Skip to content
  • Sun. Jun 28th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Pumba Zilizogeuka Dhahabu Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro Mwanza yang’ara UMISETA 2026, yatwaa ubingwa wa jumla
HABARILEO

Pumba Zilizogeuka Dhahabu

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro

June 28, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Mwanza yang’ara UMISETA 2026, yatwaa ubingwa wa jumla

June 28, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
HABARILEO
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
MWANANCHI
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
MWANANCHI
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
MWANANCHI
Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
HABARILEO
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
MWANANCHI
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
MWANANCHI
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
MWANANCHI
Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
Uncategorized

Wakazi wa vijiji vya Kasahanga na Buzimbwe vilivyopo wilayani Bunda mkoani Mara wameishukuru serikali kwa ujenzi wa vizimba maal…

October 22, 2025 mjombazecoder

Wakazi wa vijiji vya Kasahanga na Buzimbwe vilivyopo wilayani Bunda mkoani Mara wameishukuru serikali kwa ujenzi wa vizimba maalumu vinavyowaruhusu kuchota maji katika Ziwa Victoria bila kuwa katika hatari ya…

Uncategorized

Steven Lameck (71) mkazi wa kijiji cha Silonge wilayani Tanganyika ameamua kurudi tena darasani baada ya kuishia darasa la 7 mwa…

October 22, 2025 mjombazecoder

Steven Lameck (71) mkazi wa kijiji cha Silonge wilayani Tanganyika ameamua kurudi tena darasani baada ya kuishia darasa la 7 mwaka 1969. Mzee huyo aliyejiendeleza kielimu kwa kujiunga na masomo…

Uncategorized

Mgombea Urais kupitia chama cha MAKINI, Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania pamoja na kubore…

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea Urais kupitia chama cha MAKINI, Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania pamoja na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma iwapo atafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu.…

Uncategorized

Fountain Gate yaikomalia Coastal Mkwakwani

October 22, 2025 mjombazecoder

COASTAL Union imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Fountain Gate kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.

Uncategorized

Mgombea urais wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira ameahidi kuimarisha utawala bora na kuongeza ajira kwa …

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea urais wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira ameahidi kuimarisha utawala bora na kuongeza ajira kwa vijana iwapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Enos Masanja na…

Uncategorized

#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji Jotoardhi (TGDC) kuhakikisha kuwa vifaa vyote vya uhakiki…

Uncategorized

Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi kupitia uchaguzi wa Oktoba 29 kitamaliza changamo…

October 22, 2025 mjombazecoder

Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi kupitia uchaguzi wa Oktoba 29 kitamaliza changamoto ya foleni za barabarani katika mji wa Tunduma pamoja na…

Uncategorized

#HABARI: Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Bw

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Bw. Majalio Kyara amesema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa kivitendo, ili Watanzania waweze kupata…

Uncategorized

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza matumizi ya vitambulisho vya taifa au leseni za udereva kwa wapiga kura watakao…

October 22, 2025 mjombazecoder

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza matumizi ya vitambulisho vya taifa au leseni za udereva kwa wapiga kura watakaokuwa waemepoteza vitambulisho rasmi vya mpiga kura. Taarifa hii ina…

Uncategorized

#HABARI: Zaidi ya wapiga kura 80,000 katika Jimbo la Babati Mjini, wanatarajiwa kupiga kura kwenye jumla ya vituo 206, kuelekea …

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Zaidi ya wapiga kura 80,000 katika Jimbo la Babati Mjini, wanatarajiwa kupiga kura kwenye jumla ya vituo 206, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais utakaofanyika Oktoba 29…

Uncategorized

Mgombea Urais wa chama cha NRA, Almas Kisabya ameahidi kufuta tozo zote za mazao kwa wakulima pamoja na kuboresha mifumo ya sta…

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea Urais wa chama cha NRA, Almas Kisabya ameahidi kufuta tozo zote za mazao kwa wakulima pamoja na kuboresha mifumo ya stakabadhi ghalani. Kisabya ametoa ahadi hiyo katika kampeni zake…

Uncategorized

Mgombea Urais wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuliongezea ufanisi bunge kupitia ushirikiano na wa…

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea Urais wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuliongezea ufanisi bunge kupitia ushirikiano na watafiti watakaoshirikiana na wabunge kutafuta majibu ya hoja zinazohusu maendeleo ya wananchi.…

Uncategorized

#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limejipanga kuhakikisha msimu wa mauzo ya Korosho wa mwaka 2025/2026 unaenda vizuri na kw…

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limejipanga kuhakikisha msimu wa mauzo ya Korosho wa mwaka 2025/2026 unaenda vizuri na kwa ufanisi mkubwa, baada ya kufanya maboresho katika maeneo yaliyokuwa changamoto…

MWANANCHI

Wydad mpya ya Ziyech, Aziz Ki balaa jingine

October 22, 2025 mjombazecoder

Supastaa, Hakim Ziyech amekubali kujiunga bure na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco baada ya...

MWANANCHI

Baada ya kupigwa sita, Conte aponda usajili Napoli

October 22, 2025 mjombazecoder

Meneja wa Napoli, Antonio Conte amelalamikia mipango mibovu ya usajili kwa timu yake akidai...

Uncategorized

#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Afrika, Bw

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Afrika, Bw. Sunil Taldar, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano, matumizi ya Akili Bandia (AI) na vituo vya data katika kuharakisha maendeleo ya Kidijitali Barani Afrika, unavyosaidia…

MWANANCHI

Mashirika ya haki ya binadamu yaipa CCM jukumu

October 22, 2025 mjombazecoder

Zikiwa zimebaki siku saba kabla ya Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu, mashirika ya haki za...

MWANANCHI

Mahakama ilichoamua kuhusu Heche na wenzake

October 22, 2025 mjombazecoder

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeamuru viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Uncategorized

Pacome, Maxi watwishwa mzigo Yanga

October 22, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa

Uncategorized

Ulipo mtego wa Ahoua, Mpanzu Simba, Pantev atia neno

October 22, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa

Uncategorized

🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 22, 2025 – LISSU ASHINDA PINGAMIZI LA KUMKATAA SHAHIDI WA VIDEO

October 22, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 22, 2025 - LISSU ASHINDA PINGAMIZI LA KUMKATAA SHAHIDI WA VIDEO

Uncategorized

#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Felister Mdemu amewataka Maafisa Mae…

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Felister Mdemu amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Mbeya kufanya kazi kwa bidii na kujituma…

Uncategorized

Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa zaidi ya shilingi bilioni 527.7 kwa ajili ya kutekeleza miradi 13…

October 22, 2025 mjombazecoder

Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa zaidi ya shilingi bilioni 527.7 kwa ajili ya kutekeleza miradi 13 ya barabara, madaraja na mizani katika Mkoa wa Tabora. Meneja wa…

Uncategorized

Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwa kushirikiana na shirika la Agriculture and Fisheries Development Program (AFDP…

October 22, 2025 mjombazecoder

Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwa kushirikiana na shirika la Agriculture and Fisheries Development Program (AFDP) wamekabidhi vifaa vya uwezeshaji kilimo cha mwani vyenye thamani ya Shilingi…

MWANANCHI

Mafundi magari zaidi ya 200 waomba wasihamishwe Suye

October 22, 2025 mjombazecoder

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude ameutaka Umoja wa Mafundi wa Magari Krokon eneo la Suye...

MWANANCHI

Mwalimu: Kila Mbunge kwenye uongozi wangu lazma awe na msaidizi mtafiti, amkumbuka Sitta

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amesema endapo...

MWANANCHI

Mahakama yaamuru kina Heche watangazwe gazetini

October 22, 2025 mjombazecoder

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeamuru viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Uncategorized

Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanya maboresho yatakayoongeza ufanisi na kuhakikisha msimu wa korosho wa 2025/2026 unakuwa na…

October 22, 2025 mjombazecoder

Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanya maboresho yatakayoongeza ufanisi na kuhakikisha msimu wa korosho wa 2025/2026 unakuwa na tija kubwa kwa wakulima na wadau wa sekta hiyo. Afisa Mwandamizi wa…

Uncategorized

Mazingira ya kisiasa na kiuchumi Tanzania kabla ya uchaguzi

October 22, 2025 mjombazecoder

Wakati uchaguzi ukikaribia, Watanzania wametoa maoni tofauti kuhusu mustakabali wa taifa lao lakini wengi wakiwa na matumaini ya kupata viongozi watakaoboresha sekta elimu, afya ya uzazi na kuwawezesha vijana ka.

Uncategorized

#HABARI: Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Majengo na Tambukareli, wilayani Manyoni, mkoani Singida, wameondokana na adha ya kusom…

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Majengo na Tambukareli, wilayani Manyoni, mkoani Singida, wameondokana na adha ya kusoma wakiwa wamekaa chini pamoja na kuchangia dawati moja wanafunzi wanne hadi…

Uncategorized

Mashambulizi ya droni katika mji mkuu wa Sudan yachelewesha kufunguliwa upya kwa uwanja wa ndege

October 22, 2025 mjombazecoder

Safari ya ndani ya kwanza ya ndege ya kibiashara ya kampuni ya Badr Airlines ilipangwa kufanyika Jumatano.

Uncategorized

Israel imeirejesha miili 30 ya wapalestina mjini Gaza

October 22, 2025 mjombazecoder

Wizara ya afya ya Gaza inayodhibitiwa na Hamas imesema Israel imeirejesha miili ya wapalestina wengine 30 katika Ukanda wa Gaza, na kufikisha jumla ya miili 195 iliyorejeshwa chini ya makubaliano…

MWANANCHI

Twiga Stars yatakata, yanusa WAFCON

October 22, 2025 mjombazecoder

Matokeo hayo yanaifanya Twiga Stars ihitaji ushindi au sare ya aina yoyote katika mechi ya...

MWANANCHI

Taharuki yatanda kichanga chatupwa kwenye mfuko wa taka

October 22, 2025 mjombazecoder

Taharuki yaibuka katika mtaa wa Viwandani kata ya Mjini Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga...

Uncategorized

Mashujaa yaibania TRA, ikiendeleza sare Ligi Kuu Bara

October 22, 2025 mjombazecoder

TIMU ya TRA United imeshindwa kutamba nyumbani kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora, baada ya leo Oktoba 22, 2025 kulazimishwa suluhu (0-0) dhidi ya Mashujaa, ikiwa ni sare…

Uncategorized

Watu 20 wakamatwa Cameroon kwa kupinga matokeo ya urais

October 22, 2025 mjombazecoder

Cameroon inakabiliwa na sintofahamu kubwa kufuatia kukamatwa kwa wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakijaribu kuandaa maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika hivi karibuni.

Uncategorized

Maandalizi ya mkutano kati ya Trump na putin yanaendelea

October 22, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Kremlin Dimtry Peskov amenukuliwa akisema mkutano huo unaandaliwa vyema kwa sababu si Trump wala Putin anayetaka kuuharibu mpango huo na kupoteza muda.

Uncategorized

Fufuni inavyong’ara Ligi Kuu Zanzibar

October 22, 2025 mjombazecoder

TIMU ya Fufuni kutoka kisiwani Pemba, imeendelea kuwa timu iliyopanda daraja msimu huu kushiriki Ligi Kuu Zanzibar kuwa na matokeo mazuri zaidi ya nyingine hadi sasa baada ya kuvuna alama…

MWANANCHI

ADC yaahid kusomesha wanafunzi kompyuta kuanzia maandalizi hadi chuo kikuu

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed, amesema akichaguliwa na...

MWANANCHI

OMO: Sihofii kura ya mapema, nitashinda tu

October 22, 2025 mjombazecoder

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema hana...

MWANANCHI

Profesa Assad: Hali ya kiuchumi Tanzania ni nzuri

October 22, 2025 mjombazecoder

Profesa Assad, amebainisha hayo katika kongamano la kitaaluma la kujadili utekelezaji wa uchumi...

Uncategorized

Marco Rubio kuitembelea Israel siku ya Ijumaa

October 22, 2025 mjombazecoder

Ziara hiyo inafanyika wakati utawala wa Rais Donald Trump ukijaribu kuimarisha makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza, yaliyofikiwa zaidi ya wiki moja iliyopita.

Uncategorized

#HABARI: Taifa la Ujerumani kwa kushirikina na serikali wameanza mchakato wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira ikiwemo uchim…

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Taifa la Ujerumani kwa kushirikina na serikali wameanza mchakato wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira ikiwemo uchimbaji haramu wa madini unaofanywa na baadhi ya watu katika vyanzo vya maji…

Uncategorized

Uwanja wa ndege wa Khartoum washambuliwa kwa droni

October 22, 2025 mjombazecoder

Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Sudan ilikuwa imetangaza kufunguliwa kwa uwanja huo leo baada ya maandalizi ya kiufundi kukamilika, lakini kufuatia mashambulizi mapya, haijulikani kama shughuli zitaanza kama ilivyopangwa.

Uncategorized

#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani tayari zimepatikana, na Serikali…

Uncategorized

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewaonya wananchi na makundi yote katika jamii kuepuka vitendo vyovyote vya vu…

October 22, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewaonya wananchi na makundi yote katika jamii kuepuka vitendo vyovyote vya vurugu, uchochezi au uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…

Uncategorized

Wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika 2025 wajulikana

October 22, 2025 mjombazecoder

Mshambuliji wa Liverpool Mohamed Salah na beki wa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi ni miongoni mwa nyota 10 walioteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika wa 2025, waandaaji wa tuzo…

MWANANCHI

Watu 400,000 wanufaika na Tasaf, waanza kujitegemea

October 22, 2025 mjombazecoder

Zaidi ya watu 400,000 kutoka kaya maskini nchini wamenufaika na Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini...

Uncategorized

Vikosi vya Syria vyapambana na kundi la wanajihadi

October 22, 2025 mjombazecoder

Operesheni hiyo kaskazini-magharibi mwa Syria imesababisha mapigano makali, katika kile kinachotajwa kuwa shambulio la kwanza la serikali mpya ya Syria dhidi ya wanajihadi tangu kuondolewa madarakani kwa Bashar al-Assad

Uncategorized

Kitambala ashindwe yeye tu Azam

October 22, 2025 mjombazecoder

KOCHA Florent Ibenge, amesema mshambuliaji wa kikosi hicho, Jephte Kitambala, kwa sasa anatakiwa kuwa na mwendelezo wa kufunga hali ambayo itamuongezea kujiamini zaidi.

Posts pagination

1 … 831 832 833 … 1,016

Recent Posts

  • Pumba Zilizogeuka Dhahabu
  • Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
  • Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
  • Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
  • Mwanza yang’ara UMISETA 2026, yatwaa ubingwa wa jumla

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARILEO

Pumba Zilizogeuka Dhahabu

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro

June 28, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS