🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
#HABARI: Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe
#HABARI: Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani, ametoa rai kwa Majaji wa Mahakama Kuu nchini kuwa, namna watakavyotimiza wajibu wao ipasavyo katika utatuzi wa…
Guterres: Israel iache mpango wa kulidhibiti jiji la Gaza
Mapema Alhamisi kupitia ukurasa wake wa X, Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa aliandika kuwa tangazo la Israel kuhusu nia yake ya kulitwaa Jiji la Gaza linaashiria awamu mpya…
Masaibu ya wakimbizi wa Kakuma waliotenganishwa na wapendwa wao wakati wa mizozo
Dunia inaungana Agosti 30 kuadhimisha siku ya watu waliopotea,takwimu zikisema kuna watu karibu laki tatu ambao hawajulikani waliko, kote ulimwenguni. Baadhi ya watu waliotenganishwa na wapendwa wao ni wakimbizi waliofurushwa…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
Rwanda yakiri kuwa imepokea wahamiaji saba waliotimuliwa Marekani
Rwanda imekiri kuwa imepokea wahamiaji saba waliotimuliwa nchini Marekani mapema mwezi huu. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Ulaya na Ukraine zataka Urusi iwekewe vikwazo zaidi
Mkutano huo unafanyika siku moja baada ya shambulio la anga la Urusi katika jiji la Kiyv ambako watu 23 waliuawa na uwanja yaliko majengo ya ofisi za Umoja wa Ulaya…
Ulaya inajiandaa kuirejeshea Iran vikwazo vya UN
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo kabla ya mkutano wa Ulinzi wa Umoja huo mjini Copenhagen Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema kwamba…
#HABARI: Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepel…
#HABARI: Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepeleka pingamizi la kumpinga Mgombea wa kiti cha ubunge kwa tiketi ya chama…
Trump afufua tena simulizi za 'Riviera' ya Ghaza katika mkutano na Blair na Kushner
Rais Donald Trump wa Marekani amefufua tena mpango wake wa kuwahamisha Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza na kuligeuza eneo hilo la ardhi ya Palestina kuwa sehemu ya starehe na…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
#HABARI: Viongozi wa Kimila wa makabila takribani 18 mkoani Morogoro, na Wazee wa kimila wamefanya Tambiko maalum, lenye lengo l…
#HABARI: Viongozi wa Kimila wa makabila takribani 18 mkoani Morogoro, na Wazee wa kimila wamefanya Tambiko maalum, lenye lengo la kumpatia baraka na kumkaribisha Mgombea wa Urais, kwa Tiketi ya…
Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru kusitishwa ujenzi wa 'kanisa la Ruto, katika ikulu zote
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, Nairobi. Agizo hilo la muda linazuia pia ujenzi…
#HABARI: Kutokana na maboresho makubwa ya miundombinu ya Bandari ya Tanga, yaliyoigharimu Serikali jumla ya shilingi Bilioni 429…
#HABARI: Kutokana na maboresho makubwa ya miundombinu ya Bandari ya Tanga, yaliyoigharimu Serikali jumla ya shilingi Bilioni 429, yameimarisha ufanisi wa Bandari ya Tanga na kuwa kivutio kwa wateja wanaosafirisha…
“…kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani….sasa kun…
“…kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani….sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa…
Guterres: Hali mbaya ya Ghaza hailingani na yoyote katika zama za hivi karibuni
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa indhari kali ya kuongezeka vifo vya raia huko Ghaza, akiielezea hali ya eneo hilo la Palestina lililowekewa mzingiro na Israel kuwa…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuboresha Mziki wa singeli Tanzania..?, ambao umepata mashabiki wengi kwa sasa
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuboresha Mziki wa singeli Tanzania..?, ambao umepata mashabiki wengi kwa sasa
Russia na China zasimama na Iran dhidi ya E3 kwa kutumia vibaya azmio la UN
Russia na China zimechukua hatua kukabiliana na mpango wa nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya, E3, na kusambaza rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalopendekeza…
🔴CHAN 2024: HAPATOSHI MSHINDI WA TATU CHAN SUDAN VS SENEGAL
🔴CHAN 2024: HAPATOSHI MSHINDI WA TATU CHAN SUDAN VS SENEGAL…. AGOSTI 29, 2025
UN: Mzozo wa Rohingya umezidi kuwa mbaya kwa zaidi ya miaka minane sasa
Miaka minane baada ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Mynmar kulazimika kuhama katika Jimbo la Rakhine, Umoja wa Mataifa umesema kuwa mzozo unaowakabili raia hao umezidi kuwa mbaya. BONYEZA…
Russia: Tumepiga Ukraine kwa makombora ya hypersonic
Russia imetangaza habari ya kutekeleza mashambulizi ya masafa marefu dhidi ya shabaha za jeshi la Ukraine, kwa kutumia aina mbalimbali za silaha, yakiwemo makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal. BONYEZA…
Nani alirithi mali ya mabilioni ya Hitler baada ya kifo chake?
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 1 iliyopita Wakati Hermann Rothman, Myahudi Mjerumani anayefanya kazi katika shirika la ujasusi la Uingereza, alipoamka asubuhi ya 1945, hakujua jinsi ujumbe wake ulikuwa…
UNICEF yaonya: Watoto wamenasa kwenye janga la kutisha El Fasher, Sudan
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeonya juu ya janga kubwa la kuogofya linalowawajihi watoto walionasa mjini El-Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa…
#HABARI: Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv ta…
#HABARI: Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne wameuawa,…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imemhukumu Salumu Moshi Mkumbwa (20), mkulima wa Mtanda, Manispaa ya Lindi, kifu…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imemhukumu Salumu Moshi Mkumbwa (20), mkulima wa Mtanda, Manispaa ya Lindi, kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka mwanafunzi wa…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA ZA UBUNIFU, AGOSTI 29, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA ZA UBUNIFU, AGOSTI 29, 2025
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
Waislamu Nigeria wataka kuachiwa huru kiongozi wa Palestina
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani vikali hatua ya polisi ya Nigeria kumkata kiongozi wa Jumuiya ya Wapalestina katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, Ramzy Abu Ibrahim, ikisisitiza kuwa kukamatwa…
Msajili amegeuka mdhibiti? Wasiwasi wa Chadema, ACT na wanaharakati ulivyogeuka uhalisia
Chanzo cha picha, Global Publishers Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Sammy Awami Nafasi, Saa 2 zilizopita Agosti 29, 2025 Mahakama kuu kanda ya Manyara imefuta amri ya Msajili wa Vyama…
Rais Pezeshkian asisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa Iran na Madagascar
Rais Masoud Pezeshkian amewataka mabalozi wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika nchi za Madagascar na Croatia kuimarisha uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi hizi…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: NANI MBABE KUIBUKA CHAN?…AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: NANI MBABE KUIBUKA CHAN?…AGOSTI 25, 2025
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Iran yalaani vikali hatua ya E3 kutekeleza "snapback", yasema haina uhalali kisheria
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali uamuzi uliochukuliwa na Ufaransa, Ujerumani na Uingereza siku ya Alkhamisi wa kuanzisha utaratibu wa “snapback” wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa…
Israel yatakiwa kuachana na mpango wa kuiteka Gaza
Akizungumza Alhamisi na waandishi habari, Guterres amesema maelfu ya raia wa Gaza watalazimika kukimbia tena, na kuzitumbukiza familia katika hatari kubwa zaidi. Amerudia wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja,…
Israel yatakiwa kuachana na mpango wa kuidhibiti Gaza
Akizungumza Alhamisi na waandishi habari, Guterres amesema maelfu ya raia wa Gaza watalazimika kukimbia tena, na kuzitumbukiza familia katika hatari kubwa zaidi. Amerudia wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja,…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
🔴KUMEKUCHA:.TANZANIA NA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI…AGOSTI 29, 2025
🔴KUMEKUCHA:.TANZANIA NA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI…AGOSTI 29, 2025
Guterres aitaka Israel kujizuia kuidhibiti Gaza
Akizungumza Alhamisi na waandishi habari, Guterres amesema maelfu ya raia wa Gaza watalazimika kukimbia tena, na kuzitumbukiza familia katika hatari kubwa zaidi. Amerudia wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja,…
Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya Marekani ya kutumia turufu dhidi maazimio ya Umoja wa Mataifa “inaifanya kuwa mshiriki” wa jinai za utawala wa Israel…
Zelensky: Putin anataka kuendeleza vita
Akilihutubia taifa kwa njia ya video Alhamisi usiku, Zelensky amesema licha ya madai ya kuwa tayari kwa mazungumzo, malengo ya Urusi kuhusu vita hayajabadilika. Maafisa wamesema mashambulizi hayo makubwa ya…
Tetesi za soka Ijumaa: Mainoo aomba kuondoka Man Utd
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Kobbie Mainoo Dakika 11 zilizopita Kobbie Mainoo ameiambia Manchester United anataka kuondoka kwa mkopo kutafuta nafasi ya kucheza mara kwa mara, lakini…
🔴MAGAZETI: AHADI SIKU 100 ZA SAMIA.AGOSTI 29, 2025
🔴MAGAZETI: AHADI SIKU 100 ZA SAMIA.AGOSTI 29, 2025
Macron, Merz wasisitiza uhusiano wa karibu kati yao
Pongezi hizo amezitoa Alhamisi wakati akimkaribisha Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz nchini humo. Macron amesema baada ya miaka mingi ya uhusiano mbaya na Kansela wa zamani Olaf Scholz, kuanza upya…
Nchi 4 za Afrika kukosa chakula cha watoto wenye utapiamlo
Shirika hilo lilisema Alhamisi kwamba hali hiyo itachangiwa na uhaba uliosababishwa na kupunguzwa misaada. Yvonne Arunga, Mkurugenzi wa Save the Children katika eneo la Mashariki na Kusini mwa Afrika, amesema…
Iran: Tuko tayari kurejea kwenye mazungumzo ya ‘haki’
Katika barua yake aliyomuandikia mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas, Araqchi amesisitiza utayari na nia thabiti ya Iran kuanza tena mazungumzo ya kidiplomasia ya haki…
Ijumaa, tarehe 29 Agosti, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Sita Rabiul Awwal, mwaka 1447 Hijria, inayosadifiana na tarehe 29 Agosti mwaka 2028. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Urusi yashambulia Makao makuu ya EU na kuua 23
Chanzo cha picha, Getty Images Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 29, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 29, 2025