Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA : AGOSTI 25, 2025 – NYANI NA FISI WAGEUKA TISHIO KWA WANANCHI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA : AGOSTI 25, 2025 – NYANI NA FISI WAGEUKA TISHIO KWA WANANCHI
Gaza: Ishirini, wakiwemo wanahabari watano wauawa, katika shambulio la Israel Khan Younis
Waandishi watano wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya kimataifa wameuawa tarehe 25 Agosti katika mashambulizi ya Israel. Mashambulizi hayo yameikumba hospitali moja kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusababisha…
Israel yatuhumiwa kuwalenga wanahabari huko Gaza
Mapema Jumatatu asubuhi, Israel imeshambulia kwa makombora mawili hospitali kubwa zaidi kusini mwa Ukanda wa Gaza ya al-Nasser huko Khan Younis na kusababisha vifo vya watu 19 wakiwemo wanahabari 4.…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua mradi wa kuwasaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani (Children in Street Situation (CiSS)…
Vita Sudan: RSF yanalenga maeneo ya Kimkakati katika Jiji la El-Fasher
Hali ya utulivu kwa sasa inatawala huko El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, mji pekee katika jimbo hilo ulio chini ya udhibiti wa jeshi. Mapigano makali yameendelea kwa siku tisa…
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali …
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, ilikuweza kuokoa maisha ya wagonjwa wakiwemo wanaojifungua na…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo …
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo…