Ulaya na Iran kuendeleza mazungumzo ya nyuklia
Wanadiplomasia wa Iran wanatarajiwa kukutana na wenzao wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamazungumzo ya mpango wa nyuklia wa Tehran, wakati mataifa hayo yakizingatia kurejesha vikwazo dhidi ya nchi hiyo. Waziri…
Uingereza, Umoja wa Mataifa wailaumu Israel kwa njaa Gaza
Kauli hiyo ya Uingereza ilitolewa siku ya Ijumaa (Agosti 22) na Waziri wa Mambo ya Kigeni, David Lammy, ambaye alilaani kile alichokiita “uovu wa kimaadili na janga la kutengezwa na…
Mapigano yazidi Kivu Kusini, juhudi za amani zikiendelea
Kuanzia Jumatatu hadi Jumatano, karibu watu wanane wamepoteza maisha katika mapigano yaliyotokea kwenye baadhi ya vijiji vya wilaya ya Mwenga, vinavyopakana na wilaya ya Uvira, hali iliyoongeza wasiwasi kwa wakaazi…
Chanjo kutoka Afrika: Nyota njema yachomoza
Janga la COVID-19 limechochea harakati mpya barani Afrika za kujitegemea katika uzalishaji wa dawa na chanjo ili kupunguza utegemezi mkubwa wa uagizaji kutoka nje. Upungufu na usambazaji usio sawa wa…
Rais wa zamani wa Sri Lanka akamatwa kwa rushwa
Taarifa kutoka kituo cha televisheni cha nchini humo, Ada Derana, zinasema Rais wa zamani wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe amekamatwa na Idara ya Uchunguzi wa Jinai (CID) kuhusiana na madai…
Mvutano wa mipaka ya maji kati ya Kenya na Uganda watokota
Malalamiko yamezidi kuibuliwa na wavuvi ziwani humo juu ya unyanyasaji dhidi ya wavuvi wa Kenya unaofanywa na maafisa wa usalama wa Uganda. Takriban wiki tatu zilizopita, Kenya na Uganda zilisaini…
Iran kujadili mpango wake wa nyuklia na Ulaya
Mataifa hayo matatu makubwa ya Ulaya awali yalitishia kuirejeshea Iran vikwazo ilivyowekewa na Umoja wa Mataifa, iwapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu haitorejea tena katika meza ya mazungumzo kuhusu mpango wake…
Katz: Tutawamaliza Hamas wasiporidhia masharti ya vita
Kupitia ujumbe aliouandika kwenye mtandao wa X, Katz alisema “milango ya jehanamu” itafunguliwa dhidi ya Hamas, ambao aliwaita wauaji, hadi watakapokubali masharti ya Israel ya kumaliza vita. Ameonya kuwa iwapo…
Wanawake maveterani wa Kosovo bado hawathaminiwi, kwa nini?
Albina Haradinaj, mwanajeshi wa zamani kutoka Gjakova mwenye umri wa miaka 42. Ingawa hadhi yake ya veterani inamuwezesha kutambuliwa rasmi kama veterani wa vita pamoja na kupata mafao kama vile…
Jeshi la Niger linadai kumuua kiongozi wa kundi la Boko Haram
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, jeshi la Niger limetangaza siku ya Alhamisi jioni kwamba limemuua kiongozi wa kundi la wanajihadi la Boko Haram wiki iliyopita katika Bonde…