanaharakati huyu wa kisiasa Tazama video…
Mradi wa umeme jua kukamilika Desemba
Serikali imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kitaifa wa umeme jua...
Maabara tano kupima vifaa vya umeme majumbani
Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia...
Wanne mbaroni wakituhumiwa kuendesha TV kinyume cha sheria
Jeshi hilo limewataka wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025 bila hofu, likisisitiza...
Araqchi aitaka NAM kukabiliana na maamuzi ya upande mmoja na ukiukaji sheria wa Marekani
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM)…
Mahakama yamtupa nje Mpina, ACT-Wazalendo chatoa mwelekeo
Sasa ni rasmi kwa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, Luhaga Mpina...
Mwaijojele aahidi mageuzi makubwa sekta za kilimo, madini na uvuvi
Mgombea Urais kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kuleta mageuzi makubwa...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepa…
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepatiwa matibabu na wengine wakiendelea kupata huduma katika hospitali…
Majogoro afichua siri ya kuwatosa vigogo
BAADA ya kiungo mkabaji, Baraka Majogoro kurejea nchini na kujiunga na kikosi cha KMC alichowahi kukitumikia hapo awali, nyota huyo amesema haikuwa rahisi kuzikataa ofa mbalimbali za timu kutoka ndani…
Serikali yaanza kufukua Mto Morogoro
Shangwe, furaha na vifijo vimetawala katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mtaa wa Mambi...
Raila Odinga: Baba wa mageuzi ya kisiasa Kenya
Raila Odinga alikuwa mmoja wa watu mashuhuri wa kisiasa nchini Kenya kwa miongo kadhaa licha ya kuwania urais mara tano bila mafanikio.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora zinazokidhi viwango vya kimataifa. Wito huo umetolewa ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini…
Kenya: Raila Odinga, aombolezwa duniani na Afrika
Viongozi mbalimbali duniani, wamekuwa wakitoa salamu zao za pole kwa wananchi wa Kenya, kufuatia kifo cha Raila Odinga. Imechapishwa: 15/10/2025 – 14:47Imehaririwa: 15/10/2025 – 14:49 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Matumaini, mashaka wagombea kwa INEC kampeni zikielekea ukingoni
Mjadala kwa sasa ni iwapo Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) inaweza kuakisi imani ya wadau wa...
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma…
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma ya maji safi, ambapo awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma…
Rais Samia, wanasiasa duniani wamlilia Odinga
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanasiasa mashuhuri na...
Nani atakuwa mwakilishi wa 10 wa Afrika Kombe la Dunia
Huenda Afrika ikawa na wawakilishi 10 katika mashindano yajayo ya Kombe la Dunia huko Marekani, Canada na Mexico yatakayofanyika kati ya Juni 11 na Julai 19 mwaka 2026.
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuongeza uzalishaji wa miche ya kahawa na kutoa matrekta kwa wakulima wa Kagera kwa gharama…
Kenya yaomboleza kifo cha Raila Odinga, kinara wa demokrasia na siasa
Kenya imekumbwa na msiba mzito, kufuatia kifo cha kiongozi mashuhuru wa upinzani na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, aliyefariki dunia Jumatano asubuhi akiwa na umri 80 baada kupata mshtuko wa…
Tanzania yazindua mfuko wa kukabili magonjwa ya mlipuko Biteko aonya upigaji fedha
Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amewataka watendaji wa Serikali wanaosimamia na kutekeleza...
Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinata…
Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinatarajiwa kuongeza uzalishaji wa umeme. Visima hivyo vinatarajiwa kuongeza uwezo wa uchimbaji…
Abiria zaidi ya 700 wa treni inayofanya safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati wamekwama kwa zaidi ya …
Abiria zaidi ya 700 wa treni inayofanya safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati wamekwama kwa zaidi ya saa 15 katika stesheni ya Dodoma. Meneja wa…
Walimu wa masomo ya sayansi katika Mkoa wa Ruvuma wanapatiwa mafunzo maalum ili kuongeza maarifa yao katika ufundishaji wa masom…
Walimu wa masomo ya sayansi katika Mkoa wa Ruvuma wanapatiwa mafunzo maalum ili kuongeza maarifa yao katika ufundishaji wa masomo hayo. Uamuzi huo umechukuliwa na viongozi wa mkoa huo kama…
Kongamano la ufugaji nyuki Afrika Mashariki kufanyika Arusha
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa kongamano la kwanza la kikanda kuhusu ufugaji nyuki...
Wakazi wa Mtaa wa Lalata na Kulangwa Goba, wanaoishi kando ya Mto Tegeta katika Wilaya ya Ubungo, wamelalamikia uchimbaji wa mch…
Wakazi wa Mtaa wa Lalata na Kulangwa Goba, wanaoishi kando ya Mto Tegeta katika Wilaya ya Ubungo, wamelalamikia uchimbaji wa mchanga unaoendelea katika mto huo unaosababisha uharibifu wa mazingira. Kilio…
#HABARI: Serikali ya Kenya imetangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa na Bendera kupeperushwa nusu mlingoti, katika maeneo yo…
#HABARI: Serikali ya Kenya imetangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa na Bendera kupeperushwa nusu mlingoti, katika maeneo yote ikiwemo balozi zote za Kenya, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu…
Shauri la Polepole mapya yaibuka, Ofisa wa Polisi atajwa mahakamani
Mambo mapya yameibuka katika shauri la kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Hii ni safari ya maisha ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kabla ya kifo chake
Hii ni safari ya maisha ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kabla ya kifo chake. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Watu wanne wamekamatwa wilayani Mpanda kwa kosa la kutumia umeme kwa muda mrefu bila kulipia
Watu wanne wamekamatwa wilayani Mpanda kwa kosa la kutumia umeme kwa muda mrefu bila kulipia. Kufuatia tukio hilo, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limewataka wananchi kutojiingiza kwenye wizi au matumizi…
Kifo cha Odinga: Guterres akumbuka mchango wake kwa demokrasia Kenya
Kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga hii leo, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea masikitiko yake makubwa kufuatia taarifa hizo.
Watu zaidi ya milioni 1.4 wamelazimika kufungasha virago na kukimbia makwao Haiti: IOM
Idadi ya watu waliofurushwa makwao kutokana na ghasia na ukosefu wa usalama nchini Haiti imefikia kiwango kisichokuwa na kifani cha watu milioni 1.4 mwaka huu, imesema ripoti ya Shirika la…
Utoweshwaji Bangladesh: Türk ataka haki na uwazi katika kesi
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, Volker Türk, amesema leo kuwa kuanzishwa kwa mashitaka rasmi dhidi ya watuhumiwa wa utekaji nyara na mateso chini ya utawala…
IOM na wadau nchini Kenya waimarisha ulinzi ziwa Victoria kupambana na wahalifu
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM kwa kushirikiana na Ofisi ya Marekani ya Masuala ya Kimataifa ya kupambana na Dawa za Kulevya na Utekelezaji wa Sheria (INL), na…
Mwaka 2024 umevunja rekodi kwa ongezeko la hewa ukaa angani: WMO Ripoti
Kiwango cha hewa ukaa au CO₂, angani kimeongezeka kwa kiasi cha kuvunja rekodi mwaka 2024, kikipanda hadi viwango vipya vya juu na kusababisha ongezeko la muda mrefu la joto duniani…
Wanawake wa vijijini Kenya wataka uwezeshaji wa kifedha
Kuanzia Oktoba 15 mwaka 2008 dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini kama fursa ya kutambua mchango mkubwa wa wanawake hawa katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na…
Hamad awataka mawakala kulinda kura
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Alliance for Democratic...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Mauzo ya chuma ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 26%
Thamani ya mauzo ya madini ya chuma ya Iran ilipanda hadi karibu dola bilioni 4 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2025, na kuashiria ongezeko la asilimia 26 ya…
DRC, M23 zasaini makubaliano ya kubuni utaratibu wa usitishaji mapigano
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23 wametia saini makubaliano mjini Doha ya kuanzisha utaratibu wa ufuatiliaji na uhakiki wa usitishaji mapigano, chini ya…
Wakulima wapewa mbinu kuimarisha zao la kahawa
Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea...
Ivory Coast yaiduwaza timu ya Harambe Stars 3-0
Ivory Coast imeifunga Kenya 3–0 mjini Abidjan, huku winga wa Manchester United Amad Diallo akifunga bao maridadi kwa mkwaju wa Freekick kunako dakika ya 84, na pia alitoa pasi ya…
Lavrov: Nchi za Magharibi zinachochea migawanyiko Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kivuli cha ukoloni kinasalia kuwa chanzo kikuu cha migogoro barani Afrika, na wakoloni wa zamani, sasa hivi wanajaribu kukwepa uwajibikaji…
Ulaya ina nafasi gani katika mpango wa amani wa Trump?
Ulaya imejikuta pembeni katika mpango wa amani wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Gaza, lakini viongozi wa bara hilo wameonyesha nia ya kuchukua nafasi ya uongozi katika kujenga mustakabali…
Juma Nature azikataa nyimbo za sasa, atoa sababu
Unamkumbuka lejendari wa Bongofleva, Juma Kassim Kiroboto? Mwamba wa muziki wa kizazi kipya...
Jihadul Islami: Muqawama haujaafiki kipengee cha kuweka chini silaha
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Jihadul Islami ya Palestina amepuuzilia mbali wazo la kupokonywa silaha wanamuqawama na kusema kuwa, makundi ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina hayajaafiki…
Marioo kwa Paula humwambii kitu
Msanii wa Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’ amewajia juu wanaoingilia penzi lake na mama wa...
Dk Mwinyi aahidi kushughulikia changamoto za wenye ulemavu
Mgombea huyo wa urais wa Zanzibar ambaye anatetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili, amesema kwa...
‘Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa Netanyahu’ – The Independent
Tahariri za magazeti: Tuanze kwa kuangazia yaliokuwepo kwenye gazeti la The Independent, ambalo tahariri yake iliitwa "Ziara ya Ushindi ya Trump, na Mwanzo wa Mwisho wa Netanyahu."