Nimewaelewa Rushine De Reuck na Doumbia
WAKATI wa dirisha kubwa la usajili, tuliona na kushuhudia sana tambo katika timu mbili kubwa za Yanga na Simba kwa wachezaji wao wapya ambao ziliwasajili.
WHO yabaini usugu dawa za antibiotiki, Serikali ikijipanga
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imebaini kuwa moja kati ya maambukizi sita ya...
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea na zoezi la kuwawezesha wananchi kumiliki ardhi rasmi…
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea na zoezi la kuwawezesha wananchi kumiliki ardhi rasmi kupitia kliniki maalum za ardhi zinazoendelea nchini. Katika Kliniki ya Ardhi…
BANK YA NBC YAJA NA NEEMA: “Sisi NBC tunakwenda mpaka milioni 300 kumkopesha mtumishi”
BANK YA NBC YAJA NA NEEMA: “Sisi NBC tunakwenda mpaka milioni 300 kumkopesha mtumishi” Mwakilishi kutoka Benki ya NBC, Erick Mbeyale amesema benki yao ndio benki pekee nchini ambayo inaweza…
Waganga watakiwa kuwa na kamati ya maadili kudhibiti ramli chonganishi, mauaji
Wataalamu wa tiba asili na tiba mbadala wametakiwa kuanzisha kamati ya maadili ili kudhibiti...
Wizara ya kilimo kwa kushirikiana na mamlaka ya udhibiti wa Mbolea Tanzania wafanya ukaguzi wa mbolea katika mkoa wa ruvuma na k…
Wizara ya kilimo kwa kushirikiana na mamlaka ya udhibiti wa Mbolea Tanzania wafanya ukaguzi wa mbolea katika mkoa wa ruvuma na kutoa angalizo kwa mawakala kuelekea msimu mpya wa kilimo…
Samia aahidi ujenzi Machinga Complex Bukoba
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga jengo kubwa la...
Majaliwa atahadharisha kasi ya magonjwa ya kuambukiza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kiwango cha wananchi kuugua magonjwa yasiyoambuliza nchini...
Umati waendelea kujitokeza kumuaga Raila, maelfu wajipanga barabarani wakiangua vilio
Umati wa wananchi wa Kenya, umefurika katika barabara mbalimbali unakopitishwa mwili wa Waziri...