🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA : AGOSTI 24, 2025 – UJENZI WA SOKO WADHITI MAGONJWA YA MLIPUKO
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA : AGOSTI 24, 2025 – UJENZI WA SOKO WADHITI MAGONJWA YA MLIPUKO
Watu kadhaa wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel
Wakati huo huo, kumeripotiwa pia mashambulizi katika maeneo ya mashariki na kaskazini mwa mji huo wa Gaza katika vitongoji vya Zeitoun, Shejaia na Sabra huku majengo kadhaa yakiripuliwa katika mji…
Urusi: Nchi za Ulaya zinalenga “kuzuia” mchakato wa amani
Lavrov amekemea hatua ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ya kuweka masharti na kulazimisha kukutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, akisisitiza kuwa majaribio hayo yanalenga kuvuruga mchakato wa amani…
Jeshi la anga la Nigeria lauua magaidi 35 wa Boko Haram
Ehimen Ejodame, msemaji wa Jeshi la Anga la Nigeria amesema mashambulizi hayo yalilenga majimbo manne ya Kumshe, Borno, Katsina na karibu na mpaka wa Cameroon ambayo yamewezesha pia kuokolewa kwa…
Khamenei: Raia wa Iran tuungane dhidi ya mipango ya Marekani
Khamenei ameyatoa matamshi hayo siku ya Jumapili katika msikiti mmoja mjini Tehran, akisisitiza kuwa baada ya mashambulizi ya Marekani na Israel, maafisa wa Marekani walikutana barani Ulaya ili kujadili serikali…
#HABARI: Madereva bodaboda jijini Mbeya, wamelalamikia baadhi ya wamiliki wa usafiri huo kuwapa mikataba kandamizi ambayo huwafa…
#HABARI: Madereva bodaboda jijini Mbeya, wamelalamikia baadhi ya wamiliki wa usafiri huo kuwapa mikataba kandamizi ambayo huwafanya kutotimiza malengo yao. Madereva bodaboda wamebainisha hayo baada ya kupata fursa ya kukopeshwa…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa soko la mbaazi duniani,…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa soko la mbaazi duniani, ikieleza mafanikio na changamoto zinazolikumba zao hilo muhimu kwa wakulima wa…
#NUKUU: “Mungu atapokea maombi yetu, swala zetu, dua zetu, ikiwa nyoyo zetu zina amani, kwasababu ukiomba huna amani hata ile du…
#NUKUU: “Mungu atapokea maombi yetu, swala zetu, dua zetu, ikiwa nyoyo zetu zina amani, kwasababu ukiomba huna amani hata ile dua utaiweka kinyumenyume………” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
🔴TAMASHA LA MICHEZO: WENYEJI CHAN 2024 WAUMALIZA MWENDO ..AGOSTI 24, 2025
🔴TAMASHA LA MICHEZO: WENYEJI CHAN 2024 WAUMALIZA MWENDO ..AGOSTI 24, 2025
Hofu ya vita Ulaya yazua wimbi la uandikishaji jeshini
Shule ya sheria haikumfundisha Constance jinsi ya kufanya mazoezi, kutambua alama za mawasiliano ya redio, au kulala kifudifudi juu ya zege huku akielekeza bunduki yake kwa adui. Badala yake, mwanafunzi…
Ukraine yaadhimisha miaka 34 ya uhuru wake
Hayo yanajiri wakati viongozi mbalimbali wa Ulaya wametoa wito wa kusitishwa kwa vita kati ya Urusi na Ukraine ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miaka mitatu. Viongozi kadhaa akiwemo Mfalme Charles…
Netanyahu akabiliwa na shinikizo la kumaliza vita huko Gaza
Miezi kadhaa ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Israel na Hamas hadi sasa hayajazaa matunda.Wanachama wa siasa kali za mrengo wa kulia wanaounda serikali ya mseto ya…
Sudan: Watu 158 wafariki kwa kipindupindu huko Darfur
Wizara ya afya katika jimbo hilo linalodhibitiwa na wanamgambo wa RSF imesema vifo hivyo vimeripotiwa kuanzia mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu. Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesema…
Korea Kaskazini yafanya jaribio la makombora mapya
Shirika la habari la Korea Kaskazini (KCNA) limesema bila kutoa maelezo zaidi kuwa jaribio hilo la Jumamosi limethibitisha kuwa makombora hayo yanao uwezo wa kukabiliana na vitisho vyote vya angani…
Morocco na nchi zingine 3 zatinga nusu fainali CHAN
Katika mtanange wa nusu fainali za CHAN, Sudan itavaana na Madagascar jijini Dar es Salaam huku Morocco ikimenyana na mabingwa watetezi Senegal mjini Kampala. Mechi hizo zitachezwa Jumanne ya Agosti…
#VIDEO: Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 115, kununua ndege maalumu ya kufanya utafiti wa madin…
#VIDEO: Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 115, kununua ndege maalumu ya kufanya utafiti wa madini, itakayo wawezesha wachimbaji wadogo hapa nchini kubaini sehemu ambayo madini yapo,…
#MICHEZO: Baada ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kuondolewa Katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN dhidi ya ti…
#MICHEZO: Baada ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kuondolewa Katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN dhidi ya timu ya taifa ya Morocco, Kocha wa timu…
#VIDEO: Wadau waeleimu Tanzania waomeomba waandaji wa maonesho ya ya kitaifa na kimataifa ya shule zinazofanya vizuri nchini
#VIDEO: Wadau waeleimu Tanzania waomeomba waandaji wa maonesho ya ya kitaifa na kimataifa ya shule zinazofanya vizuri nchini. kuangalia uwezekano katika maonyesho yajayo kuongeza muda zaidi ya ushiriki ili kutoa…
🔴KUMEKUCHA: KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU…..AGOSTI 24, 2025
🔴KUMEKUCHA: KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU…..AGOSTI 24, 2025
Unyanyasaji mtandaoni: Wanawake wa Kiafrika wakabiliwa na unyanyasaji mtandaoni
Intaneti na mitandao ya kijamii imekuwa maeneo ambapo unyanyasaji wa kijinsia hutokea mara kwa mara. Watumiaji wanawake wa Kiafrika hawajaachwa nyuma. Filamu ya hali halisi iitwayo Harassment 2.0, Resilience of…
Kenya: London yakubali kufidia waathiriwa wa moto kufuatia mazoezi ya kijeshi ya Uingereza
Miaka minne baada ya moto kuzuka katika Hifadhi ya Kibinafsi ya Lolldaiga kufuatia ajali wakati wa mafunzo na Jeshi la Uingereza, ambalo lina kambi katika eneo hilo, Uingereza imekubali kulipa…
Burkina Faso: Serikali yahitimisha mradi wa kudhibiti Malaria (Target Malaria)
Mradi wa kudhibiti Malaria (Target Malaria) uliozinduliwa mwaka 2012 nchini Burkina Faso ulilenga kurekebisha vinasaba vya mbu wa kiume ili kuwafanya washindwe kuzaa katika jaribio la kupunguza idadi ya mbu…
Eneo la Uhispania la Ceuta linakabiliwa na wimbi jipya la wahamiaji kutoka Morocco
Tangu mwishoni mwa mwezi wa Julai, eneo la Uhispania limeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya wahamiaji haramu wanaowasili katika eneo lake. Miongoni mwao, wale wanajaribu bahati yao kwa kuogelea ni…
Burundi: Meja Jenerali Bertin Gahungu ashikiliwa na idara ya usalama
Nchini Burundi, Meja Jenerali Bertin Gahungu anashikiliwa na idara za usalama, mamlaka imetangaza. Afisa mkuu wa usalama katika utawala na mkuu wa zamani wa idara ya kijasusi nchini humo, anashtumiwa…
#MICHEZO:Bondia Kutoka Mkoa wa Tabora Abdul Zugo, ameibuka mshindi kwa TKO katika pambano la Ubingwa wa kuwania mkanda wa Dunia …
#MICHEZO:Bondia Kutoka Mkoa wa Tabora Abdul Zugo, ameibuka mshindi kwa TKO katika pambano la Ubingwa wa kuwania mkanda wa Dunia wa WPBF uzito wa kilo 63 Super right weight, dhidi…
#MAGAZETI:CCM YAANIKA SAFU YAKE / KIUNGO APEPERUKA DAR
#MAGAZETI:CCM YAANIKA SAFU YAKE / KIUNGO APEPERUKA DAR
#SWALILAKIPIMAJOTO: Hamasa ya uchangiaji wa damu nyakati za matukio mbalimbali.Je, ifanywe kuwa endelevu kufanikisha upatikanaji…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Hamasa ya uchangiaji wa damu nyakati za matukio mbalimbali.Je, ifanywe kuwa endelevu kufanikisha upatikanaji wa damu wakati wote?
🔴KUMEKUCHA:WIKI YA TIBA ASILI KWA MWAFRIKA…..AGOSTI 24, 2025
🔴KUMEKUCHA:WIKI YA TIBA ASILI KWA MWAFRIKA…..AGOSTI 24, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 24, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 24, 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Israel ilitangaza vita dhidi ya Hamas baada ya kundi hilo kufanya shambulizi la kigaidi dhidi ya Israel tarehe 7 Oktoba, lililouwa watu wapatao 1200. Maelfu ya Wapalestina wameuawa katika mapigano…
Matangazo ya Jioni 24.08.2025
DIRA.BZ24.08.202524 Agosti 2025 Watu kadhaa wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel++++Urusi: Nchi za Ulaya zinalenga “kuzuia” mchakato wa amani++++Jeshi la anga la Nigeria lauua magaidi 35 wa Boko Haram++++Khamenei: Raia…
Matangazo ya Mchana 24.08.2025
DW Kiswahili24.08.202524 Agosti 2025 Ukraine yaadhimisha miaka 34 ya uhuru wake++++Netanyahu akabiliwa na shinikizo la kumaliza vita huko Gaza+++Sudan: Watu 158 wafariki kwa kipindupindu huko Darfur++++Korea Kaskazini yafanya jaribio la…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Daniel Chongolo kugombea Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Daniel Chongolo kugombea Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe. Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla,…
#HABARI: Ester Matiko kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini
#HABARI: Ester Matiko kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini. Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, wakati akitangaza majina ya…
#HABARI: Ester Bulaya ameteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini
#HABARI: Ester Bulaya ameteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla ameeleza haya Jijini Dodoma. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow…
#HABAI: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano, Kangi Lugola ameteuliwa na Chama Cha Map…
#HABAI: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano, Kangi Lugola ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Mwibara. #ITVDigital…
#HABARI: Miili 4 zaidi inayoaminika kuwa ya wafuasi wa Kanisa la Mhubiri aliyegerezani Paul Mackenzie, imefukuliwa kutoka eneo l…
#HABARI: Miili 4 zaidi inayoaminika kuwa ya wafuasi wa Kanisa la Mhubiri aliyegerezani Paul Mackenzie, imefukuliwa kutoka eneo la Kwabinzaro, Kaunti ya Kilifi, na kufikisha jumla ya miili iliyopatikana tangu…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 23, 2025 – CCM KWENYE MCHUJO WA MAJINA YA WALIOOMBA KUTEULIWA DODOMA
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 23, 2025 – CCM KWENYE MCHUJO WA MAJINA YA WALIOOMBA KUTEULIWA DODOMA
#HABARI: Bodi ya Korosho Tanzania(CBT) imetoa tuzo ya Muandishi Bora wa Taarifa za Korosho kundi la Runinga, kwa mwandishi wa ha…
#HABARI: Bodi ya Korosho Tanzania(CBT) imetoa tuzo ya Muandishi Bora wa Taarifa za Korosho kundi la Runinga, kwa mwandishi wa habari wa ITV/Radio One mkoa wa indi, Bi. Fatuma Maumba.…
Kwa haya na Mengine mengi usikose kuungana nasi ifikapo Saa mbili kamili usiku
Kwa haya na Mengine mengi usikose kuungana nasi ifikapo Saa mbili kamili usiku. . Unaweza pia kutazama Taarifa yetu ya Habari kupitia Youtube na Facebook #ITVTanzania . Usisahau Ku-Subscribe ili…
24 wauwawa Gaza-njaa yahofiwa kutanua janga la kibinaadamu
Hali hiyo imetokea wakati baa la njaa lililoripotiwa huko, likizidi kutoa shinikizo kwa Israel kuachana na vita vyake, ikiwa ni miezi 22 tangu ilipoanza kulishambulia kundi la Hamas. Waziri wa…
Zelensky: Urusi kushinikizwa kufikia amani na Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema mataifa ya kusini mwa dunia yanapaswa kuishinikiza Urusi kuelekea amani katika vita vyake na Ukraine, akisisitiza yanapaswa kusaidia kumleta Putin katika meza ya mazungumzo.
Japan na Korea Kusini wakubaliana kuimarisha mahusiano yao
Mivutano kuhusu umiliki wa maeneo, Japan kuwafanyisha kazi ngumu raia wa Korea Kusini wakati ilipoikalia rasi ya Korea kwa takriban muongo mmoja ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha mikwaruzano baina ya…
Mchakato wa uchaguzi wa bunge waahirishwa Syria
Tangazo hili limetolewa na tume ya uchaguzi nchini humo. Uchaguzi huo wa bunge ulikuwa umepangiwa kufanyika tarehe 15 hadi 20 ya mwezi Ujao. Hakuna tarehe mpa iliyotolewa ya uchaguzi huo…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA: AGOSTI 23, 2025 -WAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU BORA
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA: AGOSTI 23, 2025 -WAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU BORA
#HABARI:Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na mifumo y…
#HABARI:Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na mifumo ya NIDA ama chama cha siasa na kwamba uchaguzi tayari umekamilika. Mkurugenzi…
#HABARI: Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Frola Sangiwa, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu ongezeko la …
#HABARI: Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Frola Sangiwa, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu ongezeko la usafirishaji haramu wa binadamu, hasa watoto kutoka nchi jirani wanaofika kwa lengo…
Photos from ITV Tanzania’s post
#HABARI: Wakili na Mwanaharakati wa Haki za kijamii, Mwanaisha Mndeme, amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, zoezi hilo limefanyika katika Ofisi za…
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameishukuru serik…
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameishukuru serikali kwa kuweka mazingira wezeshi kwa wanunuzi wa zao hilo ambapo siku za nyuma…