Iran yawapa kifungo kirefu raia wa Ufaransa kwa upelelezi
Mahakama nchini Iran Jumanne imesema imewapa kifungo kirefu raia wawili wa Ufaransa baada ya kuwafungulia mashtaka kadhaa yakiwemo ya upelelezi kwa niaba ya Israel.
Lecornu asimamisha mpango wa pensheni Ufaransa
Waziri Mkuu wa Ufaransa Sebastian Lecornu leo ameusimamisha mpango wa Rais Emmanuel Macron wa mwaka 2023 wa kuongeza muda wa kustaafu hadi miaka 64, mpaka baada ya mwaka 2027.
UN yataka njia zote za kuingiza misaada Gaza zifunguliwe
Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu wametoa wito wa kufunguliwa njia zote za kuingia Gaza, kutoa nafasi ya misaada kuingia katika eneo hilo.
Jeshi Madagscar latangaza kuchukua madaraka
Kanali mmoja wa jeshi nchini Madagascar aliyewaongoza wanajeshi kuungana na waandamanaji vijana wanaoipinga serikali, amesema kwamba jeshi limechukua uongozi wa taifa hilo.
Jeshi lachukua nchi Madagascar
Jeshi la Madagascar limechukua mamlaka ya nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumanne na kanali wa jeshi, baada ya Rais Andry Rajoelina kukimbilia ughaibuni kufuatia mvutano kati yake na…
Heche na Mnyika waitwa kortini, sababu yatajwa
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Makamu Mwenyekiti (Bara), John Heche...
Nini hatma ya Madagascar?
Maandamano nchini humo yalianza Septemba 25 na yalichochewa kwa kukatika mara kwa mara kwa huduma ya maji na umeme.
Magdalena arejea nchini, ataja sababu ya rekodi
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania na bingwa wa marathoni taifa upande wa wanawake, Koplo Magdalena Shauri amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda kushiriki mbio za Chicago Marathon.
Operesheni ya polisi yanasa watuhumiwa 76
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 76 wanaotuhumiwa kuvamia, kuvunja maduka...
Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewapa mbinu wakulima nchini namna bora ya kuzitambua mbegu bora ili kup…
Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewapa mbinu wakulima nchini namna bora ya kuzitambua mbegu bora ili kupata mafanikio katika kilimo. TOSCI imetumia maadhimisho ya 'Wiki ya…