Kenya: Hifadhi ya Tsavo yatishiwa kwa sababu ya ukosefu wa ufadhili wa USAID
Nchini Kenya, wahifadhi wa Hifadhi ya Mazingira ya Tsavo, mashariki mwa nchi, wana wasiwasi. Tsavo, inayoundwa na hifadhi 35, ni mojawapo ya hifadhi kubwa zaidi za asili barani Afrika. Kusitisha…
Mali: Mahakama Kuu yasitisha kufutwa kwa vyama vya siasa
Nchini Mali, Mei mwaka jana, kwa agizo la rais, utawala wa kijeshi ulifuta baadhi ya vyama 297 vya kisiasa. Vyama vya siasa hasa vya upinzani vilianzisha mashauri ya kisheria kupitia…
Mgahawa huu unauziwa chakula unalipa taka badala ya pesa
Chanzo cha picha, Ritesh Saa 1 iliyopita Katika jiji la Ambikapur, jimbo la Chhattisgarh, India, watu wenye njaa hupata mlo kamili bila kulipa pesa bali kwa kubadilisha taka za plastiki…
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Togo: Miezi mitatu na nusu baadaye, serikali mpya bado inasubiriwa
Raia wa Togo bado wanasubiri kuundwa kwa serikali mpya, kufuatia kujiuzulu kwa timu ya zamani Mei 2. Kujiuzulu kulikuja usiku wa kuamkia kuapishwa kwa Faure Gnassingbé kuwa Waziri Mkuu ikiwa…
UN, OIC, EU, RSF na hata waitifaki wa Israel walaani shambulio la kinyama lililoua wanahabari Ghaza
Taasisi za kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC, Umoja wa Ulaya, Shirika la Wanahabari Wasio na Mipaka (RSF) na hata nchi kadhaa za Magharibi waitifaki…
Marekani: Baada ya kuachiliwa kwake, Kilmar Abrego Garcia huenda akasafirishwa Uganda
Kilmar Abrego Garcia, raia wa El Salvador, kwa mara nyingine yuko hatarini kufukuzwa kutoka Marekani, safari hii kutumwa nchini Uganda. Imechapishwa: 26/08/2025 – 07:31 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo…
#HABARI: Wananchi katika Kijiji cha Nyang’oma Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamekumbwa na taharuki baada ya uwepo wa wimbi la Ny…
#HABARI: Wananchi katika Kijiji cha Nyang’oma Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamekumbwa na taharuki baada ya uwepo wa wimbi la Nyani na Fisi ambao wanahusishwa na imani za kishirikiana kuwa…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SAKATA LA MZIZE YANGA BADO LA MOTO, MSIMAMIZI WAKE AFUNGUKA…AGOSTI 26, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SAKATA LA MZIZE YANGA BADO LA MOTO, MSIMAMIZI WAKE AFUNGUKA…AGOSTI 26, 2025
Libya: Uhusiano kati ya Marshal Haftar na Uturuki waendelea kuimarika
Uhusiano kati ya Ankara na mbabe wa kivita wa mashariki mwa Libya, yaliyoanzishwa mwezi Aprili mwaka huu, yameendelea kushuhudiwa siku ya Jumatatu, Agosti 25, kwa ziara ya mkuu wa idara…