#HABARI: Rais William Ruto ameongoza Wakenya katika Maadhimisho ya kwanza ya siku ya katiba, siku ambayo Wakenya walipiga kura na kupitisha Katiba ya mwaka Katiba ambayo ilitambulika kama moja ya Katiba bora zaidi barani Afrika.
Hata hivyo miaka 15 baadae baadhi ya Wakenya wanasema kuwa Katiba hiyo haijatekelezwa kikamilifu.