“Tanzania leo ni moja ya nchi ambazo zinapata utalii wa afya…zamani sisi tunakumbuka nadhani miaka kama 10 tu iliyopita, viongozi wakiugua wao ndio utawasikia wamekwenda India, Watanzania tutabaki hukuhuku…sasa hivi tunasikia watu wanatoka kwenye nchi nyingine wanakuja kuugua hapa, na wanasiasa na viongozi wetu nao wanaugulia hapa hapa”-Joseph Lugendo -Mchambuzi wa Siasa
#Kipimajoto #ITVDigital