Marekani na mataifa ya Ghuba yaushinikiza Umoja wa Mataifa kuilaani Iran
Marekani na mataifa kadhaa ya Ghuba siku ya Alhamisi yameitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Iran iache kuzuia urambazaji katika Mlango-Bahari wa Hormuz, kwani rasimu ya azimio…
Tanzania yawekeza kwenye ubora soko la ufuta duniani
Serikali na wadau wamesisitiza kuimarishwa kwa ubora wa zao hilo katika soko ambalo ushindani...
Citizens reclaim stolen rights as ‘Sema na Waziri’ delivers swift justice
DODOMA: THE ‘Sema na Waziri programme’ has continued to emerge as a lifeline for scores of Tanzanian citizens struggling with long-standing legal challenges and unresolved disputes at lower administrative levels…
Donald Trump: Usitishaji mapigano bado unaendelea baada ya Sshambulio la Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump anadai kwamba usitishaji mapigano na Iran bado unaendelea licha ya shambulio la meli tatu za kivita za Marekani mapema siku Alhamisi. Imechapishwa: 08/05/2026 – 08:00…
High Court dismisses StanChart appeal application in IPTL case
DAR ES SALAAM: THE High Court Commercial Division in Dar es Salaam has dismissed an application by Standard Chartered Bank seeking an extension of time to pursue its appeal challenging…
Double-cohort preps top ministry’s 2.394tri/- budget plans
DODOMA: THE Ministry of Education, Science and Technology presented a 2.394trillion/- budget for 2026/27 fiscal year, with a strong focus on preparing for the “double-cohort” enrolment surge set for January…
Msumbiji imeongeza bei za dizeli kwa 46%
Nchini Msumbiji, akiba ya mafuta haitoshi tena. Serikali ya Daniel Chapo sasa inalazimika kuongeza bei. Serikali ilisita kutekeleza hatua hii isiyopendwa na raia baada ya ghasia za hivi karibuni za…
Marekani na Iran wanashutumiana kwa kukiuka makubaliano ya usitishaji mapigano
Jeshi la Marekani linadai kuishambulia Iran baada ya shambulio dhidi ya meli zake kadhaa. Kwa upande wake, Iran inasema imerusha makombora siku ya Alhamisi, Mei 7, “baada ya jeshi la…
Benki ya Coop ilivyojipanga kuteka soko la huduma za kifedha Tanzania
Benki ya Ushirika (Coop Bank) imejipanga kwa kasi kujiweka katika nafasi ya juu kwenye sekta ya...
Marekani: Mahakama yabatilisha ushuru wa muda wa 10% uliowekwa na Donald Trump
Mahakama ya Marekani imeamua siku ya Alhamisi, Mei 7, kwamba ushuru wa muda wa 10% uliowekwa mwezi Februari na Donald Trump kuchukua nafasi ya ushuru mkubwa uliokuwa umefutwa na Mahakama…
Mstaafu anapoishia kujiuliza ashike lipi, aache lipi!
Majuzi hiki chama kisemekanacho kuwa ni cha kuwatetea na kuwasemea waajiriwa kuhusu matatizo...
Hukumu na sharia za usimamizi wa ndoa
Mkataba wa ndoa ni miongoni mwa mikataba ambayo Uislamu umeipa umuhimu mkubwa, umeitukuza na...
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Côte d’Ivoire: Baada ya kuvunjwa kwa tume ya uchaguzi, upinzani waweka masharti yake
Serikali ilivunja Tume Huru ya Uchaguzi (IEC) siku ya Jumatano Mei 6. Kwa miaka 25, IEC iliandaa na kusimamia uchaguzi. Mara kwa mara ilikabiliwa na ukosoaji mkali kutoka kwa vyama…
Senegal: Mashabiki watatu waliokuwa wanazuiliwa Morocco tangu fainali ya AFCON warejea nyumbani
Nchini Senegal, mashabiki watatu katika kundi la kwanza waliokamatwa nchini Morocco kufuatia vurugu wakati wa mchezo wa fainali ya AFCON huko Rabat walitua uwanja wa ndege wa Dakar jana usiku,…
DRC: Marekebisho ya Katiba – nani anafanya nini, vipi, na kwa nini?
Mradi ulioanzia mwezi Oktoba 2024… karibu mwaka mmoja baada ya kuchaguliwa tena. Siku ya Jumatano jioni, Mei 6, huko Kinshasa, Rais wa DRC Félix Tshisekedi alitangaza kwamba yuko tayari kwa…
Standard Chartered zakwama mahakamani dhidi ya IPTL
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Biashara, Dar es Salaam, imekataa ombi lililowasilishwa...
DRC: Angalau watu 36 wameuawa na waasi wa ADF kaskazini mashariki
Angalau watu 36 wameuawa tangu siku ay Jumanne, Mei 5, katika mashambulizi kadhaa ya waasi wa ADF, wanaohusishwa na kundi la wanajihadi la Islamic State, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya…
Leo inavyojenga, kuharibu afya ya kesho yako
Katika mbio za maisha ya kila siku, binadamu amejikuta akijikita zaidi katika kutafuta...
Amos Kimunya abwaga manyanga siasa asema anachotaka kufanya: “Sasa niko tayari”
Amos Kimunya anastaafu kutoka siasa baada ya kuondolewa mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi, akiapa kuwapa ushauri vijana na kushiriki uzoefu kutoka kwa kazi yake.
Bodaboda wa Nyamira abubujikwa na machozi baada ya pikipiki yake kuibiwa siku moja baada ya kuinunua
Mendesha boda boda huko Kebirigo, kaunti ya Nyamira alilia sana baada ya pikipiki yake mpya kuibiwa, na kusababisha huruma na hisia kali mtandaoni.
Marekani na Iran zarushiana makombora, Trump asema usitishaji wa vita unaendelea
Iran imedai kushambulia meli za kijeshi za Marekani karibu na bandari ya Chabahar kujibu mashambulizi ya Marekani dhdi ya meli zake mbili karibu na Mlango bahari wa Hormuz pamoja na…
Yıldırımhan: Lifahamu kombora la kwanza la masafa marefu la Uturuki
Katika miaka ya karibuni, Urusi imetumia makombora ya balistiki ya masafa ya kati kushambulia maeneo nchini Ukraine.
Félix Tshisekedi awazia kuahirisha uchaguzi DRC na kuongeza muda wake ofisini: “Watu wananitaka”
Rais wa DR Congo Félix Tshisekedi amedokeza uwezekano wa kutafuta muhula wa tatu ofisini, akitoa mfano wa kutokuwa na utulivu na ucheleweshaji wa uchaguzi.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 8, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Wakulima wa Pamba kutoka Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Rais Dkt
Wakulima wa Pamba kutoka Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa usaidizi wake mkubwa katika sekta ya kilimo cha Pamba kwa kutoa mbegu,…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 07, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 07, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 07, 2026
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 07, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
“Je haya mafuta wakati suluhisho hili linatafutwa hii akiba ilitumika lini, haya mafuta yaliyopanda bei yametoka wapi na kuna ak…
"Je haya mafuta wakati suluhisho hili linatafutwa hii akiba ilitumika lini, haya mafuta yaliyopanda bei yametoka wapi na kuna akiba, lakini Serikali inachukua kodi, Serikali Ina mfuko wa dharura, imekabiliana…
“Tunashauri Serikali ipunguze kodi kwa Wafanyabiashara, ikifanya hivyo itapunguza makali ya mafuta,” Furaha Bundala – Mwenyekiti…
"Tunashauri Serikali ipunguze kodi kwa Wafanyabiashara, ikifanya hivyo itapunguza makali ya mafuta,” Furaha Bundala - Mwenyekiti waendesha Bajaji Ilala. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000…
#MALUMBANO: “Sisi mafuta yanafikia hapa kwetu, hizi kodi nyingi ambazo wameweka, tozo na kodi ndio ambazo zinaleta matatizo kwa …
#MALUMBANO: "Sisi mafuta yanafikia hapa kwetu, hizi kodi nyingi ambazo wameweka, tozo na kodi ndio ambazo zinaleta matatizo kwa sababu sisi mafuta yanafikia hapa, mimi nashauri hizi kodi zingesimama kwanza…
Wawakilishi waibana Serikali kilimo cha kisasa, viwanda, wakipitisha bajeti ofisi ya OMPR
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameitaka Serikali kuongeza nguvu katika kilimo cha...
Familia ya baharia Mchama Maregesi aliyeuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya meli aliyokuwa akifanya kazi kwenye eneo len…
Familia ya baharia Mchama Maregesi aliyeuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya meli aliyokuwa akifanya kazi kwenye eneo lenye mgogoro wa kiusalama la Mlango wa Hormuz wameiomba serikali kuwasaidia kuupata mwili…
Mwili wa James Temba uliokutwa bila kichwa ukielea kwenye Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam umezikwa kijijini kwao Tela Mande -O…
Mwili wa James Temba uliokutwa bila kichwa ukielea kwenye Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam umezikwa kijijini kwao Tela Mande -Old Moshi mkoani kilimanjaro. Enos Masanja amehudhuria maziko hayo. Mhariri…
Valverde kuikosa Barcelona kisa kipigo cha Tchouameni
Nahodha wa Real Madrid, Fede Valverde ataukosa mchezo dhidi ya Barcelona ‘El Classico’ Jumapili...
Doyo advocates African-led systems amid global governance debate
DAR ES SALAAM: Tanzanian opposition politician Doyo Hassan Doyo has called for African countries to strengthen regional political and legal systems while questioning the credibility of global institutions such as…
Kimani Wamatangi hana uhakika ikiwa atatetea kiti cha ugavana kupitia tiketi ya UDA: “Watu wataamua”
Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi amedokeza huenda asitafute kuchaguliwa tena kupitia tiketi ya UDA, akipa kipaumbele chaguo za wafuasi na rekodi yake ya maendeleo.
Hofu yaibuka biashara ya mishkaki ikishika kasi kando ya Barabara Morogoro
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wameeleza wasiwasi wao kuhusu usalama wa afya...
Kesi ya kung’atuliwa kwa Gachagua: Njeri Maina aambia mahakama mchakato ulikuwa haramu, ulipangwa
Wakili wa Rigathi Gachagua, Njeri Maina, aliiambia mahakama kwamba Bunge lilikiuka Katiba wakati wa mchakato wa kumshtaki Gachagua na ushiriki wa umma.
Wadau wa ujenzi wa meli wataka udhibiti wa mafundi
Wadau wa sekta ya ujenzi wa meli nchini wametaka kuwepo kwa udhibiti madhubuti ili kuondoa...
Jamaa Mkenya asalimisha gari kwa benki baada ya mkopo kuwa mzigo mzito kwake
Mwanamume kijana Mkenya amezua mjadala mtandaoni baada ya kusalimisha gari lake kwa benki kihisia wakati marejesho ya mkopo yalipokuwa magumu sana kuyamudu.
Halmashauri Kuu CCM yaazimia mambo matano
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kujifanyia tathmini ili kujiboresha kiutendaji, kimuundo...
Happy Birthday @yusufbakhresa
Happy Birthday @yusufbakhresa (Feed generated with FetchRSS)
NCCR Mageuzi yatofautiana uteuzi wa Evaline
Uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR- Mageuzi, Evaline Munisi, kuwa mbunge na naibu waziri...
Asha Baraka alia na mzigo wa mabegi kwa wanafunzi, ashauri haya
Mbunge wa Viti Maalumu, Asha Baraka ameiomba Wizara ya Elimu kuangalia upya utaratibu wa elimu...