Rwanda: Kundi la kwanza la wahamiaji saba waliofukuzwa Marekani wapokelewa mjini Kigali
Mamlaka ya Rwanda imetangaza siku ya Alhamisi, Agosti 28, kuwasili kwa wahamiaji saba waliofukuzwa kutoka Marekani, ambao wako Kigali tangu katikati ya mwezi Agosti. Hili ni kundi la kwanza kupokelewa…
Polisi Ujerumani watoa tahadhari, watoto kuuzwa mtandaoni
Mamlaka nchini Ujerumani zimekamilisha uchunguzi wa idadi kubwa zaidi ya kesi za usafirishaji haramu wa binadamu na unyanyasaji mnamo mwaka 2024 tangu matukio hayo yalipoanza kuorodheshwa mnamo mwaka 2000. Maafisa…
Denmark yalalamika rasmi kuhusu juhudi za Marekani kujipenyeza kwa siri Greenland
Wizara ya Mambo ya Nje ya Denmark ilitangaza Jumatano kwamba imemwita balozi wa Marekani kufuatia ripoti za intelijensia zinazosema kwamba raia wa Marekani wamehusika kwa siri katika kuchochea upinzani dhidi…
CCM yazindua kampeni kuelekea uchaguzi wa Oktoba 29
Shangwe, nderemo na nyimbo za hamasa zilitawala leo jijini Dar es Salaam wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Uzinduzi huo uliofanyika…
Rwanda yawapokea wahamiaji 7 waliofurushwa Marekani
Hatua hiyo ni sehemu ya mkataba unaoiruhusu Rwanda kuwapokea wahamiaji wanaofurushwa Marekani. Serikali ya Rwanda imesema hayo Alhamisi. Msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, ameliambia shirika la Habari la…
Malawi yakabiliwa na uhaba wa dawa za kifua kikuu
Malawi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa dawa za kifua kikuu, huku maafisa wa afya wakionya kuwa akiba wanayo itaisha mwishoni mwa Septemba. Imechapishwa: 28/08/2025 – 17:25 Dakika 2 Wakati wa…
#VIDEO: “Jambo jengine tutapiga marufuku, ndugu wananchi tutapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya marehemu kuch…
#VIDEO: “Jambo jengine tutapiga marufuku, ndugu wananchi tutapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa………. ” – Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Ulaya yalaani vikali mashambulizi ya Urusi Ukraine
Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi imesema bado ina nia ya kufanya mazungumzo ya kusitisha vita vya Ukraine. Baada ya mashambulizi hayo ya Urusi mjini Kyiv, mkuu wa Halmashauri Kuu ya…
Niger yalipiza kisasi, yaweka masharti magumu kwa wasafiri kutoka nchi za Ulaya
Kufuatia sheria mpya ya usafiri iliyowekwa na serikali ya Niger, raia wa nchi zilizoathirika sasa inawalazimu wawasilishe maombi yao ya visa katika balozi za Niger zilizoko Russia, Uswisi, na Uturuki.…
Kampuni ya Dangote kutoka Nigeria na Ethiopia kujenga kiwanda cha mbolea cha dola Bilioni 2.5
Ethiopia imetia saini makubaliano na kampuni ya Dangote kutoka Nigeria ya kujenga kiwanda cha kutengeneza mbolea kitakachogharimu doma Bilioni 2.5, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametangaza leo Alhamisi katika…
#HABARI: Mahakama ya Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 10 mwaka huu, kusikiliza maombi ya walalamikaji katik…
#HABARI: Mahakama ya Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 10 mwaka huu, kusikiliza maombi ya walalamikaji katika kesi ya mgawanyo wa mali ambayo imefunguliwa na Mwenyekiti Mstaafu…
#HABARI: Wakazi wa Kata ya Kwakoa wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kumsindikiza Mgombea udiwani wa Kata ya Kw…
#HABARI: Wakazi wa Kata ya Kwakoa wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kumsindikiza Mgombea udiwani wa Kata ya Kwakoa Bw. kiende Mvungi kwenda kurudisha fomu ya kugombea udiwani, katika Ofisi ya…
Nchi saba zaihimiza UN kuimarisha kikosi cha usalama Haiti
Mataifa ya Marekani, Canada, na Kenya ni miongoni mwa nchi saba zinazolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukiimarisha Kikosi maalumu cha Usalama cha kimataifa (MSS) kilichopelekwa Haiti kupambana…
Mamilioni ya Waisraeli wajificha kwenye mahandaki baada ya kombora la Yemen kulenga uwanja wa ndege
Jeshi la Yemen limefanikiwa tena kulenga Ben Gurion, uwanja mkubwa wa ndege wa utawala wa Israel, katika operesheni mpya ya kuunga mkono Wapalestina ambayo ilisababisha makaazi ya walowezi haramu kukimbilia…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo, kimemlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jimbo la Itilima, lililo…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo, kimemlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jimbo la Itilima, lililopo mkoani Simiyu, Bw. Polycarp Ntapanya, kushindwa kupokea fomu ya mgombea Ubunge…
#VIDEO: Wakati shughuli za uzinduzi wa Kampeni za CCM zikiendelea Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, Heli…
#VIDEO: Wakati shughuli za uzinduzi wa Kampeni za CCM zikiendelea Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, Helikopta ilikuwa sehemu ya kampeni hizo ambapo imeonekana ikipita na Picha…
Afrika Kusini: Mauaji ya Wapalestina yameongezeka sana, Israel inapaswa kusitisha vita
Afrika Kusini imesema mauaji ya Wapalestina yanazidi kuongezeka na hivyo imeutaka utawala wa Israel uafiki mkataba wa kusitisha mapigano uliojadiliwa na wadau wote muhimu. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Watu 24 wauawa katika mashambulizi ya waasi wa RSF magharibi mwa Sudan
Watu wasiopungua 24 wameuawa na wengine 55 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya makombora ya waasi wa RSF katika mji mkuu wa El-Fasher, kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa Sudan. BONYEZA HAPA…
“….najua kulikuwepo na maneno au vijineno eti utaratibu umekiukwa, na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema pale kwenye Mkuta…
“….najua kulikuwepo na maneno au vijineno eti utaratibu umekiukwa, na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema pale kwenye Mkutano mkuu….” Rais Mstaafu – Dkt. Jakaya Kikwete #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz…
Iran ilishinda vita dhidi ya Israel na Marekani, ilimlazimisha adui akubali kushindwa
Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ilishinda katika vita vya siku 12 vya kichokozi vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Israel mwezi Juni, na ilifanikiwa…
#HABARI: Msafara wa Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk
#HABARI: Msafara wa Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ukiwasili kwenye Viwanja Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam ukiwa na ulinzi mzito kwa…
Serikali ya Ethiopia yazidi kuwakandamiza wanahabari
Katika miezi michache iliyopita, kamatakamata dhidi ya wanahabari imeshamiri nchini Ethiopia. Hali hii imesababisha hofu na mashaka miongoni mwa jumuiya wanahabari si tu ambao wamo katika nchi hiyo lakini pia…
Jerusalem Post: Wayemen hawawezi kushindwa
Katika ripoti yake ya siku ya Jumatano, gazeti moja la Kizayuni sambamba na kusisitiza kutoweza kushindwa taifa la Yemen limesema kuwa, utawala ghasibu wa Israel hautaki kuingia katika mzozo wa…
Hizi ndizo nchi 7 ‘hatari’ zaidi kwa usalama Afrika
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024 Maelezo kuhusu taarifa Author, Mariam mjahid Nafasi,…
🔴CCM INAZINDUA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU 2025 KAWE DAR ES SALAAM, AGOSTI 28, 2025
🔴CCM INAZINDUA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU 2025 KAWE DAR ES SALAAM, AGOSTI 28, 2025
Wasiwasi juu ya kuongezeka kwa makundi ya kigaidi Iraq
Wanasiasa wa Iraq wanalenga kufanya mageuzi ya sheria inayowahusu wanamgambo walio nje ya udhibiti wa serikali. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo ambayo yanachukuliwa kama kipimo cha uhuru wa Iraq yatazidisha uwepo…
Iran yaionya Australia “kufikiria upya” uamuzi wake la sivyo ikabiliwe na athari
Chanzo cha picha, EPA-EFE/REX/Shutterstock Maelezo ya picha, Waziri wa masuala ya Kigeni nchini Iran Abbas Araqchi 27 Agosti 2025 Katika kukabiliana na kutimuliwa kwa balozi wa nchi hiyo kutoka Australia,…
Ardhi ya ekari 100 yatengwa kwa makaburi mapya Nairobi
Wakaazi wa jiji la Nairobi sasa wanashusha pumzi baada ya kupata nafasi zaidi mahsusi kuwapumzisha wapendwa wao wanapomaliza safari ya maisha hapa duniani. Serikali ya kaunti ya Nairobi imetenga ekari…
Yemen yashambulia uwanja wa ndege wa Ben-Gurion kwa kombora la masafa marefu
Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa uwanja wa ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv umelengwa kwa shambulio la kombora la balestiki la nchi hiyo. BONYEZA HAPA USOME HABARI…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 28, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 28, 2025
17 kuwania urais uchaguzi mkuu Tanzania 2025
Chanzo cha picha, URT/SALUM 27 Agosti 2025 Tume huru ya Taifa ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imeteua rasmi majina ya wagombea 17 wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Save The Children: Njaa huko Gaza ni ya makusudi na ya kubuniwa
Katika taarifa yake siku ya Jumatano, mkuu wa shirika la kimataifa la Save the Children ameashiria hali mbaya ya Gaza na kusema njaa katika ukanda huo ni jambo lililopangwa, linalotabirika…
Rwanda na Msumbiji zatia saini makubaliano ya usalama
Rwanda na Msumbiji zimetia saini makubaliano ya “amani na usalama” wakati wa ziara ya rais Daniel Chapo mjini Kigali nchini Rwanda. Vikosi vya nchi hizo mbili vinapambana na uasi wa…
Mashambulizi ya Urusi yawaua watu 14 Ukraine
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine usiku wa kuamkia Alhamisi ndiyo makubwa baada ya wiki kadhaa wakati kukiwa na juhudi zinazoongozwa na Marekani za kuvimaliza vita kati ya Moscow na…
Nyota 5 waliocheza EPL wakiwa na umri mdogo
Chanzo cha picha, Getty Images/EPA Maelezo ya picha, Picha ya Max Dowman, Rio Ngumoha na Willian Estevao Maelezo kuhusu taarifa Author, Mariam Mjahid Nafasi, BBC Swahili Dakika 33 zilizopita Wachezaji…
Balozi wa Marekani Denmark alalamikiwa kuhusu juhudi za Marekani kujipenyeza kwa siri Greenland
Wizara ya Mambo ya Nje ya Denmark ilitangaza Jumatano kwamba imemwita balozi wa Marekani kufuatia ripoti za intelijensia zinazosema kwamba raia wa Marekani wamehusika kwa siri katika kuchochea upinzani dhidi…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 28, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 28, 2025
Watoto wawili wauawa kwa risasi kanisani Minneapolis
Shirika la upelelezi la Marekani FBI limeanzisha uchunguzi dhidi ya kisa cha mtu aliyekuwa na bunduki kuua watoto wawili kanisani kwa kuwapiga risasi. Kisa hicho kimetokea jana Jumatano katika kanisa…
China yasema, Kim Jong Un kuhudhuria gwaride la kijeshi
China imesema kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, atahudhuria na kukagua gwaride kubwa la kijeshi mjini Beijing Septemba 3, wakati wa kumbukumbu ya miaka 80, tangu kumalizika kwa Vita…
Kim Jong Un na Putin kuizuru China Jumatano
Ziara hiyo ni kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 80 tangu kumalizika Vita vya Pili vya Dunia. Hafla hiyo itamkutanisha Kim pamoja na baadhi ya viongozi wa dunia kwa…
Mashambulizi makubwa ya Urusi yaua 10 Ukraine
Wengine 38 wamejeruhiwa, majengo kadhaa yakiwemo makaazi ya watu pia yameharibiwa ikiwemo katika mji mkuu Kiev. Maafisa wa Ukraine wamesema hayo leo huku rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akisema shambulizi…
Rwanda, Msumbiji zasaini makubaliano ya ‘amani na usalama’
Makubaliano hayo yamesainiwa mnamo wakati mashambulizi ya wanamgambo nchini Msumbiji yameongezeka huku vikosi vya nchi hizo mbili vikipambana dhidi ya uasi wa muda mrefu wa wanamgambo, kaskazini mwa Msumbiji. Rais…
Boniface Mwangi atangaza kuwania urais Kenya mwaka 2027
Mkosoaji mkuu wa serikali ya Kenya Boniface Mwangi ametangaza rasmi kwamba atawania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027, akieleza azma ya kuleta kile alichokiita “mwanzo mpya.” Mwanaharakati huyo mwenye umri…
Ethiopia: Tume ya uchunguzi yaonya juu ya hali ya maisha ya watu waliohama makazi Tigray
Katika mji wa Tigray, kaskazini mwa Ethiopia, karibu miaka mitatu baada ya kusainiwa kwa mikataba ya Pretoria, Tume ya Uchunguzi kuhusu Mauaji ya Kimbari imeonya juu ya hali ya maisha…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 28, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 28, 2025
Togo: Wafungwa wa kisiasa waanza mgomo wa kula
Nchini Togo, katika gereza la kiraia la Lomé, Abdoul Aziz Goma, raia wa Ireland mwenye asili ya Togo, ametangaza kuanza kwa mgomo wa kutokula kwa muda usiojulikana siku ya Jumatano,…
Mwanaharakati mtetezi wa haki Kenya atangaza kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha urais 2027
Mwanaharakati maarufu wa kutetea haki nchini Kenya Boniface Mwangi ametangaza kwamba atawania urais katika uchaguzi mkuu wa 2027. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM, tayari wameshafika katika Uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya uzinduzi wa K…
#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM, tayari wameshafika katika Uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Chama kuelekea Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2025 #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania…