#HABARI: Zaidi ya wananchi 30 wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, waliotoa maeneo yao ya masham…
#HABARI: Zaidi ya wananchi 30 wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, waliotoa maeneo yao ya mashamba kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Trena ya kisasa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA : AGOSTI 27, 2025 – WANANCHI WAOMBA KUWEKEWA HUDUMA YA MAJI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA : AGOSTI 27, 2025 – WANANCHI WAOMBA KUWEKEWA HUDUMA YA MAJI
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Missenyi mkoani Kagera, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Florent Laurent Kyombo, amerejesha…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Missenyi mkoani Kagera, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Florent Laurent Kyombo, amerejesha fomu ya kupeperusha bendela ya Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka…
#HABARI: Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda Maalumu ya Saadani, kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya …
#HABARI: Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda Maalumu ya Saadani, kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamefanikiwa kukamata majahazi mawili…
#HABARI: Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki, wameandamana na mgombea Ubunge wa Jimbo hilo Daktari George Lugo…
#HABARI: Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki, wameandamana na mgombea Ubunge wa Jimbo hilo Daktari George Lugomela, kurejesha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo hilo huku akijipambanua…
Bado haijulikani atakapozikwa Edgar Lungu
Baada ya Mahakama Kuu ya Gauteng mjini Pretoria kuamua kuwa serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa Rais wa zamani Edgar Lungu hadi nchini mwake, familia yake imejaribu…
17 kuwania Urais Tanzania
Tume huru ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imeteua rasmi majina ya wagombea 16 wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusiana na uamuzi wa serikali ya Australia wa kupunguza kiwango cha uhusiano wa kidiplomasia na Iran
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha taarifa ikiutaja uamuzi wa serikali ya Australia wa kupunguza kiwango cha uhusiano wa kidiplomasia na Iran kuwa kinyume…
Fidia kwa waathiriwa wa maandamano Kenya
Jopo hilo linamjumuisha Profesa Makau Mutua ambaye ndiye mwenyekiti na mratibu mkuu, huku Faith Odhiambo Mony akiwa makamu mwenyekiti. Wengine waliochaguliwa ni pamoja na Kennedy Ogeto, Irungu Houghton, Dkt. Linda…
Kinshasa na M23 waanza tena mazungumzo Qatar katika juhudi za kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita
Duru mpya ya mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 inaendelea katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Pande hizo mbili zinatazamia kufikia makubaliano…
#HABARI: Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la Abiria aina ya Hiace yenye namba za usajili T…
#HABARI: Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la Abiria aina ya Hiace yenye namba za usajili T476 DHL lililokuwa likitokea eneo la Chipaka lililopo…
Urusi yaishambulia miundo mbinu ya nishati ya Ukraine
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa droni, wizara ya nishati ya Ukraine imesema kwamba, mashambulizi ya usiku wa kuamkia leo ya Urusi yamelenga mioundo mbinu ya nishati ya nchi hiyo…
#HABARI: Baadhi ya waendesha ghala kutoka mikoa ya Mwanza na Geita, wameiomba serikali kuongeza juhudi za kutoa elimu kwa wakuli…
#HABARI: Baadhi ya waendesha ghala kutoka mikoa ya Mwanza na Geita, wameiomba serikali kuongeza juhudi za kutoa elimu kwa wakulima wa zao la dengu juu ya umuhimu na faida ya…
Watu wanane wapoteza maisha kutokana na mapigano makali DRC
Hali ya taharuki ilitanda mjini Uvira kuanzia Jumatatu mchana hadi Jumanne jioni, baada ya kundi la Wazalendo na askari wa FARDC kushambuliana. Aimedo, mkaazi wa Uvira, anasema Wazalendo waliwashutumu askari…
Araqchi: Kufunga Mlango Bahari wa Hormuz si sera rasmi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesisitiza kuwa suala la kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz si msimamo rasmi wa Iran, na kusisitiza kuwa sera ya Tehran ni kudumisha…
#HABARI: Watoto wawili wa familia moja Rehema Abeli miaka 3 na Said Abel mwaka 1, wamefariki dunia, baada ya nyumba yao kushika …
#HABARI: Watoto wawili wa familia moja Rehema Abeli miaka 3 na Said Abel mwaka 1, wamefariki dunia, baada ya nyumba yao kushika moto wakiwa ndani katika Kitongoji cha Zinduka, kijiji…
ACT: INEC haina mamlaka ya kuingilia mchakato wa Urais
Katika barua ambayo INEC imeiandikia ACT-Wazalendo, tume hiyo ya uchaguzi imerejea uamuzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa uliotolewa jioni ya jana, ambao umesema mgombea urais wa chama…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Flatei Gregory, amerejesha fomu ya kugomb…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Flatei Gregory, amerejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, huku akieleza…
🔴MEZAHURU: TIBA YA MWAFRIKA….AGOSTI 27, 2025
🔴MEZAHURU: TIBA YA MWAFRIKA….AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Mjumbe wa Trump akosolewa vikali kwa kuwataka waandishi habari waache "uhayawani"
Kejeli za matusi ya ubaguzi wa rangi kutoka kwa mjumbe wa kikanda wa Marekani dhidi ya waandishi wa habari wa Lebanon zimezusha wimbi la ukosoaji miongoni mwa watu wengi wanaotembelea…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Bw.Gilbert Kalima, ameisihi jamii kushirikiana na Serikali, kuhakikisha jitihada za pamoja zin…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Bw.Gilbert Kalima, ameisihi jamii kushirikiana na Serikali, kuhakikisha jitihada za pamoja zinafanyika ili kudhibiti na kupambana na uingizaji wa dawa za kulevya nchini, kutoka…
Polisi ya Iran yaangamiza magaidi 8 waliohusika na shambulizi la kigaidi Sistan na Baluchestan
Polisi ya Iran imetoa kipigo kikubwa kwa magaidi wanaoungwa mkono na nchi ajinabi katika mkoa wa Sistan na Baluchestan, kusini-mashariki mwa Iran, kwa kuwaangamiza magaidi 8 waliohusika na shambulio baya…
#HABARI: Raia wa kigeni waliopo hapa nchini wamesifu umahiri wa Jeshi la Magereza Tanzania katika kuhudumia jamii, ikiwemo kusai…
#HABARI: Raia wa kigeni waliopo hapa nchini wamesifu umahiri wa Jeshi la Magereza Tanzania katika kuhudumia jamii, ikiwemo kusaidia watoto yatima kwenye maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi hilo nchini.…
Zelensky apendekeza mataifa mengine katika mazungumzo
Katika hotuba yake aliyoitoa kwa njia ya vidio, Zelensky alisema mazungumzo na wawakilishi wa mataifa hayo yatafanyika baadaye wiki hii. Rais huyo wa Ukraine pia ametoa wito wa Urusikuwekewa shinikizo…
Familia za mateka nchini Israel zafanya maandamano
Hapo jana, kundi linalojumuisha wanafamilia wa mateka hao pamoja na wafuasi wao, liliandaa maandamano makubwa mjini Tel Aviv, jiji kubwa la kibiashara la Israel. Kulingana na vyombo vya habari vya…
Trump atishia kuiwekea Urusi vikwazo isipoafiki amani
Trump amekuwa akishinikiza mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Putin na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky lakini akisisitiza kuwa Zelensky si mtakatifu pia katika mzozo huo. Trump asema atakutana…
Mazungumzo ya nyuklia Geneva yamalizika bila mafanikio
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Iran, Ismail Baghaei, ameliambia shirika la habari la nchini humo kwamba, wahusika walibadilishana maoni katika mkutano huo wa Geneva. Lakini bila ya…
Morocco na Madagacar kukutana katika fainali za CHAN
Mabingwa watetezi, Senegal, walitangulia kufunga kupitia kwa mchezaji Joseph Layousse, lakini dakika saba baadaye Moroko walijibu kupitia Sabir Bougrine. Kwa kuwa mechi ilibaki sare ya 1-1 hadi mwisho wa muda…
#HABARI: Bwana Omary Marcus Msigwa maarufu kwa jina la Super Feo, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Madaba…
#HABARI: Bwana Omary Marcus Msigwa maarufu kwa jina la Super Feo, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi huku…
#MEZAHURU: Je, tiba za asili kwa sasa zinasaidia Ukilinganisha na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
#MEZAHURU: Je, tiba za asili kwa sasa zinasaidia Ukilinganisha na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
#HABARI: Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hich…
#HABARI: Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hicho walipofika Ofisi ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC,…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Baraza la Mawaziri Sudan lafanya kikao cha kwanza mjini Khartoum tangu 2023
Baraza la Mawaziri la Sudan ya Sudan lilifanya mkutano wake wa kwanza katika mji mkuu, Khartoum, jana Jumanne tangu kuzuka kwa vita vya ndani nchini humo katikati ya Aprili, 2023.…
Vita vyaendelea Gaza, Wahouthi waishambulia Israel
Licha ya mashambulizi makali ya Israel kwenye maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi nchini Yemen siku ya Jumapili yaliyosababisha vifo vya watu 10, wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wameendelea Jumatano kuvurumisha…
#HABARI: Bw.Baraka Mwamengo aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi …
#HABARI: Bw.Baraka Mwamengo aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi ya ubunge jimbo la kyela Mkoa wa Mbeya ,amefika ofisi za msimamizi mkuu…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Araqchi: Hatua ya Australia ya kumfukuza balozi wa Iran ni kutaka kuiridhisha Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani uamuzi wa Australia wa kumfukuza balozi wa Tehran nchini humo kutokana na madai eti ya mashambulizi kwenye vituo vya Kiyahudi, na kueleza…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
#HABARI: Jeshi la Polisi nchini, limetoa tamko kuelekea uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazotarajiwa kuzinduliwa kuanzia …
#HABARI: Jeshi la Polisi nchini, limetoa tamko kuelekea uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazotarajiwa kuzinduliwa kuanzia kesho Agosti 28, 2025. Jeshi hilo limewaambia wananchi na wadau wote kuwa, lipo…
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakayetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa…
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakayetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa chama cha siasa kitakachoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025, gari hili aina ya…
Uganda: NRM kumuidhinisha rasmi Yoweri Museveni kama mgombea katika uchaguzi wa urais
Chama tawala nchini Uganda cha NRM kinafanya Kongamano la wajumbe wake katika ngazi ya taifa leo Jumatano, Agosti 27 na Alhamisi, Agosti 28, mjini Kampala. Tukio hilo kwa mara nyingine…
Kwa nini Iran inataka hatua kali zaidi zichukuliwe na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu dhidi ya utawala wa Kizayuni?
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran karibuni hivi alifika mjini Jeddah, Saudia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha dharura cha Mawaziri…
#HABARI: Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, ameambatana na mgombea mwenza wake, Dkt
#HABARI: Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, ameambatana na mgombea mwenza wake, Dkt. Emanuel Nchimbi, kurejesha fomu za kugombea nafasi ya urais katika ofisi za…
Somalia na Marekani zimeendesha operesheni ya pamoja dhidi ya Islamic State Puntland
Operesheni hiyo ya siku 15 imefanyika katika Bonde la Baallad, ambapo ndege za Marekani zimefanya mashambulizi mengi huku wanajeshi wa Puntland wakisonga mbele. Kama Africom, Kamandi ya Marekani Afrika, na…
🔴CHAN 2024: NANI KUIBUKA MSHINDI FAINALI CHAN, MADAGASCAR KUVAANA NA MOROCCO
🔴CHAN 2024: NANI KUIBUKA MSHINDI FAINALI CHAN, MADAGASCAR KUVAANA NA MOROCCO …. AGOSTI 27, 2025
Waziri Mkuu wa India 'apuuza' simu 4 za Trump huku vita vya kibiashara vya Marekani vikiendelea
Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, ameripotiwa kupuuza majaribio kadhaa ya Donald Trump ya kumtafuta kwa simu huku vita vya kibiashara kati ya nchi hizo vikipamba moto, ambavyo vimechochewa na…
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Uganda: Polisi wapaza sauti kuelekea kampeni ya uchaguzi wa rais wa Januari 12
Mgombea yeyote ambaye atakosa kufuata miongozo ya uchaguzi atakamatwa, vikosi vya usalama vimetangaza siku ya Jumanne, Agosti 26. Onyo hili limesababisha mara moja baadhi ya watu kushutumu kuwa ni matumizi…
Afrika Kusini yawaonya vijana wake kuhusu ofa za kazi bandia nchini Urusi
Mamlaka za Afrika Kusini zinawaonya vijana wa Afrika Kusini kuhusu ofa za kazi bandia nje ya nchi. Onyo hili linakuja baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii: mshawishi alikuwa…