Ugonjwa wa kipindupindu wauwa watu 63 mashariki mwa ChadUgonjwa wa kipindupindu wauwa watu 63 mashariki mwa Chad



Watu wasiopungua 63 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Ouaddai mashariki mwa Chad tangu katikati ya mwezi Julai mwaka huu. Taraifa hii imetolewa na Wizara ya Afya ya nchi hiyo.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *