#HABARI: Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Idara ya Utume wa Walei wa Baraza la Maaskofu Kakatoli…#HABARI: Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Idara ya Utume wa Walei wa Baraza la Maaskofu Kakatoli…

#HABARI: Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Idara ya Utume wa Walei wa Baraza la Maaskofu Kakatoliki Tananzaia (TEC), Mhashamu Edward Mapunda, ameomba Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, uwe wa haki, huru na kusiwepo upendeleo kwa chama au mgombea yeyote ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *