#HABARI:Mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge Jimbo la Musoma Mjini Mgore Miraji amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huku akiahidi kuwalipa deni walilomkopesha wakazi wa Musoma na kuibadilisha Manispaa ya Musoma.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania