Skip to content
  • Thu. Jul 2nd, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Global Kiswahili forums expand opportunities New initiative to rescue, rehabilitate street children RC demands accountability over stalled projects Peace builds nations, division destroys every tomorrow RC promotes Dodoma investment opportunities in South Korea
LTV ENGLISH NEWS

Global Kiswahili forums expand opportunities

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

New initiative to rescue, rehabilitate street children

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

RC demands accountability over stalled projects

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Peace builds nations, division destroys every tomorrow

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

RC promotes Dodoma investment opportunities in South Korea

July 2, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Global Kiswahili forums expand opportunities
LTV ENGLISH NEWS
Global Kiswahili forums expand opportunities
New initiative to rescue, rehabilitate street children
LTV ENGLISH NEWS
New initiative to rescue, rehabilitate street children
RC demands accountability over stalled projects
LTV ENGLISH NEWS
RC demands accountability over stalled projects
Peace builds nations, division destroys every tomorrow
LTV ENGLISH NEWS
Peace builds nations, division destroys every tomorrow
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Global Kiswahili forums expand opportunities
LTV ENGLISH NEWS
Global Kiswahili forums expand opportunities
New initiative to rescue, rehabilitate street children
LTV ENGLISH NEWS
New initiative to rescue, rehabilitate street children
RC demands accountability over stalled projects
LTV ENGLISH NEWS
RC demands accountability over stalled projects
Peace builds nations, division destroys every tomorrow
LTV ENGLISH NEWS
Peace builds nations, division destroys every tomorrow
HABARI ZA KIPEKEE

Mbunge wa Kongresi: Ni mwehu anayedai Marekani imeshinda vita dhidi ya Iran

May 2, 2026 mjombazecoder

Mwakilishi wa cha cha Democratic wa California katika Kongresi ya Marekani, Sara Jacobs, amemkosoa vikali Waziri wa Vita wa nchi hiyo, Pete Hegseth kwa kutangaza ushindi dhidi ya Iran, akitaja…

HABARI ZA KIPEKEE

Mipaka yetu ni mirefu kuliko kuta mbili kote Marekani: Spika Qalibaf akejeli mzingiro wa Marekani

May 2, 2026 mjombazecoder

Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amekejeli mzingiro wa jeshi la majini la Marekani dhidi ya Iran, akieleza kuwa mipaka mirefu ya nchi hiyo inabatilisha jaribio lolote la…

HABARI ZA KIPEKEE

Jeshi la Mali lakomboa mji wa mpakani baada ya shambulio la ISIS karibu na Niger

May 2, 2026 mjombazecoder

Vikosi vya jeshi la Mali vimedhibiti tena mji wa karibu na mpaka wa nchi hiyo na Niger baada ya wanamgambo wanaohusishwa na ISIS kuondoka katika eneo hilo kufuatia mapigano makali,…

HABARI ZA KIPEKEE

Israel yapewa kichapo Lebanon, wanajeshi wasiopungua 2 wauawa

May 2, 2026 mjombazecoder

Wanajeshi wasiopungua wawili wa Israel wameuawa na wengine zaidi ya 27 kujeruhiwa katika mashambulizi kadhaa ya ndege zisizo na rubani za harakati ya Hizbullah kusini mwa Lebanon, huku Israel ikiitonya…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

DRC: Kesi ya wanajeshi 84 wa FARDC wanaotuhumiwa kukiuka maagizo ya kijeshi yasikilizwa Kisangani

May 2, 2026 mjombazecoder

Mahakama ya kijeshi nchini DRC inatafuta kuthibitisha tena nidhamu ndani ya vikosi vya jeshi vya nchi hiyo. Zaidi ya wanajeshi 80 wa FARDC wanashtakiwa, huko Kisangani, kwa “uasi,” “kukataa kupigana,”…

HABARI ZA KIPEKEE

Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan: Tumekataa majaribio ya kulazimisha masuluhisho kutoka nje

May 2, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan, Mohi El-Din Salem, amefichua kwamba serikali ya nchi yake itafanya tathmini ya uhusiano wake wa kimataifa na kikanda baada ya vita, na hautakuwa…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Sierra Leone: Mapambano ya mwandishi wa habari dhidi ya unyanyasaji

May 2, 2026 mjombazecoder

Alifukuzwa kazi, akatishiwa, na kulazimishwa kwenda uhamishoni. Nchini Sierra Leone, pambano la Umu Thoronka limechukua sura mpya. Mwandishi huyu wa habari, aliyebobea katika masuala ya afya na jinsia, alifukuzwa kazi…

MWANANCHI

Mei Mosi yatambua wafanyakazi wa nyumbani kwa mara ya kwanza

May 2, 2026 mjombazecoder

Maadhimisho hayo yaliyoratibiwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), pia...

MWANANCHI

Ariana mbioni kuachia albamu ya nane

May 2, 2026 mjombazecoder

Albamu hiyo iliyopewa jina la Petal, tangazo la ujio wake limetolewa na Ariana mwenyewe kupitia...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Nigeria: Upinzani washangilia kwa hadhari baada ya kurejeshwa kwenye orodha za uchaguzi

May 2, 2026 mjombazecoder

Nchini Nigeria, Mahakama Kuu imeamuru Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) siku ya Alhamisi, Aprili 30, kurejesha mara moja chama cha upinzani cha African Democratic Congress (ADC) kwenye orodha…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mgogoro katika Mlango-Bahari wa Hormuz unaathiri utoaji wa misaada kwa nchi za Afrika

May 2, 2026 mjombazecoder

Mgogoro katika Mashariki ya Kati una athari kubwa duniani kote, na kuathiri vibaya minyororo ya usambazaji wa misaada ya kibinadamu duniani na utoaji wa misaada. Gharama za juu za usafiri…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mali: JNIM na FLA wanasonga mbele, utawala wakataa kujisalimisha

May 2, 2026 mjombazecoder

Nchini Mali, baada ya kuiteka Kidal mwihini mwa wiki iliyopita, wanajihadi wa kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM) na waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) walichukua…

MWANANCHI

Mwezi mmoja wa ‘Finale’ na maajabu yake

May 2, 2026 mjombazecoder

Ikiwa ni mwezi mmoja tangu Bien wa Kenya kuachia wimbo wake, Finale (2026) akishirikiana na...

IDHAA YA DUNIA

Je, wajua kuna ‘gereza’ la watu wanene kupitia kiasi?

May 2, 2026 mjombazecoder

"Baadhi ya watu hupungua uzito sana, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa la kuvutia, lakini wengi hurejesha haraka mara tu wanaporejea katika maisha yao ya kawaida, kwa sabab au matatizo ya…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Marekani kuondoa wanajeshi 5,000 kutoka Ujerumani ndani ya mwaka mmoja

May 2, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, ameamuru kuondolewa kwa wanajeshi wapatao 5,000 kutoka Ujerumani ndani ya mwaka mmoja, wakiwakilisha takriban 15% ya wanajeshi waliopo, Pentagon imetangaza siku ya Ijumaa,…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Donald Trump: Vita na Iran vimekwisha

May 2, 2026 mjombazecoder

Katika barua kwa Bunge la Marekani, Rais Donald Trump ameandika kwamba vita dhidi ya Iran “vimekwisha,” akizingatia sheria ya Marekani inayoweka kikomo cha mzozo bila idhini ya bunge hadi siku…

MWANANCHI

Miss World Tanzania na safari yake hadi kunyakua taji

May 2, 2026 mjombazecoder

Akiwa na umri wa miaka 25 tu, Latricia Ian ameandika historia yake katika ulimwengu wa mitindo...

IDHAA YA DUNIA

Vita vya Iran vilivyochochea madai ya uongo kuhusu ‘wizi wa mawingu’

May 2, 2026 mjombazecoder

Uchavushaji wa mawingu ni mbinu ya kuchochea mabadiliko madogo ya hali ya hewa kwa kutumia mawingu yaliyopo ili kusaidia kuzalisha mvua au theluji zaid

IDHAA YA DUNIA

Trump: Vita na Iran vimekwisha, lakini hatutaondoka haraka

May 2, 2026 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa anafuatiliwa na viongozi mbalimbali wa Iran wanaotoa makubaliano, wakati Washington inafanya kazi ya kubainisha upande unaofaa wa kufanya nao mazungumzo.

MWANANCHI

Kilio bando la simu kuisha kabla ya muda chaibua wadau

May 2, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

IDHAA YA DUNIA

Tetesi za soka Ulaya: Barcelona inamfuatilia Joao Pedro

May 2, 2026 mjombazecoder

Barcelona yamfuatilia Joao Pedro wa Chelsea na Cristian Romero wa Tottenham, Aston Villa yamtaka Ibrahim Mbaye wa PSG, Leeds na Coventry zapigania Lois Openda huku kambi ya Anthony Gordon ikifanya…

HABARILEO

Ripoti ya Jaji Chande yatajwa kufichua mambo matano makubwa

May 2, 2026 mjombazecoder

IRINGA: Ripoti ya Tume iliyoongozwa na Jaji Mohamed Chande Othman imeendelea kuzua mjadala mkubwa nchini, huku mchambuzi wa masuala ya uongozi, uchumi na siasa Tanzania, Dk Netho Ndilito (PhD), akiitaja…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 2, 2026

May 1, 2026 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…

HABARILEO

‘Drones’ kudhibiti wahalifu misitu ya hifadhi

May 1, 2026 mjombazecoder

KILIMANJARO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),unaendelea na utaratibu wa kutumia mifumo ya teknolojia za kisasa zikiwemo za ndege zisizo na rubani (drones),kwa ajili kulinda misitu hatua ambayo inayosaidia…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Nauli mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), kupitia gazeti la serikali toleo la Apri…

May 1, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Nauli mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), kupitia gazeti la serikali toleo la April 17 mwaka huu, kwa Daladala na mabasi ya kwenda mikoani…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Mwandishi wa Habari wa ITV, Radio One, Idda Mushi, amepokea tuzo ya Mfanyakazi Bora kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan…

May 1, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Mwandishi wa Habari wa ITV, Radio One, Idda Mushi, amepokea tuzo ya Mfanyakazi Bora kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika kitaifa…

ASTV TANZANIA

Wakati wafanyakazi nchini wakiungana na wenzao duniani kote kupongezana kwa mafanikio ya utendaji kazi, hali imekuwa tofauti mko…

May 1, 2026 mjombazecoder

Wakati wafanyakazi nchini wakiungana na wenzao duniani kote kupongezana kwa mafanikio ya utendaji kazi, hali imekuwa tofauti mkoani Geita, ambapo Baraza la Madiwani wa Chato limeazimia kuwafukuza kazi watumishi saba…

ASTV TANZANIA

Wananchi katika kijiji cha Kiwalala, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, wameeleza matumaini yao kuhusu ujio wa kiwanda cha kuban…

May 1, 2026 mjombazecoder

Wananchi katika kijiji cha Kiwalala, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, wameeleza matumaini yao kuhusu ujio wa kiwanda cha kubangua korosho kinachojengwa katika eneo hilo, wakiamini kuwa kitaongeza thamani ya zao…

ASTV TANZANIA

Iran imetuma pendekezo jipya la mazungumzo na Marekani kupitia mpatanishi wake Pakistan, hatua inayoweza kufungua njia ya kupung…

May 1, 2026 mjombazecoder

Iran imetuma pendekezo jipya la mazungumzo na Marekani kupitia mpatanishi wake Pakistan, hatua inayoweza kufungua njia ya kupunguza au kumaliza mvutano wa vita kati ya mataifa hayo mawili. Kwa mujibu…

ASTV TANZANIA

Zaidi ya mahujaji 1,500 kutoka hapa nchini wanatarajiwa kusafiri kuelekea miji mitakatifu ya Mecca na Medina, nchini Saudi Arabi…

May 1, 2026 mjombazecoder

Zaidi ya mahujaji 1,500 kutoka hapa nchini wanatarajiwa kusafiri kuelekea miji mitakatifu ya Mecca na Medina, nchini Saudi Arabia, kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hijja mwaka huu 2026. Kwa…

ASTV TANZANIA

Kuanzia leo, Mei Mosi, nauli mpya za mabasi zimeanza kutumika rasmi kufuatia uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATR…

May 1, 2026 mjombazecoder

Kuanzia leo, Mei Mosi, nauli mpya za mabasi zimeanza kutumika rasmi kufuatia uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Upendo Michael amefuatilia ongezeko hilo la nauli pamoja na namna…

Kuelekea uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mwezi Juni mwaka huu, wasimamizi wa uchaguzi waliopatiwa mafunzo ya siku tatu Mko…

May 1, 2026 mjombazecoder

Kuelekea uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mwezi Juni mwaka huu, wasimamizi wa uchaguzi waliopatiwa mafunzo ya siku tatu Mkoani Morogoro wametakiwa kutambua uzito wa jukumu lililo mbele yao na kuhakikisha wanayatumia…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi

May 1, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi. Victoria Mwanziva, leo Mei Mosi amepokea Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoani Lindi, Bw. Hassani Ngoma…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

🔴TAARIFA YA HABARI USIKU MEI 1 , 2026 –

May 1, 2026 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI USIKU MEI 1 , 2026 - (Feed generated with FetchRSS)

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amewataka waajiri wa mashirika na Taasisi mbalimbali kuwasikiliza wafanyakazi wanapokuwa na…

May 1, 2026 mjombazecoder

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amewataka waajiri wa mashirika na Taasisi mbalimbali kuwasikiliza wafanyakazi wanapokuwa na changamoto badala ya kuwahukumu na kuwafokea moja kwa moja kutoka na changamoto…

MWANASPOTI

Mayanga ataja njia ya kuinusuru Mbeya City

May 1, 2026 mjombazecoder

BAADA ya kuanza na sare, Kocha Mkuu wa Mbeya City Salum Mayanga amesema namna bora na ya uhakika kwa timu hiyo kubaki salama Ligi Kuu ni muunganiko wa wadau, mashabiki…

MWANASPOTI

Julio: Mashujaa FC ikishuka nastaafu soka

May 1, 2026 mjombazecoder

LICHA ya kuonekana kutofurahishwa na matokeo ya sare mfululizo, Kocha Mkuu wa Mashujaa Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu hiyo haishuki daraja na kama ikitokea anaachana na masuala ya mpira.

LTV ENGLISH NEWS

Voices on Frontlines: How youth are shaping climate action from Norway to Tanzania

May 1, 2026 mjombazecoder

OSLO, NORWAY: On a cold morning in northern Norway, young protesters gathered to oppose mining projects they say threaten their future. “They felt they were going to live on this…

MWANANCHI

Mambo sita yanayowaweka mtegoni vijana kupata tatizo la afya ya akili

May 1, 2026 mjombazecoder

Matumizi ya mitandao ya kijamii kupita kiasi, hali ngumu ya kiuchumi, changamoto za mahusiano...

MWANASPOTI

Simba imewasha taa, Yanga imezima mshumaa

May 1, 2026 mjombazecoder

Soma hapa zaidi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Hajati, Zainabu Tellack amewahimiza wafanyakazi kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na weledi ili kuepus…

May 1, 2026 mjombazecoder

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Hajati, Zainabu Tellack amewahimiza wafanyakazi kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na weledi ili kuepusha malalamiko kutoka kwa wananchi, huku Wafanyakazi wa majumbani mkoani Lindi, kupitia…

MWANASPOTI

Pedro azika ‘machungu’ ya Amaan kwenye vikao vya siri visiwani

May 1, 2026 mjombazecoder

Soma hapa zaidi

MWANANCHI

Wafanyakazi wa Tanga wawasilisha hoja 16 wakitaka hatua za haraka kuboresha mazingira ya kazi

May 1, 2026 mjombazecoder

Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) Mkoa wa Tanga limeiomba Serikali...

MWANASPOTI

Nsajigwa akwama tena Sokoine, Dodoma Jiji, Namungo zagawana mbao

May 1, 2026 mjombazecoder

HALI imekuwa mbaya kwa kocha mkuu wa maafande wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ baada ya kufikisha mechi sita mfululizo za Ligi Kuu bila kuonja ladha ya ushindi tangu alipotambulishwa…

MWANANCHI

Wafanyakazi Pwani walalamika, wadai ukandamizaji waendelea sekta binafsi

May 1, 2026 mjombazecoder

Wafanyakazi mkoani Pwani wameeleza malalamiko yao juu ya kuendelea kwa changamoto...

MWANASPOTI

Simba yaficha silaha, Yanga yategwa mitego miwili

May 1, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa

MWANANCHI

Watumishi, wafanyabiasha wafikishwa mahakamani ubadhirifu fedha za mirathi Sh261 milioni

May 1, 2026 mjombazecoder

Mashauri matano ya uhujumu uchumi yamefunguliwa dhidi yao.

MWANASPOTI

Huko Championship ukizubaa tu umeachwa

May 1, 2026 mjombazecoder

VITA ya kusaka tiketi ya kucheza Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao wa 2026-2027 inaendelea tena wikiendi hii kwa kushuhudia raundi ya 24 ya Ligi ya Championship ikishika kasi, huku…

MWANASPOTI

Isamuhyo ulivyobeba maswali matano Dabi ya Kariakoo

May 1, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa

MWANANCHI

Wizara ya Afya kutunza takwimu wagonjwa wa saratani Mbeya

May 1, 2026 mjombazecoder

Wizara ya Afya imezindua kamati ya ushauri na usajili wa takwimu za visa vya wagonjwa wa...

Posts pagination

1 … 189 190 191 … 1,026

Recent Posts

  • Global Kiswahili forums expand opportunities
  • New initiative to rescue, rehabilitate street children
  • RC demands accountability over stalled projects
  • Peace builds nations, division destroys every tomorrow
  • RC promotes Dodoma investment opportunities in South Korea

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

LTV ENGLISH NEWS

Global Kiswahili forums expand opportunities

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

New initiative to rescue, rehabilitate street children

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

RC demands accountability over stalled projects

July 2, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Peace builds nations, division destroys every tomorrow

July 2, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS