#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bw. Flatei Gregory, amewekewa pingamizi baada ya Tume Huru ya Uchaguzi, kumteua kuwa mgombea rasmi wa chama hicho kwa madai ya kuwa sio mwanachama wa ACT Wazalendo na alijiunga wakati mchakato wa uchaguzi umeanza kinyume cha kanuni ya uchaguzi ya 2 ya ACT ya mwaka 2024.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania