Wahouthi wavamia ofisi za UN Yemen, wafanyakazi wakamatwa
Wahouthi wamevamia ofisi za mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayoshughulika na chakula na watoto mjini Sanaa, Yemen, na kumkamata mfanyakazi mmoja, huku vikosi vyao vikiimarisha ulinzi kufuatia kuuawa kwa waziri…