UN: Janga la njaa la Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa upelekaji misaada kwa miezi 22UN: Janga la njaa la Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa upelekaji misaada kwa miezi 22



Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na uratibu wa masuala ya kibinadamu ametangaza kuwa baa la njaa lililothibitishwa rasmi katika Ukanda wa Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa kwa miezi 22 upelekaji misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina lililowekewa mzingiro na Israel.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *