Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa ufafanuzi kuhusu hatma ya wapigakura zaidi ya 106,00 ambao walijiandikisha kupiga k…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa ufafanuzi kuhusu hatma ya wapigakura zaidi ya 106,00 ambao walijiandikisha kupiga kura kwenye vituo 292 vilivyokuwa kwenye kata 10 zilizofutwa kutokana na…
Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo …
Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo atafanikiwa kupata ridhaa ya wananchi ya kuwa Rais wa Zanzibar. Rashid…
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga ki…
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga kilichotokea nchini India. Mbali ya siku hizo saba pia bendera…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu …
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu kwa watu wenye ulemavu sambamba na kutoa vifaa visaidizi kwa…
Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chak…
Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chakula kwa miezi mitatu bure ili kuwasaidia kujenga afya zao. Mluya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi, ataongeza ruzuku kwa wawekezaji wanaosambaza Nishati ya Gesi,…
Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi…
Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara ili kuongeza nafasi za ajira kwa wakazi wa mikoa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es Sal…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es Salaam yenye gharama ya shilingi Bilioni 224.22 inayotekelezwa na…
Dk Mwinyi: Tutatunga sheria kali kuwabana wanaume wanaotelekeza watoto
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi ameahidi...
Halmashauri Mbeya kinara utekelezaji miradi ya maendeleo, sababu zatajwa
Miradi hiyo mitano yenye thamani ya Sh1.3 bilioni ikiwepo ujenzi wa bwalo ya wanafunzi Shule ya...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 15, 2025 -LISSU AENDELEA KUMBANA SHAHIDI WA PILI
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 15, 2025 -LISSU AENDELEA KUMBANA SHAHIDI WA PILI
Gombo aahidi kupambana na wasiojulikana,
Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema iwapo atapata ridhaa...
Dk Tindwa ataja sababu za Samia kuchaguliwa kiti cha urais
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Dk Chakou Tindwa amesema...
Mwalimu: Nitasimamisha mchakato kusafirisha gesi nje ya Lindi
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi endapo atapewa...
Lissu alalama wageni wake kuondolewa nchini
Tundu Lissu, amewasilisha malalamiko mahakamani kuhusu wageni wake kuondolewa nchini.
Heche, Mnyika na wenzao wapewa siku sita kujibu madai ya kudharau mahakama
Mahakama Kuu imewaamuru viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Makamu...
Samia abainisha maeneo manne ya kukomboa wananchi wa Karagwe
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
#HABARI:Shirika la Umeme TANESCO mkoani Katavi, limewakamata watu wanne na mmoja anaendelea kutafutwa wote wakazi wa Kitongoji c…
#HABARI:Shirika la Umeme TANESCO mkoani Katavi, limewakamata watu wanne na mmoja anaendelea kutafutwa wote wakazi wa Kitongoji cha Isagala kijiji cha Uruila, katika Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mpanda kwa…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kakonko, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Thomas Mvano, ameiomba serikali kuhakikisha in…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kakonko, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Thomas Mvano, ameiomba serikali kuhakikisha inajenga Barabara ya kuelekea soko la mpakani Muhange kwa kiwango cha lami, ili…
Othman aahidi vijana kunufaika na ajira za miradi inayotekelezwa
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ameeleza namna...
Othman aahidi kuvalia njuga ukatili wanawake, watoto
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ameahidi...
Abiria zaidi ya 700 wa treni ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati, hatimaye w…
Abiria zaidi ya 700 wa treni ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati, hatimaye wameendelea tena safari yao baada wahandisi wa TRC kukamilisha…
Samia aahidi kuhuisha huduma za jamii Kagera, boti mbili za wagonjwa Muleba
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi akipewa...
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030, katika Jimbo la Peramiho kimeahidi kuiunga…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030, katika Jimbo la Peramiho kimeahidi kuiunganisha Tanzania na Msumbiji kwa barabara ya kiwango cha lami yenye…
Mluya wa DP aahidi Serikali isiyokopa nje
Mgombea urais wa Chama cha Democratic Party, Abdul Mluya leo Jumatano Oktoba 15, 2025...
#HABARI: Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko …
#HABARI: Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na…
Kocha Mbelgiji ateta na Folz, Pantev
KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kiungo aibua jambo Yanga, ikiwafuata Wamalawi
KATIKA benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha mkuu Romain Folz, vichwa vinauma wakati maandalizi kuelekea mechi ya ugenini ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silvers Strikers yakiendelea.…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 15, 2025 amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara jijini Dar…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 15, 2025 amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara jijini Dar es Salaam inayojengwa kwa zaidi ya shilingi…
CCM kujenga kiwanda cha alizeti Singida
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewaahidi wananchi wa Mkoa wa Singida ujenzi wa kiwanda cha mafuta...
Malori ya misaada yameanza kuingia Katika Ukanda wa Gaza
Malori ya misaada yameanza kuingia Gaza na Israel imeanza maandalizi ya kukifungua kivuko cha Rafah baada ya kuzuka mzozo katika kurejesha miili ya mateka hali iliyotishia kuvuruga makubaliano tete ya…
Yule Mmadagascar na Yanga kuna jambo, iko hivi
Jarida la L'Express de Madagascar, limeripoti kwamba, kocha Romuald Rakotondrabe maarufu kwa jina la Rôrô, jana Oktoba 14, 2025, ametua jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na…
Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kwa ajili ya Waziri Mkuu wa zamani Raila
Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwwa kutoka kwa viongozi wa Afrika na duniani kote kufuatia tangazo la kifo la Raida Odinga.
Hukumu kesi ya zawadi kwa Askofu Sepeku Novemba 27
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, imepanga Novemba 27, 2025 kutoa hukumu ya kesi ya ardhi...
Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau wa maendeleo umefanya…
Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau wa maendeleo umefanya mkutano jijini Dar es Salaam kujadili mabadiliko ya mazingira…
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana…
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana na majanga ya mlipuko wa moto katika Soko la Stereo…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO: OKTOBA 15, 2025 – WAKULIMA WA MIWA WALALAMIKIA WADUDU WAHARIBIFU
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO: OKTOBA 15, 2025 - WAKULIMA WA MIWA WALALAMIKIA WADUDU WAHARIBIFU
Wanawake wajengewa uwezo kuwaongoza wengine
Imeelezwa kuwa, wanawake wanapojitambua, kujiamini, na kuwa tayari kuwaongoza wengine, hufungua...
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taari…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wito wa maandamano, na kueleza…
Kifo cha Msajili sababu kuahirishwa mapema kesi dhidi ya Lissu
Kifo cha Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Shinyanga, Asha Mwetindwa, kimesababisha...
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
Afrika Kusini yaanzisha mwalimu wa roboti wa AI
Roboti huyo anayejulikana kama IRIS, ana uwezo kufunza kwa kutumia lugha za Afrika Kusini, ikiwemo isiZulu, Afrikaans, Sesotho, na Kiingereza.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kujenga uwanja mkubwa wa ndege katika eneo l…
Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kujenga uwanja mkubwa wa ndege katika eneo la Kyabajwa, Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, endapo atachaguliwa kuunda serikali…
Buriani Raila Amolo Odinga
Mwanasiasa huyo mkongwe nchini Kenya amefariki dunia Oktoba 15, 2025 nchini India, alipokuwa akipokea matibabu.
Mnyarwanda kupewa majukumu mapya Dodoma Jiji
WAKATI Dodoma Jiji ikikaribia kumtambulisha, Amani Josiah, kukiongoza kikosi hicho, kwa sasa uongozi wa timu hiyo uko katika hatua za mwisho za kumpa majukumu mapya, Vincent Mashami raia wa Rwanda,…
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam …
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said…
Ijue safari ya kisiasa ya Raila Odinga
Unakumbuka nini kuhusu safari ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga Unayakumbuka mapito ya safari yake ya siasa Unaukumbuka vipi urithi wake mwanaharakati huyu wa kisiasa Tazama video…
Mradi wa umeme jua kukamilika Desemba
Serikali imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kitaifa wa umeme jua...