Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg. Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt.…
Simba yasepa kwa kishindo, mastaa wawili kuikosa Nsingizini, meneja Pantev azungumzia dozi alivyoiandaa!
Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASIRIAMALI….OKTOBA 16, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASIRIAMALI....OKTOBA 16, 2025
#VIDEO: Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Hayati Raila Odinga, ukiingizwa kwenye ndege tayari kurejeshwa nyumbani nchini Ken…
#VIDEO: Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Hayati Raila Odinga, ukiingizwa kwenye ndege tayari kurejeshwa nyumbani nchini Kenya, kwa ajili ya Mazishi ya Kitaifa, mwili wa Odinga utapumzishwa Jumapili…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Shirika la Mashad: Watu 146 wameuawa El-Fasher, Sudan
Shirika la kutetea haki za binadamu la Mashad limerekodi vifo vya raia 146, wakiwemo watoto 41 katika siku za hivi karibuni katika mji El-Fasher magharibi mwa Sudan.
Tanzania: Kampeni za uchaguzi zinafanyika katika hali ya wasiwasi wakati uchaguzi ukikaribia
Nchini Tanzania, kampeni za uchaguzi zinafanyika katika hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka. Wiki mbili kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29, visa vya watu kukamatwa na kutoweka vinaongezeka. Imechapishwa: 16/10/2025 –…
Waziri: Mamilioni ya watalii wameitebelea Iran ndani ya miezi 6
Zaidi ya watalii milioni 3.5 wa kigeni wameitembelea Iran katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu, Waziri wa Turathi za Utamaduni, Utalii na Sanaa, Reza Salehi Amiri alisema hayo…
Malori ya misaada yasubiri ‘idhini ya Israel’ Rafah ili yaingie Gaza
Gavana wa Sinai Kaskazini nchini Misri amesema mamia ya malori ya misaada yapo tayari kuingia katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah, lakini yanasubiri kibali cha utawala wa Israel…
Yanga yaifuata Silver Strikers, Ali Kamwe azungumzia yatakayomkuta Mabedi
Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi…