#HABARI: Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM, tayari wameshafika katika Uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Chama kuelekea Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2025
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania