#MICHEZO: Wakati mchezo wa fainali ya michuano ya CHAN, ukitarajiwa kupigwa hapo kesho katika dimba la Moi Kasarani, leo Mabalozi wa CHAN Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango, wamekutana na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kuwapa elimu ya soka.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania