Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amepiga marufuku wanafunzi kwenda shuleni wakiwa na vidumu vya maji.
Dkt. Mwigulu amepiga marufuku hiyo wakati akizindua rasmi mfumo wa uunganishaji wa huduma za maji kwa njia ya mtandao pamoja na mkakati wa kuharakisha ufungaji wa mita za malipo ya kabla mkoani Arusha.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)