EU: Marekani Ifikirie uamuzi wake dhidi ya wapalestina
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika mwezi Ujao mjini New York Marekani. Kallas amesema kutokana na mikataba iliyoko kati ya Umoja wa Mataifa na Marekani, taifa hilo linapaswa kufikiria upya uamuzi wake.…