Kenya yaiomba CAF kuwaruhusu mashabiki kuujaza uwanja wa Kasarani
Serikali ya Kenya imeliandikia rasmi barua shirikisho la soka la Afrika CAF, liruhusu mashabiki wa Kenya kuujaza uwanja wa Kasarani, wakati wa mchezo wa robo fainali dhidi ya Madagascar, unaotarajiwa…
Israel yaidhinisha mradi wa ujenzi wa makazi katika Ukingo wa Magharibi
Israel imeidhinisha mradi mkubwa wa makazi katika eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na walowezi wa Kiyahudi, uamuzi ambao jumuiya ya kimataifa imeonya kuwa unatishia uhai wa taifa…
aarifa Kuu Za App
WT Articles za kina, habari kali, na viendelezi vya utiririkaji wa moja kwa moja (live) kama “LTV Live Leo usiku.”Ni programu ya habari kwa Kiswahili, ikitoa taarifa za kitaifa na…
Heche na Sifuna: Ni pacha wa siasa za upinzani Afrika Mashariki?
Iwapo wewe ni mgeni katika ukanda wa Afrika ya Mashariki basi ninapotaja majina haya mawili , ni vigumu kuelewa kwa nini yametajwa katika sentensi moja.
Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania ‘inazua maswali’?
Kuna tofauti ya takribani wapiga kura milioni 6.2 kati ya waliotangazwa kuwa kwenye daftari la wapiga kura (milioni 37.6) na wale waliotarajiwa kuwa na sifa ya kupiga kura, (milioni 31.4)…
Uchaguzi Tanzania 2025: Tanzania kupiga kura Oktoba 29
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba…
Simulizi ya Kusisimua… MKATABA – 4
ILIPOISHIA IJUMAA “Vipi kwani?” “Yule matawi ya juu sana, nimeshangaa kuona mnafahamiana tena mna ukaribu.” “Kawaida tu, yupo lakini?” “Kwani yeye amekuelekeza lini hapa” “Muda kidogo, ni kama miezi minne…
Simulizi ya Kusisimua…. MKATABA – 3
ILIPOISHIA JUMATANO “Sina uhakika na hili jambo.” “Usinitaje, mimi nimekuambia tu kama shoga yangu. Sisi wote ni wazazi.” “Sawa.” “Lakini jambo lingine linalowashtua zaidi watu ni tabia yake ya kujipenda…
OPERESHENI DAKABU
MUITO wa simu iliyokuwa mezani ulimgutusha pale kitandani alipokuwa amelala, lakini aliipuuza. Simu kwa wakati ule haikuwa na maana kabisa kwake. Msichana mrembo Upendo, alikuwa kando yake, akionyesha kumhitaji sana…
MKATABA – 2
ILIPOISHIA JUMATATU… Haraka mmoja wao akaingia ndani, hakukawia sana, tayari Ustaadhi Alii alikuwa ameshatoka nje, naye alikuwa anatweta. “Vipi Suma” “Mtihani Ustaadhi.” “Nini?” “Twende nyumbani.” Ustaadhi hakukaidi, wakatoka pamoja hadi…