Skip to content
  • Mon. Jun 29th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Pumba Zilizogeuka Dhahabu Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
HABARILEO

Pumba Zilizogeuka Dhahabu

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro

June 28, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
HABARILEO
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
MWANANCHI
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
MWANANCHI
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
MWANANCHI
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
HABARILEO
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
MWANANCHI
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
MWANANCHI
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
MWANANCHI
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
Uncategorized

🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025

Uncategorized

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt

October 24, 2025 mjombazecoder

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kumsimamia mkandarasi kwa karibu hasa katika kipindi hiki cha mvua ili hatua za awali za…

Chad: Mawakili wa Succès Masra waomba mteja wao aachiliwe kwa sababu za kimatibabu

October 24, 2025 mjombazecoder

Mawakili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Chad na kiongozi wa upinzani aneyezuiliwa jela Succès Masra waliwasilisha ombi la kuachiliwa kwa muda kwa mteja wao mnamo Oktoba 13, 2025, kwa…

Uncategorized

#HABARI:Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam Oktoba 22,2025 imewahukumu kutumikia kifungo cha miaka 35 jela Mohamed Al…

October 24, 2025 mjombazecoder

#HABARI:Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam Oktoba 22,2025 imewahukumu kutumikia kifungo cha miaka 35 jela Mohamed Aloyce Mtangile mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa yombo vituka na…

Vladimir Putin: Urusi iko chini ya vikwazo ‘vikubwa’ vya Marekani lakini bila ‘athari kubwa’

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Alhamisi, Oktoba 23, kwamba vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi na Marekani ni “vikubwa” lakini havitakuwa na “athari kubwa” katika uchumi wa nchi.…

Uncategorized

🔴KUMEKUCHA MICHEZO: …OKTOBA 24, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ...OKTOBA 24, 2025

Idadi ya wahamiaji wanaokwenda Uingereza yaongezeka licha ya makubaliano na Ufaransa

October 24, 2025 mjombazecoder

Hadi sasa, idadi ya vivuko haramu kwenye bahari Manche imezidi ile ya mwaka mzima wa 2024. Karibu watu 37,000 wamewasili kwenye fukwe za Uingereza, wakiwa ndani ya boti ndogo zinazoondoka…

Uncategorized

Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 24,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108

October 24, 2025 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 24,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates

MWANANCHI

Athari za mitandao ya kijamii kwa afya ya akili

October 24, 2025 mjombazecoder

Matumizi holela ya mitandao yanaweza kuathiri vibaya ustawi wa ujumla kwa kuchochea hali ya...

Pande zinazopigana za Sudan kukutana Washington

October 24, 2025 mjombazecoder

Wawakilishi kutoka Marekani, Saudi Arabia, Falme za Kiarabu, na Misri watakutana Ijumaa mjini Washington na pande zinazohusika katika mgogoro wa muda mrefu nchini Sudan ili kuzishinikiza kufikia makubaliano ya amani,…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yamuonya mkuu wa IAEA: Vitisho vilivyofeli havitaleta isipokuwa kusindwa kwingine

October 24, 2025 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amemuonya mkuu wa shirika la nyuklia la Umoja wa Mataifa, Rafael Grossi, dhidi ya kutoa "vitisho vilivyoshindwa" dhidi ya Tehran, akisema…

HABARI ZA KIPEKEE

WFP: Kiwango cha chakula kinachoingizwa Gaza ni kidogo mno

October 24, 2025 mjombazecoder

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) limetangaza kuwa, kiwango cha chakula kinachoingia Gaza bado kiko chini sana ya lengo la tani 2,000 kwa siku, likitoa wito…

HABARI ZA KIPEKEE

Mashabiki wa Galatasaray wapamba majukwaa kwa bendera ya Palestina, wataka kukomeshwa mauaji ya kimbari Gaza

October 24, 2025 mjombazecoder

Mashabiki wa Galatasaray wa Uturuki wakitangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina walipamba majukwaa ya uwanja wa Rams Park kwa bendera ya Palestina na kutoa wito wa…

MWANANCHI

Serikali isimamie lebo za lishe kwenye vyakula

October 24, 2025 mjombazecoder

Katika hili, jukumu la Serikali ni la msingi katika kuhakikisha kuwa lebo za lishe, hasa zile...

MWANANCHI

Haki ya malezi ya mtoto wanandoa wanapotengana

October 24, 2025 mjombazecoder

Uislamu umeweka kanuni za jumla pamoja na sharia maalumu zenye maelezo ya kina, ikiwemo sharia...

MWANANCHI

Azam na mechi ya kuandika historia

October 24, 2025 mjombazecoder

Historia mpya itaandikwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam, wakati...

Nigeria: Jeshi latangaza kuwaua wanajihadi 50 katika operesheni za angani kaskazini mwa nchi

October 24, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Nigeria limetangaza Alhamisi, Oktoba 23, 2025, kwamba limewaua wanajihadi 50 wakati wa operesheni za anga na ardhini katika majimbo ya kaskazini ya Borno na Yobe. Hili ni jibu…

Uncategorized

Ingawa kilimo cha zao la mwani kimezoeleka visiwani Zanzibar lakini kwa miaka 17 kimekuwa mhimili wa Maisha ya Mariamu Nanjota m…

October 24, 2025 mjombazecoder

Ingawa kilimo cha zao la mwani kimezoeleka visiwani Zanzibar lakini kwa miaka 17 kimekuwa mhimili wa Maisha ya Mariamu Nanjota mkazi wa kijiji cha Shuka mkoani Lindi. Simulizi yake inahadithiwa…

MWANANCHI

Siri, makosa upigaji wa chafya

October 24, 2025 mjombazecoder

Kupiga chafya ni mchakato wa kiasili unaosaidia mwili kuondoa vitu visivyotakiwa katika njia ya...

MWANANCHI

Mbeya City, JKT vita ipo kileleni

October 24, 2025 mjombazecoder

Ligi Kuu Bara inaendelea leo Ijumaa kwa mechi moja kupigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex jijini...

MWANANCHI

Siri ya kambi Marioo kuonekana kwenye video ya Diamond

October 24, 2025 mjombazecoder

Kati ya vitu anavyovipigania zaidi Marioo katika muziki wake kwa sasa, basi ni kolabo na...

Afrika Kusini: Rais wa zamani Jacob Zuma aagizwa kulipa zaidi ya euro Milioni 1

October 24, 2025 mjombazecoder

Mahakama ya Afrika Kusini imempa rais wa zamani Jacob Zuma siku 60 za kulipa zaidi ya Euro milioni 1. Mkuu huyo wa zamani wa nchi, kiongozi wa ufisadi na kashfa…

Uncategorized

#KIPIMAJOTO: Ajali ya Treni ya SGR kwa mara ya kwanza

October 24, 2025 mjombazecoder

#KIPIMAJOTO: Ajali ya Treni ya SGR kwa mara ya kwanza. Je, ufanyike uchunguzi wa kina kuzuia tukio kama hilo kujirudia

DRC : Serikali na waasi wazidi kutuhumiana

October 24, 2025 mjombazecoder

Kinshasa – Mapigano makali bado yanaendelea mashariki mwa DRC, licha ya mazungumzo ya kumaliza vita hivyo yanayofanyika Doha kati ya serikali ya DRC na waasi wa AFC/M23. Imechapishwa: 24/10/2025 –…

Uncategorized

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 24, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 24, 2025

HABARI ZA KIPEKEE

Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Cameroon kutangazwa Jumatatu

October 24, 2025 mjombazecoder

Baraza la Katiba la Cameroon linasema kuwa litatangaza matokeo ya uchaguzi wa rrais siku ya Jumatatu tarehe 27 Oktoba, saa 11 asubuhi kwa saa za huko.

HABARI ZA KIPEKEE

Mahdieh Esfandiari Muirani mtetezi wa Palestina aachiliwa huru

October 24, 2025 mjombazecoder

Mahdih Esfandiari, mwanaharakati wa Iran anayewaunga mkono watu wa Palestina, ameachiliwa kwa masharti kutoka katika jela ya Ufaransa baada ya kuzuiliwa kwa zaidi ya miezi saba.

HABARI ZA KIPEKEE

Ijumaa, tarehe 24 Oktoba, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

Leo ni Ijumaa tarehe Pili Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na tarehe 24 Oktoba 2025.

Uncategorized

Stuttgart waangukia pua mikononi mwa Fenerbahce ya Uturuki

October 24, 2025 mjombazecoder

Timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga, VfB Stuttgart imelazwa 1-0 na Fenerbahce ya Uturuki usiku wa kuamkia leo katika mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Ulaya.

Uncategorized

Pande zinazozozana Sudan kukutana Washington

October 24, 2025 mjombazecoder

Wawakilishi wa Marekani, Saudi Arabia, Umoja wa falme za Kiarabu na Misri watakutana leo mjini Washington na pande zinazozozana kwa muda sasa nchini Sudan.

Uncategorized

EU yaweka mikakati ya kusitisha utoaji wa gesi chafu

October 24, 2025 mjombazecoder

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira…

Uncategorized

Starmer kutoa wito Ukraine kuongezewa makombora na Ulaya

October 24, 2025 mjombazecoder

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atatoa mwito kwa viongozi wa Ulaya kuongeza msaada wa makombora ya masafa marefu kwa Ukraine katika mkutano wa kilele utakaofanyika mjini London Ijumaa.

Uncategorized

Trump kutoiunga mkono Israel ikiuvamia Ukingo wa Magharibi

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani haitoiunga mkono tena kivyovyote Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi, ambao imeukalia kimabavu tangu mwaka 1967.

HABARI ZA KIPEKEE

Ni mambo gani yameifanya Israel itengwe kisiasa na kijamii kiasi hiki?

October 24, 2025 mjombazecoder

Israel inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kisiasa katika historia yake. Yair Lapid, kiongozi wa upinzani wa utawala wa Kizayuni, alikiri hivi karibuni katika kikao cha kamati moja ya Knesset…

HABARI ZA KIPEKEE

Ni mambo gani yameifanya Israel itengwe kisiasa na kijamii kiasi hiiki?

October 24, 2025 mjombazecoder

Israel inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kisiasa katika historia yake. Yair Lapid, kiongozi wa upinzani wa utawala wa Kizayuni, alikiri hivi karibuni katika kikao cha kamati moja ya Knesset…

Uncategorized

Ulaya yaweka mikakati ya kusitisha utoaji gesi chafu

October 24, 2025 mjombazecoder

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira…

Uncategorized

24.10.2025

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump atishia kutoiunga mkono Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi//Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kutoa wito wa Ukraine kuongezewa makombora na Ulaya//Na Umoja wa Ulaya…

Uncategorized

24.10.2025 – Taarifa ya Habari ya Asubuhi

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump atishia kutoiunga mkono Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi//Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kutoa wito wa Ukraine kuongezewa makombora na Ulaya//Na Umoja wa Ulaya…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 24, 2025

October 23, 2025 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa

Uncategorized

🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 23, OKTOBA 2025

October 23, 2025 mjombazecoder

🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 23, OKTOBA 2025

Uncategorized

Erdogan akamilisha ziara ya Ghuba, akitia saini mikataba 24 mipya na Kuwait, Qatar na Oman

October 23, 2025 mjombazecoder

Ziara ya siku tatu ya Rais wa Uturuki ililenga katika kuimarisha uhusiano wa pande mbili, ushirikiano wa kikanda, na kuunga mkono suluhisho la mataifa mawili katika Mashariki ya Kati.

Uncategorized

“sisi ni Watanzania ni lazima tujuwe fahari ya Kitanzania tuna ufahari gani na namna ya kujua ufahari wetu sisi Watanzania nd…

October 23, 2025 mjombazecoder

“sisi ni Watanzania ni lazima tujuwe fahari ya Kitanzania tuna ufahari gani na namna ya kujua ufahari wetu sisi Watanzania ndio tuna rasilimali nyingi, tuna mbuga za wanyama, tuna Ngorongoro,…

Uncategorized

“kwa hiyo tukishakuwa na akili zetu kwenye huu mtazamo sasa itatusaidia kwenda kufata zile taratibu ambazo zimewekwa na Tume ya…

October 23, 2025 mjombazecoder

“kwa hiyo tukishakuwa na akili zetu kwenye huu mtazamo sasa itatusaidia kwenda kufata zile taratibu ambazo zimewekwa na Tume ya uchaguzi kwamba kabla ya uchaguzi kama sasa hivi tunapaswa tuhuzulie…

Uncategorized

Mwamuzi aliyefungiwa miezi mitatu na kumaliza adhabu, apewa onyo kali ZPL

October 23, 2025 mjombazecoder

UNAMKUMBUKA mwamuzi Thobias Wariko, aliyefungiwa kwa muda wa miezi mitatu kutokana na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup) iliyomalizika…

Uncategorized

Mgombea Gombo Samandito Gombo wa Chama Cha Wananchi (CUF) amewaahidi wazee nchini kupokea mshahara kila mwezi kutoka katika seri…

October 23, 2025 mjombazecoder

Mgombea Gombo Samandito Gombo wa Chama Cha Wananchi (CUF) amewaahidi wazee nchini kupokea mshahara kila mwezi kutoka katika serikali yake iwapo atafanikiwa kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.…

Uncategorized

Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kupitia kwa mgombea wake wa Urais, Salum Mwalimu amesema akifanikiwa kitwara kiti hicho ata…

October 23, 2025 mjombazecoder

Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kupitia kwa mgombea wake wa Urais, Salum Mwalimu amesema akifanikiwa kitwara kiti hicho atahakikisha anatoa kipaumbele kwa wazawa katika uendelezaji wa rasilimali za madini.…

Uncategorized

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CCK, David Daud Mwaijojele ameahidi kuimarisha huduma za afya kila kata nchini iwapo…

October 23, 2025 mjombazecoder

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CCK, David Daud Mwaijojele ameahidi kuimarisha huduma za afya kila kata nchini iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Ametoa ahadi hiyo kwenye…

Uncategorized

Jeshi la Nigeria lawaua zaidi ya wanamgambo 50 wa Boko Haram

October 23, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limewaua wanamgambo zaidi ya 50 wa kundi la Boko Haram baada ya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kutekelezwa na kundi hilo dhidi ya kambi…

Uncategorized

Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema akifanikiwa kushinda muhula wa pili wa Urais wa Zanzibar atahakikisha kunakuwepo na ongezeko la …

October 23, 2025 mjombazecoder

Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema akifanikiwa kushinda muhula wa pili wa Urais wa Zanzibar atahakikisha kunakuwepo na ongezeko la ajira kupitia sekta za ualimu, afya na vikosi vya SMZ ili…

MWANANCHI

Familia ya Heche yahoji alipo ndugu yao, yatoa siku moja

October 23, 2025 mjombazecoder

Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu Mwenyekiti wa chama...

Posts pagination

1 … 826 827 828 … 1,016

Recent Posts

  • Pumba Zilizogeuka Dhahabu
  • Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
  • Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
  • Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
  • Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARILEO

Pumba Zilizogeuka Dhahabu

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga

June 28, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS