Je, Iran inaweza kufunga mkondo wa bahari wa Hormuz, na itaathiri vipi dunia
Wachambuzi wanasema kufunga mkondo wa bahari wa Hormuz kunachukuliwa kama "kizuizi cha kuonya" kwa Iran, kama vile kumiliki silaha za nyuklia.
Huduma ya #PayLikeALocal inatajwa kuwa suluhisho bora zaidi la huduma za fedha kwa watalii na timu zitakazoshiriki AFCON2027 Afr…
Huduma ya #PayLikeALocal inatajwa kuwa suluhisho bora zaidi la huduma za fedha kwa watalii na timu zitakazoshiriki AFCON2027 Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…
Rayvanny naye miaka imeenda!
Imesalia takribani miezi miwili kabla ya kutimia miaka 10 tangu staa wa Bongofleva, Rayvanny...
TMDA cherishes the five major successes it has achieved globally
DODOMA: TANZANIA Medicines and Medical Devices Authority (TMDA) has said it is proud of five major international achievements, including reaching the third level of Competence in Medicines Control Systems (WHO…
Serikali, WHO kuendeleza mikakati kukabili majanga ya dharura
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) Idara ya Dharula na Maafa, pamoja na wadau kutoka taasisi za serikali na binafsi wamejiweke afua za…
Kwa nini Grossi amekiri haki ya Iran ya kurutubisha urani?
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya…
#MICHEZO: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt
#MICHEZO: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, amewasili rasmi nchini Tanzania asubuhi ya leo kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kamati Tendaji ya Shirikisho…
Bei za unga zapanda Kenya kufuatia uhaba wa mahindi huku wakulima wakiamua kuficha nafaka zao
Huku bei za unga wa mahindi zikipanda Kenya kutokana na wasagaji kumaliza akiba yao, wakulima katika North Rift wamekatalia bidhaa hiyo wakitarajia bei kupanda.
Mziki umefikia patamu Championship 2025/26
LIGI ya Championship inayotoa timu za kupanda Ligi Kuu kwa sasa imefikia patamu wakati raundi ya 18 ikitarajiwa kupigwa leo Jumamosi kwa mechi tatu kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea…
Afisa mtendaji Mkuu kutoka Nukta Africa ,Nuzulack Dausen amesema anaamini licha ya tasnia ya uandishi wa habari kukabiliwa na ti…
Afisa mtendaji Mkuu kutoka Nukta Africa ,Nuzulack Dausen amesema anaamini licha ya tasnia ya uandishi wa habari kukabiliwa na tishio la Akili Unde ‘kuchukua nafasi ya tasnia ya redio’ lakini…
Wajasiriamali wadogo nchini wanatarajiwa kunufaika na huduma mpya ya #PayLikeALocal inayowezeshwa na #AzamPesa kupitia kufanya m…
Wajasiriamali wadogo nchini wanatarajiwa kunufaika na huduma mpya ya #PayLikeALocal inayowezeshwa na #AzamPesa kupitia kufanya malipo kimtandao kwa #AzamPesa kulipia bidhaa kwenye maduka, barabarani na maeneo mbalimbali bila kulazimika kubadilisha…
Video ya CCTV Yamuonesha Mwanamke Akifanya Kitendo cha Kanisani Kilichowashtua Waumini
Picha za CCTV za kutisha zinaonyesha mwanamke akifanya kitendo cha ajabu katika Kanisa la Grace Mountain huku waumini wakisali kimya-kimya. Mengi hapa
Waziri Geoffrey Ruku amwambia Oburu Oginga asahau kabisa kiti cha DP 2027: “Tayari kina mwenyewe”
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amemtaka Oburu Oginga kusahahu kiti cha Naibu Rais 2027 akisema hakifai kutumiwa kama chambo dhidi ya serikali ya Ruto.
Buckreef Mine impresses STAMICO after generating 1.9bn/- in revenue
GEITA: THE Former Inspector General of Police (IGP) Ambassador, Simon Sirro, who is now the Chairperson of the Board of Directors of the State Mining Corporation (STAMICO), has visited several…
Shule zapewa madawati 2,939, RC aagiza ujenzi wa karakana
Shule za awali na msingi zenye uhaba mkubwa wa madawati jijini Mwanza zimepokea mgawo wa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 13, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 13, 2026
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Nchi tatu za Ulaya zilishiriki katika ghasia za Iran
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa nchi tatu za Ulaya, yaani Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani, zimehusika katika uchochezi na machafuko ya karibuni dhidi ya Iran.…
Kenya kufungua tena mpaka wake na Somalia baada ya kufungwa kwa miaka 15
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa Kenya itafungua tena mpaka wake na Somalia mwezi Aprili, baada ya kufungwa kwa muda wa miaka 15 kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara…
Mrengo wa Oburu Oginga wamtetea William Ruto, wamtuhumu Uhuru Kenyatta kwa kuyumbisha ODM
Kikundi kinachomtii seneta wa Siaya Oburu Oginga katika ODM kilimlaumu rais huyo mstaafu kwa kudai anajitahidi sana kuvunja chama kwa faida za kibinafsi.
Makamu wa Rais akutana Mtendaji Mkuu wa DSE
MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Peter Nalitolela, mazungumzo yaliyofanyika leo Februari 13,…
RC Malisa atoa somo kwa kampuni za bima
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa amezitaka kampuni za bima kutoa huduma zinazozingatia hali...
Maelfu waandamana Melbourne kulaani ziara ya rais wa ‘Israel’ nchini Australia
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walipaza sauti na kufunga barabara kadhaa mjini Melbourne, chini ya ulinzi mkali wa mamia ya polisi, wakati Rais wa utawala haramu wa Israel Isaac…
Iran yatuma satelaiti ya “Jam‑e Jam 1” angani, hatua muhimu kwa utangazaji wa kitaifa
Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limetuma kwa mafanikio satelaiti yake ya kwanza maalumu kwa utangazaji, iitwayo “Jam‑e Jam 1”, inayojulikana kimataifa kama “Iran DBS”. Hatua…
Mwanaume Wajir aliyemshtua William Ruto kwa kurukia jukwa lake aelezea nia yake: “Nitakutana naye”
Mwanaume anayeitwa Abdi atetea shtaka lake dhidi ya Rais Ruto katika jukwaa la Wajir, akifichua matarajio yake kwa uchaguzi wa 2027 na kuangazia wasiwasi wa usalama.
Umoja wa Afrika wapongeza mapatano ya kusitisha vita kati ya Serikali ya DRC na waasi wa M23
Tume ya Umoja wa Afrika (AU) imekaribisha kutiwa saini kwa kanuni za marejeo ya mfumo wa kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na muungano…
Umoja wa Afrika wapongeza mapatano ya kusitisha vita kati ya Serikali ya DRC an waasi wa M23
Tume ya Umoja wa Afrika (AU) imekaribisha kutiwa saini kwa kanuni za marejeo ya mfumo wa kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na muungano…
PM orders regulatory institutions to protect local industries, businesses
MKURANGA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has urged government regulatory institutions to prioritize protecting local industries and businesses instead of becoming obstacles to their success. Speaking when inaugurating the Lodhia roofing…
Shahidi bodaboda adai hotuba ya Lissu ilimshawishi kuvuruga uchaguzi
Shahidi wa tano wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha...
Afrika inavyohaha kwenye mpangilio mpya wa dunia
Rais wa Marekani ametikisa misingi ya mahusiano ya kimataifa, na bara linatafuta kujitambua na kubainisha nafasi yake katika sera hizo mpya.
#AzamPesa imezindua huduma mpya ya #PayLikeALocal inayowawezesha watalii wanaotembelea nchini kupata wepesi wa kufanya malipo ya…
#AzamPesa imezindua huduma mpya ya #PayLikeALocal inayowawezesha watalii wanaotembelea nchini kupata wepesi wa kufanya malipo ya mahitaji yote bila kuhitaji kutumia pesa taslim (Cash) au kadi za fedha. Haya hapa…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 13/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 13/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 13, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 13, 2026
#HABARI: Watu wanne wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa gari la wagonjwa namba 7830 STM mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …
#HABARI: Watu wanne wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa gari la wagonjwa namba 7830 STM mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kisha kulibadilishia matumizi na kuwa gari la biashara…
Mwigulu aweka jiwe la msingi mradi wa kupooza umeme Mkata
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kupooza umeme uliopo Mkata mkoani Tanga wenye uwezo wa 2X60MVA 132/33kV, pamoja na ujenzi wa njia…
Mdau wa Soka, Coach, Veteran wa Arusha All Stars Mhandisi Matokeo Manyeta ameelezea Fursa kuhusu @kibudenis_prosper kuondoka @si…
Mdau wa Soka, Coach, Veteran wa Arusha All Stars Mhandisi Matokeo Manyeta ameelezea Fursa kuhusu @kibudenis_prosper kuondoka @simbasctanzania Nini Maoni yako 👇? 📸@fikratunduizi1 (Feed generated with FetchRSS)
Leo ni Siku ya Redio Duniani
Leo tarehe 13 Februari dunia inaadhimisha Siku ya Redio Duniani siku maalum ya kutambua mchango mkubwa wa redio katika maisha ya watu kote ulimwenguni Maadhimisho haya yalianzishwa na Shirika la…
Bangladesh: BNP yashinda wingi wa wabunge katika uchaguzi wa wabunge
Tume ya uchaguzi imethibitisha ushindi wa Chama cha Kizalendo cha Bangladesh (BNP) katika uchaguzi wa wabunge siku ya Ijumaa, Februari 13, 2026. Hapo awali, BNP ilikuwa tayari imeshinda katika uchaguzi…
Thomas Partey mengine tena!
HISPANIA: Kiungo wa zamani Arsenal, Thomas Partey, amefunguliwa mashtaka mawili ya ziada ya ubakaji yanayohusiana na madai ya tukio la ubakaji mwaka 2020 dhidi ya mwanamke mwingine. Kwa mujibu wa…
Algeria na Niger zafufu mahusiao yao, mabalozi warejea kwenye nafasi zao
Uhusiano kati ya Algiers na Niamey ulizorota mwezi Aprili 2025 wakati Algiers ilipotangaza kuwa imedungua ndege isiyo na rubani ya Mali. Nchi hizo tatu za ESA kisha ziliwaita mabalozi wao…
Chusi, mkewe kula bata la Valentine Zanzibar
Mkazi wa Kigamboni, Abdul Chusi na mkewe Mwanaidi Omary, mwishoni mwa wiki hii watakuwa...
Cameroon: Kuahirishwa kwa uchaguzi wa wabunge na wa serikali za mitaa kunaibua maswali mengi
Nchini Cameroon, kuna maswali mengi yanayohusu sababu za kuahirishwa tena kwa uchaguzi wa wabunge na wa serikali za mitaa. Muda wa wabunge na madiwani wa sasa wa manispaa ulitarajiwa kuisha…
Tutumie Siku ya Wapendanao kuwakumbuka wahitaji
SIKU ya Wapendanao Februari 14 ambayo kwa Kiingereza huitwa ‘Valentine’s Day’ ni siku ambayo watu wengi kuipa hadhi ya mapendo na kuisherehekea maeneo mbalimbali duniani. Historia ya siku hii ilianzia…
TLS yampa mchungaji Malisa mawakili watano
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimempa Mchungaji Godfrey Malisa anayekabiliwa na kesi...
Muingiliano wa watu katika nyanja mbalimbali za maendeleo unawalazimisha watu kuwasiliana ili kutimiza malengo ya muingiliano hu…
Muingiliano wa watu katika nyanja mbalimbali za maendeleo unawalazimisha watu kuwasiliana ili kutimiza malengo ya muingiliano huo hali inayohimiza uelewa wa lugha zaidi ya moja kwa ajili ya kupata mafanikio.…
Wanne wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa ‘Ambulance’
Washtakiwa hao wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Hadija Masala leo...
Congo-Brazzaville: Kipindi cha usajili kwa wagombea urais wa Machi 2026 chafungwa
Kurugenzi Kuu ya Masuala ya Uchaguzi (DGAE) nchini Congo-Brazzaville imefunga kipindi cha usajili kwa wagombea kushiriki katika uchaguzi wa urais mnamo Machi 15. Angalau watu saba, akiwemo Denis Sassou-Nguesso, 82,…
Otieno apewa dk 90 Prisons, Mgunda azitaka tatu Sokoine
BAADA ya kusota kwa muda mrefu kwa matokeo mabaya, Tanzania Prisons imeapa kuangusha mbuyu kwa kuwazima Namungo ili kurejesha ari na furaha kwa mashabiki wa timu hiyo.