Polisi: Rais wa zamani wa Brazil Bolsonaro alikuwa akifikiria kutafuta hifadhi nchini Argentina
Polisi wanasema rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro aliandika barua ya kuomba hifadhi nchini Argentina huku uchunguzi kuhusu mapinduzi ya 2024 ukizidi. Imechapishwa: 21/08/2025 – 06:50 Dakika 2 Wakati…
Maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa waasi kurudishwa chini ya himaya ya Serikali ya DRC
Rasimu ya makubaliano ya amani ya Kongo na M23 inalenga kurejesha udhibiti wa serikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi. Imechapishwa: 21/08/2025 – 06:32 Dakika 2 Wakati wa kusoma Na: RFI…
Al-Shabaab yaripotiwa kunufaika na mzozo kati ya Somalia na Jubaland
Mapigano ya hivi karibuni nchini Somalia hasa katika eneo linalojitawala la Jubaland, yanatishia musatakabali wa eneo hilo, hali ambayo imesababisha makundi ya kijihadi kama lile la Al-Shaabab kujipenyeza na kuongeza…
Israel yaanza hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza
Israel imeingia katika hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza siku ya Jumatano baada ya kuidhinisha mpango wa kuutwaa ambao ni pamoja na kuwaita askari 60,000 wa akiba kwa…
Kenya yaiomba CAF kuwaruhusu mashabiki kuujaza uwanja wa Kasarani
Serikali ya Kenya imeliandikia rasmi barua shirikisho la soka la Afrika CAF, liruhusu mashabiki wa Kenya kuujaza uwanja wa Kasarani, wakati wa mchezo wa robo fainali dhidi ya Madagascar, unaotarajiwa…
Israel yaidhinisha mradi wa ujenzi wa makazi katika Ukingo wa Magharibi
Israel imeidhinisha mradi mkubwa wa makazi katika eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na walowezi wa Kiyahudi, uamuzi ambao jumuiya ya kimataifa imeonya kuwa unatishia uhai wa taifa…
aarifa Kuu Za App
WT Articles za kina, habari kali, na viendelezi vya utiririkaji wa moja kwa moja (live) kama “LTV Live Leo usiku.”Ni programu ya habari kwa Kiswahili, ikitoa taarifa za kitaifa na…
Heche na Sifuna: Ni pacha wa siasa za upinzani Afrika Mashariki?
Iwapo wewe ni mgeni katika ukanda wa Afrika ya Mashariki basi ninapotaja majina haya mawili , ni vigumu kuelewa kwa nini yametajwa katika sentensi moja.
Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania ‘inazua maswali’?
Kuna tofauti ya takribani wapiga kura milioni 6.2 kati ya waliotangazwa kuwa kwenye daftari la wapiga kura (milioni 37.6) na wale waliotarajiwa kuwa na sifa ya kupiga kura, (milioni 31.4)…
Uchaguzi Tanzania 2025: Tanzania kupiga kura Oktoba 29
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba…