Mahakama DRC yaombwa Kabila anyongwe kwa tuhuma uhaini
Waendesha mashtaka wa kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamemuombea hukumu ya rais wa zamani wa nchi hiyo Joseph Kabila kwa tuhuma za uhaini na kushirikiana na kundi la…
#KIPIMAJOTO: Vyama vya Siasa 18 Kisiwani Zanzibar kutia saini kutekeleza kanuni za maadili za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Kisiwan…
#KIPIMAJOTO: Vyama vya Siasa 18 Kisiwani Zanzibar kutia saini kutekeleza kanuni za maadili za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Kisiwani humo. Je, vitekeleze kivitendo yaliyopo katika kanuni hizo?
Bundesliga: Hamburg yatoa sare tasa, Cologne yapata ushindi
Klabu hiyo iliyopandishwa daraja msimu huu ilitumia muda mwingi kujilinda zaidi katika mchezo wa jana. Hamburg ilikuwa klabu ya mwisho muasisi wa Bundesliga iliyocheza kila msimu tangu ligi kuu ilipoanzishwa…
🔴KUMEKUCHA: CHANGAMOTO ZA MAKANDARASI WAZAWA….AGOSTI 25, 2025
🔴KUMEKUCHA: CHANGAMOTO ZA MAKANDARASI WAZAWA….AGOSTI 25, 2025
Gabon: Brice Oligui Nguema apinga baadhi ya wagombea ubunge kukataliwa kushiriki uchaguzi
Malalamiko na hasira za wagombea waliokataliwa katika uchaguzi wa wabunge na serikali za mitaa nchini Gabon wa Septemba 27, 2025, bado hayajasikilizwa. Imechapishwa: 25/08/2025 – 05:59 Dakika 1 Wakati wa…
Mateka 76 wakombolewa na mmoja auawa katika operesheni ya Jeshi kaskazini mwa Nigeria
Jeshi la Wanahewa la Nigeria limefanya operesheni ya uokoaji katika Jimbo la Katsina, ambalo linapakana na Niger, kati ya usiku wa Ijumaa, Agosti 22, na asubuhi ya Jumamosi, Agosti 23.…
🔴MAGAZETI: KILIO, KICHEKO CCM / PACOME, BOYELI WAACHIWA MSALA….AGOSTI 25, 2025
🔴MAGAZETI: KILIO, KICHEKO CCM / PACOME, BOYELI WAACHIWA MSALA….AGOSTI 25, 2025
DRC: Mapigano makali kati ya jeshi la Kongo na AFC/M23 yashuhudiwa Kivu Kusini wikendi nzima
Mapigano hayo yameripotiwa katika eneo la Mwenga, huku mazungumzo ya amani kati ya mamlaka ya Kinshasa na kundi la M23 yakiendelea nchini Qatar hivi sasa. Imechapishwa: 25/08/2025 – 05:39 Dakika…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Mali: Raia watoroka kwa wingi miji ya jimbo la Ségou iliyoshambuliwa na wanajihadi
Wakati jeshi la Mali bado halijachukua tena udhibiti wa ngome zake zilizoshambuliwa na wanajihadi wa JNIM katikati mwa nchi siku ya Jumanne, Agosti 19, raia kutoka vijiji jirani, ambao pia…