🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 04, 2026 – RAIS WA ZANZIBAR AAHIDI KUJENGA MASOKO YA KISASA ZANZIBAR
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 04, 2026 - RAIS WA ZANZIBAR AAHIDI KUJENGA MASOKO YA KISASA ZANZIBAR
Kuelekea siku 100 za Rais Ikulu, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt
Kuelekea siku 100 za Rais Ikulu, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera, anatarajiwa kuongoza zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria bure mkoani Morogoro kesho, ikiwa ni…
Madarasa ya mitihani yalivyo mzigo kwa wazazi
Kila saa 11:30 alfajiri, Nicodemas Massawe huwa tayari barabarani. Si kwa sababu ya kazi, bali...
Uchaguzi mwingine mdogo kufanyika Kilimanjaro, Morogoro
Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki...
ACT- Wazalendo yatanguliza mguu SUK
Chama cha ACT - Wazalendo kimeshatanguliza mguu mmoja mbele kuingia katika Serikali ya Umoja wa...
Rais Samia kuzindua bima ya afya kwa wote Januari hii
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa...
Waziri Sangu azuru Bakwata, atambulisha jukumu jipya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu ametembelea Ofisi za...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE – JANUARI 04, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE - JANUARI 04, 2026
JK azindua jengo la Uhamiaji, makazi ya askari Pemba
PEMBA; Rais mstaafu wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya Uhamiaji na makazi ya askari lililopo wilayani Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kulia…
Waziri Kombo: Kuna haja ya kuwa na viongozi wenye ujuzi wa kuzungumza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema...
Man United yabanwa ugenini
Manchester United imelazimishwa sare kwa mara ya pili mfululizo wakati safari hii ikiwa ugenini...
Wanaharakati Uganda washitushwa na ukamataji kuelekea uchaguzi
Kukamatwa na kisha kuwekwa rumande kwa Sarah Bireete, mtetezi mashuhuri wa haki za binadamu na...
Morogoro, Manyara, Zanzibar waanika fursa maeneo ya uwekezaji
Mikoa ya Morogoro, Manyara na Zanzibar imebainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo...
Bakwata yapongeza kuimarisha umoja, amani
DAR ES SALAAM: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limepongezwa kwa kuimarisha amani, umoja na mshikamano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira…
Msimamo wa Chadema wawaibua wadau, watoa maoni tofauti
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitoa msimamo wake ikiwemo kutaka...
Azam FC yaanza na Haaland, Pogba
AZAM FC inaendelea kujiimarisha katika maeneo mbalimbali ya kikosi hichona sasa imevamia Mlandege ya Zanzibar na kubeba mastaa wawili wa timu hiyo, akiwamo Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ na Suleiman Juma…
Serikali ya kijeshi ya Myanmar imetoa msamaha kwa zaidi ya wafungwa 6,100 na kupunguza vifungo vya wafungwa wengine leo Jumapili…
Serikali ya kijeshi ya Myanmar imetoa msamaha kwa zaidi ya wafungwa 6,100 na kupunguza vifungo vya wafungwa wengine leo Jumapili wakati ikiadhimisha miaka 78 ya uhuru wa nchi hiyo kutoka…
Mahakama Kuu ya Venezuela imetoa uamuzi kwamba Delcy Rodrígo ambaye amekuwa akihudumu kama makamu wa rais wa Maduro, achukue naf…
Mahakama Kuu ya Venezuela imetoa uamuzi kwamba Delcy Rodrígo ambaye amekuwa akihudumu kama makamu wa rais wa Maduro, achukue nafasi ya rais wa muda katika kipindi hiki chenye kutarajia mabadiliko.…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI – 04/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 04/01/2026
Azam vs Simba yanukia nusu fainali
Leo Jumatatu, makundi mawili katika Kombe la Mapinduzi 2026 yanamaliza mechi zake ambapo baada...
Sababu ya Joshua kuishi Nigeria
Ni wachache wanaoweza kufikiria kupona katika ajali ya gari ya kusikitisha iliyogharimu maisha...
Diarra sasa aifuata Senegal
Kipa namba moja wa Yanga, Diarra Djigui usiku wa juzi alikuwa shujaa wa timu ya taifa ya Mali...
Wanawake wanaoishi bila wanaume maarufu Single Mothers wamesema licha ya kuishi katika mazingira hayo bado kuna vitu ambavyo vin…
Wanawake wanaoishi bila wanaume maarufu Single Mothers wamesema licha ya kuishi katika mazingira hayo bado kuna vitu ambavyo vinawakosesha heshima kwa jamii kuwachukulia tofauti. Wanawake hao wamesema kutokana na maisha…
DC Sweda amaliza mgogoro kati ya waumnii, viongozi wa Kanisa Moravian
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma Sweda, amemaliza mgogoro uliodumu kwa miezi kadhaa kati ya...
Kocha aifungukia Nigeria
Kocha mkuu wa Msumbiji, Chiquinho Conde, ameonesha imani kubwa na uwezo wa timu yake kuelekea...
Kukamatwa kwa Maduro ni kama walivyokamatwa Noriega, Saddam
Taarifa za kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela, Nicolás Maduro, na kuwekwa chini ya ulinzi wa...
Wanafalsafa wameeleza kuwa duniani kuna aina tatu za watu: watu miguu wanaofuata maelekezo bila kuhoji, watu mikono wanaotekelez…
Wanafalsafa wameeleza kuwa duniani kuna aina tatu za watu: watu miguu wanaofuata maelekezo bila kuhoji, watu mikono wanaotekeleza na kutafsiri mawazo ya wengine, na watu vichwa wanaobuni suluhisho na kutatua…
Bulaya kugharamia wanafunzi wasio na uwezo
Mbunge wa Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya amezindua programu maalumu ya kuwasaidia watoto ambao...
Makusanyo TRA ni zaidi ya matarajio, wachumi wasema…
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, mwaka jana uliohusisha vurugu katika baadhi ya maeneo, shughuli...
Kaimu Rais wa Venezuela: Kuna mkono wa Israel katika utekaji wa Maduro
Kaimu Rais wa Venezuela, aliyeidhinishwa na Mahakama ya Juu Zaidi nchini humo, amesema kulikuwa na "kivuli cha Wazayuni" katika operesheni ya kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro.
Muqawama: Mashambulizi ya Venezuela yameanika dhati ya Marekani
Makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi sanjari na kulaani kile yalichokiita ugaidi wa kiserikali wa Marekani dhidi ya Venezuela, yamesema mashambulizi na utekaji nyara wa Rais Nicolas Maduro…
Umoja wa wananchi na uongozi wenye busara: Siri ya kumshinda adui katika vita laini
Marekani na washirika wa Ulaya wa Ikulu ya White House wameshindwa katika vita laini dhidi ya Iran ya Kiislamu, licha ya kutumia kiwango kikubwa cha fedha na mashirika ya propaganda…
Dereva aliyefungwa Sudan Kusini asimulia safari yake gerezani, masaibu
“Miezi minane usiku na mchana niliishi na minyororo miguuni, leo naona mwanga. Ahsanteni...
Denis Nkane, TRA United mambo yamejipa
UONGOZI wa TRA United umekamilisha mpango wa kuinasa saini ya winga Denis Nkane kutoka Yanga kwa mkataba wa miezi sita.
Abalkassim aibukia Mbeya City
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi minne, aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Pamba Jiji, Abalkassim Suleiman, amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya City ya jijini Mbeya, kwa dili…
Beki Mkongomani anukia Dodoma Jiji
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza maboresho ya kikosi hicho katika dirisha hili dogo lililofunguliwa rasmi Januari Mosi, ambapo kwa sasa unakaribia kuipata saini ya beki wa kati raia wa DR…
Katika movie ya kihindi kupitia AzamTWO leo saa 4:00 usiku, ni kitu cha Sirf Ek Bandaa Kaafi Hai
Katika movie ya kihindi kupitia AzamTWO leo saa 4:00 usiku, ni kitu cha Sirf Ek Bandaa Kaafi Hai. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #Azammaxweb #AzamTWO
JK kushiriki uzinduzi jengo la Uhamiaji Pemba
PEMBA; Rais mstaafu Awamu ya Nne wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari,Wilaya…
What happens to your blood pressure when you do dry January
MANY people use Dry January as an opportunity to reexamine their relationship with alcohol, and end up noticing health perks they didn’t expect. It’s common to have better sleep and…
Heeee Jevdet amefanya nini 😳 Aziza na dishi lake kumewaka pia
Heeee Jevdet amefanya nini 😳 Aziza na dishi lake kumewaka pia. Usikose kufuatilia tamthilia ya 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO pekee.
Hizbullah: Iran haijataka chochote kwetu mkabala wa kutusaidia, kutuunga mkono
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amepongeza ustadi wa kijeshi wa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
DC Itunda: Serikali inathamini mchango wa viongozi na wasomi waliotumikia taifa
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amesema Serikali inaendelea kuthamini mchango wa...
Mashambulizi ya US yaliua makumi ya watu Venezuela; Afrika Kusini yalaani
Zaidi ya watu 40 waliuawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, wakiwemo raia na wanajeshi, gazeti la New York Times limeripoti, likimnukuu afisa mkuu…
Marekani yaripuka kwa maandamano ya kulaani uvamizi wa kijeshi dhidi ya Venezuela
Wananchi wa Marekani wamemiminika mitaani na mabarabarani kote nchini humo kushiriki maandamano ya kupinga na kushutumu uchokozi wa kijeshi wa Washington dhidi ya Venezuela, na kutekwa nyara kwa Rais Nicolas…
Amorim aibua sintofahamu Man United
Kocha mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim, ameashiria kuwepo kwa sintofahamu kati yake na...
Bulaya agawa vifaa vya shule kwa wanafunzi Bunda
Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya Sh41 unahusisha sare za shule,daftari, kalamu,viatu, soksi...