#HABARI: Baadhi ya Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameishukuru serik…
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameishukuru serikali kwa kuweka mazingira wezeshi kwa wanunuzi wa zao hilo ambapo siku za nyuma…
#HABARI: Waziri wa TAMISEMI Mhe
#HABARI: Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, kuimarisha vitengo vya michezo kwa kuhakikisha watumishi wa Umma wanashiriki kimakamilifu kwenye Michezo mbalimbali ambayo itawezesha kuimarisha Afya,…
IPC yatangaza baa la njaa katika Ukanda wa Gaza
Hali hiyo pia huenda ikawa mbaya zaidi kama misaada ya kitu haitoruhusiwa kuingia kwa wingi katika ukanda huo ambao ni makazi kwa maelfu ya wapalestina. Njaa inahofiwa kusambaa katika sehemu…
Waendesha mashitaka wa Kongo wataka Kabila ahukumiwe kifo
Kabila anashitakiwa bila kuwepo mahakamani kwa makosa hayo na mengine ya uhalifu wa kivita, yanayohusishwa na uongozi wake wa takriban miaka 20 katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Kabila aliyoiongoza…
#VIDEO: Taasisi ya Kibao Salama Foundation imeanzisha maktaba mtandao ambayo inajihusisha na kutoa elimu mbalimbali kwa jamii ik…
#VIDEO: Taasisi ya Kibao Salama Foundation imeanzisha maktaba mtandao ambayo inajihusisha na kutoa elimu mbalimbali kwa jamii ikiwemo elimu dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, elimu ya ujasiriamali, hayo…
Guinea yafungia kwa muda vyama vitatu vya kisiasa
Hii ikiwa ni kulingana na agizo lililoonekana na shirika la habari la AFP hii leo Jumamosi. Hatua hiyo inajiri baada ya vyama vikuu na mashirika ya kiraia katika taifa hilo…
Rais wa Korea Kusini Lee Myung yuko Japan kwa ziara rasmi
Lee pia anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington siku ya Jumatatu wiki Ijayo. Katika ziara yake ya kwanza rasmi Japan, Lee atakutana na Waziri Mkuu Shigeru…
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa panga aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bw
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa panga aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bw. Yusto Mapande, wakati akiingia nyumbani kwake, ambapo katika tukio hilo, Mapande alijeruhiwa mkononi na mguuni…
Uganda yawinda nusu fainali kwa kumenyana na Senegal
Uganda Cranes wanaingia katika mechi hiyo wakiwa na matumaini makubwa baada ya kuongoza Kundi C na kutinga hatua ya mtoano ya CHAN kwa mara ya kwanza katika historia yao. Uganda…
#HABARI: Wakazi 3,020 wa Kijiji cha Kenyamonta na Vijiji jirani vya Kata ya Kenyamonta, wanatarajia kuanza kupata huduma ya afya…
#HABARI: Wakazi 3,020 wa Kijiji cha Kenyamonta na Vijiji jirani vya Kata ya Kenyamonta, wanatarajia kuanza kupata huduma ya afya baada ya kuanza ujenzi wa Zahanati ya Kenyamonta inayogharimu zaidi…