#HABARI: Baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumteua John Luhende kuwa mgombea Jimbo la Bukene, Kada huyo am…#HABARI: Baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumteua John Luhende kuwa mgombea Jimbo la Bukene, Kada huyo am…

#HABARI: Baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumteua John Luhende kuwa mgombea Jimbo la Bukene, Kada huyo amefika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega na kuchukua fomu ya uteuzi kugombea Ubunge wa Jimbo hilo.

Luhende amechukua fomu hiyo Agosti 25, 2025 huku akikishukuru Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumuamini na kumteua kuwa mgombea Ubunge Jimbo la Bukene.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *