Jamii ya Ogiek nchini Kenya inapigania kurejesha ardhi ya mababu zao katika msitu wa Mau. Jamii hiyo imeishi msituni humo kwa muda mrefu japo serikali ya Kenya imewalazimisha kuondoka. Post navigation Uturuki yalaani shambulizi la Israel dhidi ya wanahabari 26.08.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi