Shambulizi la Israel laua raia pamoja na waandishi, Gaza
Kulingana na Wizara ya Afya ya Gaza waliouawa ni wagonjwa waliolazwa kwenye ghorofa ya nne ya Hospitali ya Nasser na juhudi za uokozi zinaendelea. Mkaazi wa Gaza Shadi Al-Arabi amenukuliwa…
Ufaransa: Hatukubaliani na matamshi ya balozi wa Marekani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kwenye taarifa jana Jumapili kwamba imemtaka Kushner kufika kwenye Wizara hiyo na kuongeza kuwa madai yake “hayakubaliki.” Taarifa hiyo imesema Ufaransa inapinga…
Dirisha la fomu za ubunge kwa CCM lafunguliwa rasmi
Dirisha la uchukuaji wa fomu za kuwania ubunge kwa wanachama wa CCM limefunguliwa rasmi ikiwa ni siku chache baada ya maamuzi ya mwisho yaliyofanywa na Halmashauri Kuu ya Chama cha…
Bangladesh: Hatuwezi tena kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya
Muhammad Yunus ameiomba jamii ya kimataifa kusaka suluhu endelevu kuelekea mzozo huo wa wakimbizi. Ametoa matamshi hayo kwenye maadhimisho ya miaka minane tangu zaidi ya wakimbizi 700,000 walipoingia kwenye mji…
CHAN 2024: Afrika Mashariki fungu la kukosa, Uganda nje kama Tanzania na Kenya
Timu za taifa za Kenya na Tanzania zimeaha mashindano ya CHAN hii leo baada ya kufungwa katika mechi za robo fainali.
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
Jeshi la Urusi ladai kuteka kijiji kingine cha Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeesema vikosi vyake vimeteka eneo la Zaporizke, ambako hivi karibuni wanajeshi wa Urusi waliingia kwa mara ya kwanza tangu vita vilipozuka miaka mitatu na nusu…
Iran: Mazungumzo ya nyuklia na Ulaya yatafanyika Geneva
Kituo cha televisheni cha taifa kimesema duru hiyo mpya ya mazungumzo ya ngazi ya manaibu waziri itahusisha mataifa hayo matatu yaliyosaini makubaliano ya Nyuklia ya 2015, pamoja na Umoja wa…
Wanahabari wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel
Mashambulizi ya Israel katika hospitali ya al Nasser huko Gaza leo Jumatatu yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 15 wakiwemo waandishi wa habari watatu. Mpiga picha Hussam al-Masri, mmoja wa waandishi…
Jinsi Urusi inavyojaribu kimya kimya kujishindia ushawishi ulimwenguni zaidi ya Magharibi
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, kituo cha habari kinachoungwa mkono na serikali ya Urusi RT kimepanua uwepo wake wa kimataifa.
Berlin yabadilisha jina lenye utata wa ubaguzi wa rangi
Kwa muda mrefu mtaa wa Mitte jijini Berlin umetaka kubadilisha jina la barabara yake Mohrenstrasse kwa sababu kihistoria jina ‘Mohr‘ lilitumika kuwatambulisha watu wenye asili ya Afrika lakini kwa njia…
#MEZAHURU:”Kodi Mawinga” tunaangazia utaratibu unaoanzishwa na TRA kwa Mawinga wanaotangaza Biashara zao kupitia mitandaoni kuji…
#MEZAHURU:”Kodi Mawinga” tunaangazia utaratibu unaoanzishwa na TRA kwa Mawinga wanaotangaza Biashara zao kupitia mitandaoni kujisajili na kulipa kodi, Je, ni sahihi au sio sahihi?
M23 yaishtumu serikali kutumia mamluki kushambulia ngome zao
Mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamechukua sura mpya baada ya waasi wa M23 kuishutumu serikali kwa kutumia mamluki wa kigeni kushambulia maeneo wanayoyadhibiti, ikiwemo eneo la makazi…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Ndugu Alloys Simba Maira, amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya Ubun…
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Ndugu Alloys Simba Maira, amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu…
Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula
Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mhe
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mhe. Waziri Kombo amepongeza ushirikiano wa Tanzania na Japan kupitia JICA katika ufadhili wa uendelezaji…
Tetesi za soka Jumapili :Al-Ittihad yamnyemelea Fernandes
Al-Ittihad wanataka kumsajili Bruno Fernandes wa Manchester United na tayari wamefanya mazungumzo na wawakilishi wa kiungo huyo wa kati wa Ureno.
