[ad_1]

a

Chanzo cha picha, IkuluZanzibar

    • Author, Na Rehema Mema,
    • Nafasi,

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewateua na kuwathibitisha wagombea urais 11 visiwani humo baada ya kukidhi vigezo.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa ZEC Jaji George Joseph Kazi walioteuliwa ni Dkt Hussein Ali Mwinyi (CCM), Othman Masoud Othman (ACT-Wazalendo) Hamad Rashid Mohammed (ADC) Juma Ali Khatib (ADA TADEA na Said Soud wa AAFP

Wengine ni Hussein Juma Salim wa TLP, Ameir Hassan Ameir kutoka chama cha Makini, Hamad Mohammed Ibrahim wa UPDP, Leila Rajab (NCCR-Mageuzi), Mfaume Khamis Hassan wa NLD na Mgau Kombo Mgau kutoka NRA

Pamoja na utitiri wa wagombea hao, uchaguzi wa Zanzibar 2025 unaweka uso kwa uso wagombea wawili wakuu: Hussein Ally Mwinyi wa CCM na Othman Masoud Othamn wa ACT-Wazalendo. Wote ni wasomi, watulivu, na wanapendelea siasa za hoja kuliko makelele. Lakini licha ya kufanana kwa haiba, wanatofautiana kwa itikadi na dira ya kisiasa.

[ad_2]

Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *