#SWALILAKIPIMAJOTO:”Maagizo ya serikali kulipa fidia wananchi wanaopisha miradi ya kimkakati
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Maagizo ya serikali kulipa fidia wananchi wanaopisha miradi ya kimkakati. Je, Yanasimamiwa utekelezaji wake kwa wakati kuepusha malalamiko?”.
Watu Laki Tano warejea jijini Khartoum tangu jeshi kulidhibiti : UN
Umoja wa Mataifa unasema, watu zaidi ya Laki Tano, wamerejea katika jiji kuu la Sudan Khartoum mwezi Julai, miezi minne baada ya jeshi kulidhibiti.
Botswana yatangaza hali ya dharura kufuatia uhaba wa dawa
Aliongeza kuwa Wizara ya Fedha imeidhinisha bajeti ya dharura ya dola milioni 18.7 ili kuushughulikia mzozo huo. Rais Duma Boko alisema jeshi litasimamia usambazaji wa dawa za dharura, huku shehena…
🔴MAGAZETI: MIKOA 13 YATOSA WANAWAKE CCM…AGOSTI 26, 2025
🔴MAGAZETI: MIKOA 13 YATOSA WANAWAKE CCM…AGOSTI 26, 2025
Burkina, Mali zasusia mkutano wa ulinzi Afrika mjini Abuja
Pamoja na Niger — ambayo pia iko chini ya utawala wa kijeshi — Mali na Burkina Faso zilijiondoa kwenye jumuiya ya kikanda ya ECOWAS Januari, baada ya kuunda Muungano wao…
Ligi Kuu England: Vilabu sita vikubwa vinahitaji wachezaji gani kabla usajili kufungwa?
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo kuhusu taarifa Author, Phil McNulty Nafasi, BBC Dakika 32 zilizopita Vilabu vyote vya vya Ligi Kuu ya England vimetumia zaidi ya pauni bilioni 2…
Viongozi walaani shambulizi la Israel kwenye hospitali Gaza
Maafisa wa afya wa Gaza wamesema shambulizi hilo kwenye hospitali ya Nasser huko Khan Younis liliwauwa watu 20 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80. Ni miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi…
Raia 13 wauawa na wanamgambo wa RSF huko Darfur, Sudan
Raia wasiopungua 13 wa Sudan wameripotiwa kuuawa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko Darfur Kaskazini. Source link
Uchaguzi Tanzania 2025: Mpina kuchuana na Samia Oktoba 29
Chanzo cha picha, ACT Maelezo ya picha, Mpina 7 Agosti 2025 ACT Wazalendo imemuidhinisha rasmi bwana Luhaga Mpina kuwa mmoja wa wagombea wa Urais atakayechuana na Rais Samia Suluhu Hassan…
Israel yaendelea kumwaga damu za wanahabari Gaza, yaua wengine 4
Kwa akali wanahabari wanne wa Kipalestina, akiwemo mpiga picha wa televisheni ya Al-Jazeera, ni miongoni mwa watu 15 waliouawa shahidi katika shambulio jipya la Israel dhidi ya hospitali moja iliyoko…