Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimeshutumu vikali mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya mji mkuu wa Yemen na miundombinu ya kiraia, na kuyaelezea kama “ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa” na gharama ya kuilinda Palestina.
Source link