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani. Kupitia Ukurasa…
Kwa nini Pakistan imeunda kamandi mpya ya kijeshi?
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, kamandi hii kitakuwa na zana za kisasa na kueleza kuwa ni ‘hatua muhimu’ ambayo itaimarisha zaidi uwezo wa ulinzi wa Pakistan.
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Liverpool kurudi na dau jipya kwa Isak wiki hii
Newcastle kupokea ofa mpya kutoka Liverpool kwa mshambuliaji wao wa Sweden, Alexander Isak, huku Spurs ikiendelea na jitihada za kumsaka Savinho wa Man City Liverpool kutoa dau jipya kwa Alexander…
CHAN 2024: Wenyeji wana chakujivunia baada ya kutolewa?
Mashindano ya CHAN ni kipimo kizuri kwa nchi hizi kuangalia fursa na changamoto kuelekea AFCON. Kwa kuzingatia ukweli kwamba nusu na robo ya viwanja ambavyo vitatumika bado havijakamiliki.
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
Uchaguzi Tanzania 2025: Familia tano za vigogo CCM zilizopenya mbio za Ubunge
Katika orodha ya wagombea wa CCM, wapo ambao wametoka katika familia za vigogo wa chama cha Mapinduzi kutoka upande wa Tanzania bara na Zanzibar, kuanzia rais wa sasa na marais…
#HABARI: Wiki moja baada ya Rais William Ruto kuibua madai ya ufisadi kukithiri katika kamati za bunge nchini Kenya, viongozi na…
#HABARI: Wiki moja baada ya Rais William Ruto kuibua madai ya ufisadi kukithiri katika kamati za bunge nchini Kenya, viongozi na wananchi nchini humo sasa wanamtaka Rais Ruto kuongoza katika…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UFUNDI KWENYE UMEME, AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UFUNDI KWENYE UMEME, AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UFUNDI UMEME, AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UFUNDI UMEME, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Gaza: ‘Sheria ya kimataifa ya kibinadamu inakataza matumizi ya njaa kama njia ya vita’
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, ambao umetangaza hali ya njaa katika mji wa Gaza na maeneo jirani, Wapalestina 500,000 wako katika hali mbaya ya kiafya kutokana na Israel kuzuia…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: TANZANIA KUTOLEWA CHAN…AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: TANZANIA KUTOLEWA CHAN…AGOSTI 25, 2025
Urusi yaituhumu Ukraine kwa kukishambulia kinu cha nyuklia
Maafisa wa Urusi walisema vituo kadhaa vya umeme na nishati vililengwa katika mashambulizi ya usiku kucha Jumamosi. Moto kwenye kinu cha nyuklia ulizimwa haraka bila majeruhi wowote kuripotiwa. Licha ya…
Iran: Ayatollah Ali Khamenei atoa wito kwa Wairan kuungana dhidi ya Marekani
Kiongozi Muadhamu wa Iran anaishutumu Marekani—mshirika wa Israel—kwa kutaka “kuitiisha” nchi yake na kuupindua utawala wake. Imechapishwa: 25/08/2025 – 07:04 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Mashambulizi ya Ukraine huko Urusi yapandisha bei ya mafuta duniani
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha moto mkubwa katika vituo muhimu vya mafuta, ikiwemo Ust-Luga na kiwanda cha Novoshakhtinsk, ambacho kinasafisha mafuta kwa ajili ya kuuza nje
Paris yamtaka balozi wa Marekani nchini Ufaransa kutengua kauli yake kuhusu chuki kwa Wayahudi
Charles Kushner ameitakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa leo Jumatatu, Agosti 25, baada ya kueleza “wasiwasi wake mkubwa kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi nchini Ufaransa…
Mashambulizi ya Israel nchini Yemen yauwa watu sita
Msemaji wa Wizara ya Afya inayoendeshwa na Wahouthi amesema shambulizi la Israel liliwaua watu sita na kuwajeruhi 86. Mashambulizi hayo ndio ya karibuni kabisa katika zaidi ya mwaka mmoja wa…
Zelensky atoa wito wa mkutano na Putin kutafuta amani
Ukraine iliadhimisha Siku ya UhuruJumapili katika tukio lililohudhuriwa na maafisa wa Magharibi akiwemo balozi wa Marekani Keith Kellogg. Zelensky anasema lazima shinikizo liendelee kutolewa kwa Urusi ili kumaliza vita, kwa…
Kimbunga Kajiki chapiga kusini mwa China kikielekea Vietnam
Kiasi ya watu 20,000 walihamishwa kutoka maeneo yanayoweza kuwa hatari kabla ya dhoruba hiyo. Boti za wavuvi zilirejea bandarini na zaidi ya wafanyakazi 21,000 wakahamia maeneo salama. Kimbunga Kajiki kilitarajiwa…
Afrika Kusini inakusudia kuimarisha nguvu zake za kidiplomasia katika suala la Ukraine
Afrika Kusini inazidi kuimarisha jukumu lake kama mpatanishi katika suala la vita nchini Ukraine. Kama mwenyekiti wa G20 mwaka huu, nchi hii inatumia jukwaa hili ili sauti yake iweze kusikika.…
Mahakama DRC yaombwa Kabila anyongwe kwa tuhuma uhaini
Waendesha mashtaka wa kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamemuombea hukumu ya rais wa zamani wa nchi hiyo Joseph Kabila kwa tuhuma za uhaini na kushirikiana na kundi la…
#KIPIMAJOTO: Vyama vya Siasa 18 Kisiwani Zanzibar kutia saini kutekeleza kanuni za maadili za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Kisiwan…
#KIPIMAJOTO: Vyama vya Siasa 18 Kisiwani Zanzibar kutia saini kutekeleza kanuni za maadili za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Kisiwani humo. Je, vitekeleze kivitendo yaliyopo katika kanuni hizo?
Bundesliga: Hamburg yatoa sare tasa, Cologne yapata ushindi
Klabu hiyo iliyopandishwa daraja msimu huu ilitumia muda mwingi kujilinda zaidi katika mchezo wa jana. Hamburg ilikuwa klabu ya mwisho muasisi wa Bundesliga iliyocheza kila msimu tangu ligi kuu ilipoanzishwa…
🔴KUMEKUCHA: CHANGAMOTO ZA MAKANDARASI WAZAWA….AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA: CHANGAMOTO ZA MAKANDARASI WAZAWA….AGOSTI 25, 2025
Gabon: Brice Oligui Nguema apinga baadhi ya wagombea ubunge kukataliwa kushiriki uchaguzi
Malalamiko na hasira za wagombea waliokataliwa katika uchaguzi wa wabunge na serikali za mitaa nchini Gabon wa Septemba 27, 2025, bado hayajasikilizwa. Imechapishwa: 25/08/2025 – 05:59 Dakika 1 Wakati wa…
Mateka 76 wakombolewa na mmoja auawa katika operesheni ya Jeshi kaskazini mwa Nigeria
Jeshi la Wanahewa la Nigeria limefanya operesheni ya uokoaji katika Jimbo la Katsina, ambalo linapakana na Niger, kati ya usiku wa Ijumaa, Agosti 22, na asubuhi ya Jumamosi, Agosti 23.…
🔴MAGAZETI: KILIO, KICHEKO CCM / PACOME, BOYELI WAACHIWA MSALA….AGOSTI 25, 2025
🔴MAGAZETI: KILIO, KICHEKO CCM / PACOME, BOYELI WAACHIWA MSALA….AGOSTI 25, 2025
DRC: Mapigano makali kati ya jeshi la Kongo na AFC/M23 yashuhudiwa Kivu Kusini wikendi nzima
Mapigano hayo yameripotiwa katika eneo la Mwenga, huku mazungumzo ya amani kati ya mamlaka ya Kinshasa na kundi la M23 yakiendelea nchini Qatar hivi sasa. Imechapishwa: 25/08/2025 – 05:39 Dakika…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki