#HABARI: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya, Mkoa Mbeya, Mh. Masache Njelu Kasaka, aliyefanikiwa kutetea nafasi yake na kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupeperusha bendera ya kuomba ridhaa ya Ubunge kwa wananchi, amefika Ofisi za Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi, Jimbo hilo kuchua fomu ya kugombea nakuahidi kutekeleza miradi ambayo bado haijakamilika.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania