Araqchi aitaka NAM kukabiliana na maamuzi ya upande mmoja na ukiukaji sheria wa Marekani
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM)…
Mahakama yamtupa nje Mpina, ACT-Wazalendo chatoa mwelekeo
Sasa ni rasmi kwa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, Luhaga Mpina...
Mwaijojele aahidi mageuzi makubwa sekta za kilimo, madini na uvuvi
Mgombea Urais kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kuleta mageuzi makubwa...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepa…
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepatiwa matibabu na wengine wakiendelea kupata huduma katika hospitali…
Majogoro afichua siri ya kuwatosa vigogo
BAADA ya kiungo mkabaji, Baraka Majogoro kurejea nchini na kujiunga na kikosi cha KMC alichowahi kukitumikia hapo awali, nyota huyo amesema haikuwa rahisi kuzikataa ofa mbalimbali za timu kutoka ndani…
Serikali yaanza kufukua Mto Morogoro
Shangwe, furaha na vifijo vimetawala katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mtaa wa Mambi...
MATOKEO | #SportPesaLeague
MATOKEO | #SportPesaLeague FT: Shabana 1-2 Posta Rangers Mechi iliyopo hewani muda huu ni AFC Leopards dhidi ya Bandari FC LIVE #AzamSports3HD #FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #ShabanaVsPostaRangers #Shabana #PostaRangers
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono amesema tatizo ambalo mpaka sasa linaitesa Taifa Stars ni kukosa wachezaji wa ndani we…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono amesema tatizo ambalo mpaka sasa linaitesa Taifa Stars ni kukosa wachezaji wa ndani wenye uwezo wa kucheza nafasi ya ushambuliaji na kutumia nafasi za kupata…
Raila Odinga: Baba wa mageuzi ya kisiasa Kenya
Raila Odinga alikuwa mmoja wa watu mashuhuri wa kisiasa nchini Kenya kwa miongo kadhaa licha ya kuwania urais mara tano bila mafanikio.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora zinazokidhi viwango vya kimataifa. Wito huo umetolewa ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini…